Gazeti la Dira: Kashfa ya kuhongwa - Zitto, Ole Sendeka, Sarah Msafiri na Anne Kilango watajwa

Habari kuwa kuna wabunge wa upinzani wanaohusika kuihujumu TANESCO zimepokelewa kwa masikitiko makubwa sana na imewafanya wananchi wengi kukata tamaa. Kwa ufupi wananchi tulikuwa tunawaunga mkono vyama vya upinzani tukijua wana dhamira ya kuleta mabadiliko na hatimaye kuboresha maisha ya watanzania......

Ishu ni mfumo uwe unatubana kufanya tutakavyo kwa kuwa na sera, katiba na nidhamu za kiuongozi......nchi kama Marekani kuna mambo uwa hayabadiliki hata rais awe mbwa cuz kuna sera zake tayari mfano sera zao za mambo ya nje hata atawale mbwa zitabaki kuwa zilivyo au kuwanufaisha zaidi ya hivi zilivyo

 
99% Pro-Chadema JF wanalazimisha ZZK kahongwa wakati ukweli utakapokuja kufahamika sijui hawa Pro-Chadema JF wataziweka wapi sura zao baada ya kubainika kuwa wabunge wao vipenzi ndio wamehongwa na ZZK kuwa shujaa.
 
Hakuna kupendana wala nini,umefisidi wewe ni mhalifu!Wengi tunataka kujua kuhusu MH.Zitto na sio hao wengine maana kwao sio cha ajabu.Kama Zitto kahusika,TUIPENDE kweli TANZANIA KWANZA kabla yake,tufanye maamuzi magumu.Kama hajahusika tumsafishe na tuanze kazi upya ya kuijenga nchi yetu.
 
kwakua tumeshindwa kujiongoza maana hata hao ambao walau walijenga heshima na imani kwa jamii nao wanatajwa kua ndani ya huo mchongo basi ningeshauri tuombe kwa roho safi kabisa kurudi mikononi mwa mzungu.. Bora mzungu alikua haibi bali anachukua waziwazi huku watu wakijua anachukua kuliko hawa wanaojidai kutetea kumbe ndo waizi wakubwa. Pia naaipenda TZ kwakua sisi ni wapiga kelele maarufu na baada ya siku mbili tutasahau yote kama ilivyokua kesi ya jairo na nyinginezo hivyo naomba hizi nafasi za kuiba ziendelee kuwepo na jamaa wasichukuliwe hatua kali ili na mimi nikija kuiba nipigiwe kelele siku2 afu baada ya hapo niendelee kula bata maisha yangu yote.
 
Lakini partly na yeye kachangia haya yote. Kuwa na potential ya kuwa senior citizen halina mjadala lakini approach aliyotaka kutumia was very wrong maana kwa jinsi hiyo amepata maadui (oponents) kutoka pande zote mbili katika vyama hivi vikubwa nchini. Sijui kwanini hakuli fore see hili mapema! My heart pains to kuona anaingia kirahisi hivi kwenye Intrigue....Mungu wa neema na rehema hachelewi wala ha wahi its not too late for him to correct his ways of doing things!

i believe he will learn from this mess
 
Nina shauku sana ya kusubili ukweli uthibitike maana nimechnganyikiwa kuiona listi ya wapambanaji nasikia kichefuchefu!
 
Hili suala si la kukurupukia, vipi kama ni harakati nyingine za mafisadi kuwaziba mdomo wapambanaji na ufisadi, ili kutuhamisha focus wakati wao wakiendelea kufuja mali za taifa?
 
99% Pro-Chadema JF wanalazimisha ZZK kahongwa wakati ukweli utakapokuja kufahamika sijui hawa Pro-Chadema JF wataziweka wapi sura zao baada ya kubainika kuwa wabunge wao vipenzi ndio wamehongwa na ZZK kuwa shujaa.

Hapo ndiyo tofauti na Magamba iwe ZZK, JJ Mnyika au mbowe wakikosea lazima tutasema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom