Gazeti Uhuru-Siyoi hakuwa chaguo la CCM na wana-Arumeru!

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
Kwa kweli kama kuna tahariri za uhuru ambazo ziliwahi kunishangaza ni ya toleo la leo jumanne

Mhariri ametoa tahariri ndefu na kuhitimisha kwa madai kuwa mgombea wa CCM hakuwa chaguo la CHAMA na wana arumeru na kwamba ndiyo sababu wameambulia nafasi ya pili.

kama gazeti la chama linaandika haya,tambua wao jikononi mambo yanakwenda ndivyo siyvo
 
Chaguo la wana Arumeru CCM ilikuwa ni Sarakikya,na kama angepita,CDM ilikuwa na wakati mgumu sana.
Hilo tulioko Arumeru Mashariki tunalijua.Sioi alikuwa hakubaliki kabisa ila CCM walitaka kufosi Kingi.
 
nimelitafuta sana hili gazeti leo lakini sijalipata huku mitaa ya mjini na bado naendelea kulitafuta. Nataka nilisome lote ili kujua kila content inasemaje baada ya matokeo. Nilikuwa nimechoshwa na habari zake wakati wa kampeni.
Naendelea kulitafuta hopeful nitaweza kulipata.

Cha msingi hawa jamaa waache kupoteza muda kwenye porojo zao kama Mh. Lusinde na Nchemba, bali waangalie sababu ya chama kupoteza mvuto ni nini!??????? ...either kuongezeka uelewa wa Watanzania au wenyewe kushindwa kudeliver uongo wao
 
Hata wasemeje, CCM haikubaliki katika jamii iliyoelimika na iliyosheheni elimu ya uraia, and mind them we shall never backdown unveiling the political horizon...

Come 2015 it's gonna be Tsunami!!

Wao waendelee kudanganyana tu na as long as sisi tuna wabunge vijana ambao wanafanya kazi twenty four/ 7, na wanatumia library ya bunge kupiga machimbuziii basi wajue wazi kabisa bunge linaenda kuwaka moto and we shall score millions of political points through their arrogance!!
 
Chaguo la wana Arumeru CCM ilikuwa ni Sarakikya,na kama angepita,CDM ilikuwa na wakati mgumu sana.
Hilo tulioko Arumeru Mashariki tunalijua.Sioi alikuwa hakubaliki kabisa ila CCM walitaka kufosi Kingi.

Mbona hakupita, tuache majungu. Huyo sarakikya kwa CDM ni cha mtoto tu.
 
Wanasheria watusaidie, Sio anaweza kulishitaki gazeti za Uhuru kwa deformation?

Kama kuna kutokubaliana kati ya wajumbe wa CCM hilo ni tatizo la ndani lakini kwenye official level CC ya CCM ilimptisha Sioi. Sasa kwa mhariri wa UHURU kuharamisha maamuzi ya CC ambayo mwenyekiti wake ni Kikwete ni kituko. Hivi kama Sioi angeshinda Uhuru wangesema hakuwa chaguo la CCM?

Minyukano ya CCM inatia kinyaa!
 
Kwa kweli kama kuna tahariri za uhuru ambazo ziliwahi kunishangaza ni ya toleo la leo jumanne

Mhariri ametoa tahariri ndefu na kuhitimisha kwa madai kuwa mgombea wa CCM hakuwa chaguo la CHAMA na wana arumeru na kwamba ndiyo sababu wameambulia nafasi ya pili.

kama gazeti la chama linaandika haya,tambua wao jikononi mambo yanakwenda ndivyo siyvo

Jamaa hiki kipigo cha mbwa mwizi kule Arumeru kimewachanganya akili wamekuwa wehu wanazungumza hovyo!!
 
Chaguo la wana Arumeru CCM ilikuwa ni Sarakikya,na kama angepita,CDM ilikuwa na wakati mgumu sana.
Hilo tulioko Arumeru Mashariki tunalijua.Sioi alikuwa hakubaliki kabisa ila CCM walitaka kufosi Kingi.
Ni ccm ipi unayoizungumzia mjomba? Mbona alipata kura nyingi za hao hao ccm kwenye kura za maoni na alimwacha Sarakikya kwa mbali! Kama unaamua kujitoa akili kajitolee kwa familia yako ndio watakuamini usilete ukichaa wako hapa JF kwa kuzungumza pumba zilizopitiliza.
 
Chaguo la wana Arumeru CCM ilikuwa ni Sarakikya,na kama angepita,CDM ilikuwa na wakati mgumu sana.
Hilo tulioko Arumeru Mashariki tunalijua.Sioi alikuwa hakubaliki kabisa ila CCM walitaka kufosi Kingi.
Wameanza na Sioi Arumaru, 2015 kila mgombea wa CCM toka chini hadi juu atakuwa si chaguo la Watanzania
 
Gazeti hili lipo biased sana....ile dhana ya impartiality haipo vichani mwa wahariri wake...wanatafuta kujua msimamo na mtazamo wa CCM kabla ya kuandika chochote.
Natamani kuliona gazeti hili mwaka 2015, wakati litakapoanza kuripoti maoni ya wapinzani wapya nchini,CCM.
 
Back
Top Bottom