General Kiaro anaagwa na mkuu wa mkoa; Kanumba, Rais!

I still think Kanumba influenced many more than Mr General. Not to underestimate his dedication but honestly given our times, if I am to compare btn the two in terms of success I will definetelly pick kanumba for rising against all ods.Rest in peace Mr General and thank you for making our country a better place to live but we are in a different era, the generation of 20s,30s of today have a lot more to learn from Kanumba than from Mr General.
 
tipical silly answers tunaogelea the person who worked for 56 yrs make this country what is now not your self serving Fisadi who are pillaging adn robbing your future :shock:.

U want a serious answer??
Ok, Jamaa ni "Msanii" mwenzie Kanumba, so "Wasanii" walikua wanazikana, tabu iko wapi ndugu???
Jamaa alikua pale same way as Ray, Wema, JB, Richie n.k.

Kiaro ameitumikia hii nchi Karibu sawa na Umri wa huyu Msanii Mkuu, but jamaa kaamua kutuonyesha his true color.

Nilijibu shallow, sio kwa kumsapot huyu jamaa, bali ni kuvaa uhusika wake yeye kusha nikajibu Kama yeye mwenyewe msanii mkuu!!
 
Anagalia magamba priority zao ni cheap politics Uswahili, Mkuu wa mkoa hastaili kuongozi kuaga mwili wa General Kiaro hata maja. Cheneral kama alivyojulikana hapa kijijini aliifanyia nchi hii mambo makubwa na ya heshima miongoni mwa mataifa. He was honest and strong man, he coordinated logistics to defeat Amini while current Fisadis runing scared like headless chicken. He deserve the best and respect TZ has to offer to our hero.

Daah! Uandishi wa aina hii jamaani, acheni tu
 
Mwalimu Nyerere aliwai kusema hivi 'Ni uzuzu ndio unawasumbua viongozi'
kwa kanumba, JK mbio kwenda sinza kuwapa mkono wa pole kina JB na Ray.
Sasa mbona akukimbia mwanza kutoa mkono wa pole?
Lkn inawezekana akashiriki maziko kule tarime, si unajua 'funika kombe mwanaharamu apite'
 
I still think Kanumba influenced many more than Mr General. Not to underestimate his dedication but honestly given our times, if I am to compare btn the two in terms of success I will definetelly pick kanumba for rising against all ods.Rest in peace Mr General and thank you for making our country a better place to live but we are in a different era, the generation of 20s,30s of today have a lot more to learn from Kanumba than from Mr General.
'Piiilease'! Ufuska ama?
 
Linalowezekana kwenye taifa la bongo sehemu nyingine duniani haliwezekani, na lisilowezekana bongo sehemu nyingine linawezekana. Kwa hiyo mi sishangai
 
I still think Kanumba influenced many more than Mr General. Not to underestimate his dedication but honestly given our times, if I am to compare btn the two in terms of success I will definetelly pick kanumba for rising against all ods.Rest in peace Mr General and thank you for making our country a better place to live but we are in a different era, the generation of 20s,30s of today have a lot more to learn from Kanumba than from Mr General.

kweli tanzania kuna vituko,leo msanii anakuwa ana umuhimu kuliko watu waliosimama wakaipigania nchi tunayojivunia leo?ama kweli
 
Silly analysis;you better to shut-up man!
 
Msiba wa Mahundi ilikuwa hivyo hivyo akazikwa na askari wake, sasa leo ten kwenye msiba wa Kiaro mambo yale yale. Mungu tusaidie
 
I don't understand the thinking process of politicians...am happy Friday is around the corner.Mhhh!
 
I still think Kanumba influenced many more than Mr General. Not to underestimate his dedication but honestly given our times, if I am to compare btn the two in terms of success I will definetelly pick kanumba for rising against all ods.Rest in peace Mr General and thank you for making our country a better place to live but we are in a different era, the generation of 20s,30s of today have a lot more to learn from Kanumba than from Mr General.
have you ever tried to know who is general kyaro? anyway, because thats how you 'think' nothing is wrong....hawa ndio watanzania!!!kila mtu msanii afu eti mtu anafikiri anasema, firmly kabisa " the generation of 20s,30s of today have a lot more to learn from Kanumba than from Mr General" hivi kila mtu akijifunza mapenzi wanajeshi wote wa 2o's na 30's wasiwepo muwe wafanya mapenzi utaishi wewe? guys sometimes think beyond your tv's
 
