Gazeti mwananchi halijaitendea haki Chadema - limenisikitisha sana!!

Hyperbole inaruhusiwa ktk uandishi hadi kipimo cha light spinning. Ila ukichakachua habari (kama ilivyo kwa ripoti na mengineyo) lazima utapoteza haki ya kuaminiwa na baadaye kukubalika. Wanaohusika wanajua hili.

Baada ya kusema haya, tunaomba wenye full story waweke humu jamvini ili wote tusome na kujua
 
Nimekusoma vizuri sana mkuu. Ukweli ndio huo na waafrika tuna desturi wa kukimbia tatizo badala kutatua tatizo. Hakuna kikundi chochote duniani kisichokuwa na misunderstanding coz people they differ on various aspects hata mapacha wanaofanana wanatofautiana kwa mambo mengi. Mh.Lema awekwe chini aonyeshwe utaratibu wa chama aache kuongea hovyo nje na ndani ya vikao
Join Date : 14th April 2011
Posts : 36

Thanks 0

Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0
...kweli kuna mpango wa propaganda juu ya cdm!!?

 
lema ni jambazi zitto angalia sana wanaandaa mpango wa kukuua kama wangwe.

zidumu fikra za baba mkwe mwenye ngo.

Wanaandaa akina nani?Walikaa lini na wapi kuuandaa huo mpango?Umejuaje?Ukipata taarifa za watu kutaka kumuua mtu(angalau huyo'kaka'yako ZITTO),huwa nachukua uamuzi gani?Huwa unatoa taarifa wapi?I hate cheap thinkings such as your's....


Tafadhali anzia hapa kama kweli unakimaanisha unachokiongea.................siku ya hicho kikao Mnyika hakuwepo......................or else endelea kutumika na usikate tamaa mpo wengi tu wa 'design' hiyo,,,
 
Katika toleo la leo la Gazeti la Mwananchi limebeba kichwa cha habari

Moto wawaka Chadema, NI VITA YA KAMBI ZA MBOWE, ZITTO

Gazeti hilo limenukuu Mambo ambayo yamenifanya nijiulize nia hasa ya Gazet Hilo kwa Chama kinachotetea Maslahi ya Wananchi kama CHADEMA.

Nitanukuu Baadhi ya Kauli Tata

Hii ni kauli iliyonifanya nitafakari juu ya Umakini wa Gazeti la Mwananchi. Kwa sababu soma hapa

Hali hiyo ilijitokeza katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kilichoketi juzi Jumamosi chini ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, kikao ambacho pia kilimg’oa John Shibuda katika nafasi ya kukaimu uenyekiti mkoa wa Shinyanga.
Hii habari imetoka katika Gazeti la Jumapili halafu Mwandishi anasema Juzi Jumamosi hivi kweli Ukiwa Jumapili ukasema Juzi unamaanisha Jumamosi au Ijumaa. Hii peke yake inaonesha namna Mwandishi asivyokuwa na Uhakika ni Lini Kikao kimekaa. Anaonekana alikuwa anaandika haraka haraka kama Mtu alibanwa na Mkojo.

Soma na hapa

Duru zaidi za kisiasa kutoka ndani ya kikao hicho zinasema wakati mvutano huo ukiendelea, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa alikuwa kimya huku kwa mara ya kwanza Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akiwa mmoja wa wajumbe waliomtetea Zitto.
Huyu Mwandishi anasema kwamba Karika Mkutano uliofanyika Juzi ya Jumapili ( Yaani Ijumaa tar 29/04/2011, Mnnyika aliunga Mkono Hoja.

Lakini ikumbukwe kuwa Mh Mnyika alijibu hoja hapa Jamvini siku hiyo hiyo akasema yeye yuko nje ya Nchi

Soma hii link

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/129595-mnyika-tafadhali-soma-hii-4.html

Je Mnyika aliunga Mkono hoja kwa njia ya Simu?
 
Huo ndiyo ukweli ulioandikwa wewe wajiona ndiyo unajua kutafsiri sana mambo kuliko wengine ndiyo kosa mlilonalo watu wote wa ukanda huo. Bwana fmpiganaji mimi nakujua a-z wewe binafsi nakwan hili la kujifanya wewe ndiyo unajua sana nitakuabisha, nitaweka habari zako zote humu.
 
SPOT-ON
GeniusBrain, kuna waliokunywa maji ya bendera ya CDM hawaelewi ukweli hata ukiwa usoni kwao.
Tumesema tena na tena ufisadi vile vile upo CDM kwa vile chama kinaendeshwa na wafanyabiashara, mtoa mada na wengine wengi ni wavivu wa kulielewa hilo.

Mkuu Mnyia alikuwa Nje sasa unataka watu habari zilizoandikwa na Makada wa CCM. Ndio maana nikasema CCM ina wakati Mgumu sana hata Zitto alishasema kwamba CCM ni chama Kinachokufa na huu Uongo wenu ndio utawapeleka Kaburini Mapema
 
Anahitajika mtu aliyekwepo kwenye kikao aje adhibitidhe hoja ya Mwananchi, tuache kujadili poro za mwandishi wa habari ambaye angependa gazeti lake liuzike, ni si kuwapa ukweli usiouzika
 
Albedo usiumize sana kichwa. Mwandishi alikuwa ameandaa habari yenyewe kabla hata ya kikao ndiyo maana aliyoyaandika yametaja kauli za watu ambao hawakuwa kwenye kikao. Hilo ndilo tatizo la habari ya kutunga. Mwisho wa yote kila mara ninahisi kumwona Zitto nyuma ya kitu kama hiki
 
