Miya
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 816
- 1,249
Kauli ya Zitto kasema hivi,"yeyote akionesha ushahidi, chembe tu ya ushahidi, kwamba nimekula rushwa, sitasubiri a minute, nitawajibika ".
Sijui mwenzangu wewe hao wabunge wa Chadema waliosema Zitto kachukua rushwa wamesemea wapi hayo na lini,na wametoa evidence gani! Tujuze
We nawe umuelewi nini mwenzio? soma hadi mwisho ndomana kuna viulizo kasema hakuna hata mchademe mmoja aliesema zitto kala rushwa hata wao wanataka ushahidi usio na shaka ili wawashughulikie wala rushwa..............waloleta tuhuma za rushwa ni muhongo