RIP General Ernest Mwita Kyaro

Hii inakumbusha tusichague tena viongozi ambao wanapenda mambo marahisi lakini wakiogopa yafananayo na hadhi zao
 
Msiba wa Mahundi ilikuwa hivyo hivyo akazikwa na askari wake, sasa leo ten kwenye msiba wa Kiaro mambo yale yale. Mungu tusaidie

Kwa Mahundi aliwajibika alienda kuhani ndo akapitia kwa Kanumba, na hata huyu Kyaro nina Imani atahudhuria maana ye ndo Amri Jeshi Mkuu na huyu alikua mkuu wa Majeshi, aaah hawezi kosa"
 
Anagalia magamba priority zao ni cheap politics Uswahili, Mkuu wa mkoa hastaili kuongozi kuaga mwili wa General Kiaro hata maja. Cheneral kama alivyojulikana hapa kijijini aliifanyia nchi hii mambo makubwa na ya heshima miongoni mwa mataifa. He was honest and strong man, he coordinated logistics to defeat Amini while current Fisadis runing scared like headless chicken. He deserve the best and respect TZ has to offer to our hero.

I am not sure if you mean he was CDF during 1978-79 Kagera war, if that is what you mean you are not correct. Major General David Msuguri wa CDF during that war, but can't rule our Kyaro's role.

........One example of a network that may be developed strictly along the lines of participants in the 1978-1979 Uganda War is the command network of top officers that played major roles in the counterattack into Uganda.
Arranging officers into clusters reveals a civil-military network, but little can be drawn from the network except for what is reasonable; the top ranking military individual would have the most positional power due to rank and not social network influence. The common experience of many as former King's African Rifles members could be concluded to have equal weight in such a network. Therefore it is important to consider that positional influence during time of conflict does not readily translate into long-term influence on state stability. The military network reveals tight lines of control that express a formal chain of command. The reality is that while Major General David Msuguri could be expected to have the greatest influence, he was not as influential as Lieutenant Colonel Ben Msuya of Brigadier General Silas Mayunga's 206 Brigade in the final phases of Kampala's liberation from Idi Amin's forces.........

Jipatie full story from http://www.netscience.usma.edu/publications/Jeshi%20la%20Wananchi%20la.pdf
 
I still think Kanumba influenced many more than Mr General. Not to underestimate his dedication but honestly given our times, if I am to compare btn the two in terms of success I will definetelly pick kanumba for rising against all ods.Rest in peace Mr General and thank you for making our country a better place to live but we are in a different era, the generation of 20s,30s of today have a lot more to learn from Kanumba than from Mr General.

eti umejificha ujinga wako kwenye kidhungu, ni mjinga tu!!

idi amini akija, sisi tuko tayari
idi amini akija sisi tuko tayari
akija. . . . . . . . . . . . .kanyaga,
kanyaga kanyaga kanyaga,
kanyaga kanyaga kanyaga sisi tuko tayari!!!!!

kwa taarifa yako miaka hiyo ungeweza kumpa AK47 mtoto wa miaka 10 akapigana na adui kwa moyo wa uzalendo huku akijua anafanya nini. leo hii hata rwanda wanatujambisha, morari ya kuipenda nchi kwishnehi. Hata masoja wanafikiri madili tu. nani akafie ujinga wa kupigania mafisadi.
tena ukome we kijambio!!
 
kweli tanzania kuna vituko,leo msanii anakuwa ana umuhimu kuliko watu waliosimama wakaipigania nchi tunayojivunia leo?ama kweli

Hebu tupunguzeni lawama kabla wana JF maana Kesho haijafika bado huwezi jua yawezekana akahudhuria alafu mwisho wa siku tukaonekana tunakurupuka!!
 
Aafadali ya yeye we ata serikali za mitaa sijui kama watakuwepo kipindi hicho
 
inasikitisha sana..mashujaa kama hawa wanadharauliwa! Lakini ipo siku tu..hawa magamba watakuja kujua umuhimu wa jeshi!

Kama hawa wanajeshi na mapolisi wameona jinsi maafande wao marehemu Mahundi na Kiaro walivyodharauliwa ukifananisha na jinsi serikali ilivyomjali Kanumba,basi wajue wao sio tofauti kwa serikali hii na hao maafande waliowatangulia mbele ya haki! Tafakalini na mchukue hatua.
 
Back
Top Bottom