HTML:
Ukimsoma semtawa ndie ambae huandika story nyingi za ZITTO,SITA,MEMBE,CHENGE.na hivi karibuni amekuwa ni kijana ambae anafanya kazi kwa kusaidia mawazo ya BOSI WETU anaitwa MAKUNGA na Pia hapa ndani sisi humuita jembe la IKULU, ukitazama mahusiano ya IKULU,ZITTO na mpango mchafu wa [COLOR="blue"]kukibomoa chama chetu vyote hivi vitakueleza nini bwana mdogo [/COLOR]semtawa anafanya

Wewe mwenyewe unaonekana haukidhi viwango bora vya uandishi maana unajitambulisha na CDM. Kwa vyovyote vile na wewe utakuwa unaandika kwa mwelekeo wa chama unachoita chenu. Ama kweli Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo.

Niko pamoja nawe. Huyo bwana yaonekana anauwezo mdogo sana kuliko hata huyo Semtawa, Anashindwa kuoanisha kati ya anachosema, anachoandika na ethics za taaluma yake kwamba apaswe ajulikane ni wa mlengo gani. Rudi shule tena, mkihudhuria hapo TMJ basi mmeshakuwa wahandishi. Suala si cdm wala ccm bali ni mstakabali wa Taifa hili masikini kupindukia. Mwelekeo wa maisha ya baadae ya watoto wetu ni muhimu zaidi ya chama.
 
In politics there is neither a permanent enemy nor a permanent friend, however one thing that is crucial and very important in politics is live in an environment that assures you more friends than enemies. Any credible political leadership will always strive to eliminate enemies not mechanically but through pacification. The enemies of cdm are not people who openly express their view regardless of how painful they are to a section of the cohort. We through difficulty discussions at end consensus will be sought no matter how rough the the road will be. cdm is beyond what Mbowe and zito together or separartely stands for; CDM stands for the struggle for change. The enemies of CDM are not what mbowe and zito stands for, is not their differences but the people in cdm who wants to speak for zito or mbowe. The traitors of CDM are not the leaders who agree to disagree but the people who take beyond the state of agreement to disagree and discuss it beyond and outside the framework. Ijoined jamii forum because i thought is not the forum to discuss personality but issues. however, i'm beginning to witness the opposite of what ihad expected. I love both Mbowe and Zito, we need to see these people (Slaa, zito and mbowe) bring cooked chicken to CDM (provide good leadership) not an investigative report why should we not eat chicken because eats human sheet (trashes)
 
Chadema-JF bana wanachekesha sana na hoja zao regerege, hivi kuna Gazeti linaibeba Chadema kama Mwanachi? wakati wa kampeni kila siku lina bandika picha za Dk Slaa kwenye kurasa za mbele, linachakachua mpaka picha za mikutano ili Dk Slaa aonekane anautubia umati wa watu, Mwananchi ni Gazeti takatifu la Chadema, wangelalamika CUF, NCCR, TLP, sawa lakini sio Chadema, yaani Chadema wakifanya ufisadi awataki waandikwe hapana huo upuuzi aukubaliki hata kidogo, Hongera Gazeti la Mwananchi, taaluma yenu inawaruhusu kufichua ufisadi
 
Wadau,

Nilipata mshtuko mkubwa niliposoma habari ya mgogoro baina ya kambi ya Zitto na Mbowe leo asubuhi.Habari ile iliandikwa kama vile ni gazeti la uhuru au Jambo leo. Wakati napitia ile habari niliamua kutoimalizia baada ya kumsoma mwandishi wa habari aliyeripoti ile habari.Huyo mwandishi ni mfuasi na shabiki mkubwa wa Zitto Zubeir Kabwe.

Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti na ili kuthibitisha haya ninaomba wadau mrudi nyuma hadi kipindi cha wabunge kususia hotuba ya Rais bungeni,mwandishi aliandika habari kuonyesha kwamba kuna mgogoro mkubwa kati ya wabunge wa kambi ya mbowe na Zitto.Kipindi cha uchaguzi wa chama mwaka 2014 mwandishi huyu alimshabikia sana Zitto na kuonyesha kuna mgogoro mkubwa sana na chama kimegawanyika mapande mawili.

Mwandishi huyu habari zake ni za kushangaza hasa inapoonekana kuna tofauti ya mawazo kwenye vikao na hupenda yeye kuita mgogoro.

Hivi kweli kwa mfano wa suala la Shibuda kung'olewa ilipigwa kura na wajumbe 18 wakaunga mkono huku 1 akipinga,mwandishi anapata wapi ujasiri wa kusema kambi ya Mbowe imemfukuza Shibuda.?? Inaonekana mwandishi huyu ana malengo maalum na hiyo habari aliandikiwa na mjumbe aliyekuwepo kwenye kamati kuu ili kuleta chokochoko kwa wanachama.Ni wazi mtakuwa na jibu ni nani aliyempa hiyo habari ya uchochozi.

Ushauri:

Gazeti la mwananchi ni miongoni mwa magazeti yanayopendwa na kuaminiwa sana na wananchi kutokana na habari zake.Namshauri mhariri asipoteze imani hii na azihariri mara mbilimbili habari zinazoletwa na huyu mwandishi kuhusiana na chadema kwani ana kikundi anachokipigania kwa maslahi fulani......

Nawasilisha....

Ni kweli ndugu, nimeiona pia hii. Nadhan ni vema pia ukapost hii msg kwenye website yao kabisa maana wakati mwingine hawapati haya maoni kirahisi.

Message sent!
 
Back
Top Bottom