johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,148
Ni ukweli ulio wazi kuwa Waandishi wa habari ni watu wanaosubiria Teuzi na kwa maana hiyo ni wana-CCM.
Chadema wamefanya operesheni +255 lakini hakuna chombo cha habari makini kilichoripoti positively sana sana kuna Gazeti liliripoti mgogoro wa Mbowe na Tundu Lisu katikati ya operesheni
Niwashauri tu Chadema na ACT Wazalendo waanzishe media zao kama kweli Wana nia ya kuwafikia Wananchi
Nawatakia Dominica Njema!