Gazeti la Dira: Kashfa ya kuhongwa - Zitto, Ole Sendeka, Sarah Msafiri na Anne Kilango watajwa

Kauli ya Zitto kasema hivi,"yeyote akionesha ushahidi, chembe tu ya ushahidi, kwamba nimekula rushwa, sitasubiri a minute, nitawajibika ".
Sijui mwenzangu wewe hao wabunge wa Chadema waliosema Zitto kachukua rushwa wamesemea wapi hayo na lini,na wametoa evidence gani! Tujuze

We nawe umuelewi nini mwenzio? soma hadi mwisho ndomana kuna viulizo kasema hakuna hata mchademe mmoja aliesema zitto kala rushwa hata wao wanataka ushahidi usio na shaka ili wawashughulikie wala rushwa..............waloleta tuhuma za rushwa ni muhongo
 
Habari kuwa kuna wabunge wa upinzani wanaohusika kuihujumu TANESCO zimepokelewa kwa masikitiko makubwa sana na imewafanya wananchi wengi kukata tamaa. Kwa ufupi wananchi tulikuwa tunawaunga mkono vyama vya upinzani tukijua wana dhamira ya kuleta mabadiliko na hatimaye kuboresha maisha ya watanzania. Kinachoonekana kutokana na taarifa za Waziri Sospether Muhongo ni kwamba hakuna tofauti kati ya CCM na vyama vya upinzani kwani lengo lao ni moja tu kutumia rasilimali za watanzania kunufaisha matumbo yao na familia zao in the expense ya maumivu na matatizo ya watanzania. Hii ni dhambi kubwa. Binafsi nimebaki njia panda kuhusu kwa nani watanzania tuweke matumaini yetu kuhusu mustakabali wa maisha bora kwa kila mtanzania. Watanzania tunasalitiwa na viongozi waroho ambao kwa wananchi wanajidai kondoo kumbe ndani ni Mbwa mwitu wabaya. Kwa viongozi wa namna hii tusitarajie tena mabadiliko hata kama CCM tutaiondoa kwani tunafanya yale yale yanayotufanye tupigane usiku na mchana kukiondoa chama dhalimu CCM madarakani. Si mambo ya kufumbia macho kwa sababu ya ushabiki wa kichama bali kutumia jicho la pili kuona upande mwingine wa shilingi na kufanya maamuzi yatakayo rudisha heshima ya vyama vinavyohusika na hatimaye kurudisha matumaini kwa waTZ. Viongozi hawa watajwe hadharani na wapewe adhabu inayostahili na wasipewe tena nafasi ya kuongoza kwani wamekosa adabu na credibility. Hii haina tofauti na kuku kula vifaranga wake.
Mtaani kwangu watu wamebaki na maswali mengi kuliko majibu na yanatakiwa yapate majibu kutoka kwa viongozi hawa hawa kwani doa lililosababishwa na wahusika ni kubwa sana.

Ni bora mbu alie ndani ya neti ameshiba, kuliko mbu ambae yupo nje ya Net anataka kuingia ndani akunyonye damu yako! hao ndio chadema, wanataka sana kuingia kwenye system wapate kula tu hakuna kingine, nimeshangazwa na Mbowe kutaka kununua mtambo wa kufulia umeme kule hai! loh! kumbe wana njaa sana hawa !
 
unaona kasingiziwa au hawezi kula rushwa?? umemsikia wapi Zitto kwa uwazi na nguvu nyingi akishambulia mafisadi kama wanavofanya akina slaa, kiwia, msigwa, lema,n.k???

Kwa hiyo kama ashambulii ndo anakula rushwa?????????kama chama wanajipanga kila mtu na kitengo chake cha kujidai unakumbuka zitto alimfanya nini Mkulo au umesahau?????
 
KUmbe saga lote hili kwa kuwa zito ametaka kugombea urais! wachaga wamekuja juu ! teh teh teh , vovote itakavokuwa siwaamini hata siku moja chadema ! nawaona wote ni wanafiki tu, nilicheka siku lukuvi alipomwambia mwendesha kipindi cha tbc kuwa mbowe na wenzake wameweka kama collateral pesa yao ya posho bank kwa ajili ya mikopo yao! USO MBOWE ULIMSHUKA na akaanza kutafuna maneno na kusema posho ni kitu kidogo tuongee jinsi ya kuisaidia serikali! CHADEMA NI ZAIDI YA TUIJUAVO! jamani wananchi muwe makini na hivi vyama !
 
Kwa hiyo kama ashambulii ndo anakula rushwa?????????kama chama wanajipanga kila mtu na kitengo chake cha kujidai unakumbuka zitto alimfanya nini Mkulo au umesahau?????

wewe kumbe hukujua chanzo halisi cha ugomvi wa mkulo na zitto??yeye amejipanga kwenye kitengo cha kuendesha matamasha ya muziki na kujitangaza rais!! nilikuwa namheshimu sana huyu kijana lakini I have withdrawn the respect!
 
Mbona umeandika kilekile jamaa kaandika? Soma bila haraka....
Kauli ya Zitto kasema hivi,"yeyote akionesha ushahidi, chembe tu ya ushahidi, kwamba nimekula rushwa, sitasubiri a minute, nitawajibika ".
Sijui mwenzangu wewe hao wabunge wa Chadema waliosema Zitto kachukua rushwa wamesemea wapi hayo na lini,na wametoa evidence gani! Tujuze
 
Ni bora mbu alie ndani ya neti ameshiba, kuliko mbu ambae yupo nje ya Net anataka kuingia ndani akunyonye damu yako! hao ndio chadema, wanataka sana kuingia kwenye system wapate kula tu hakuna kingine, nimeshangazwa na Mbowe kutaka kununua mtambo wa kufulia umeme kule hai! loh! kumbe wana njaa sana hawa !

acha porojo mkomasungura............
 
ingawa mienendo ya Zitto inatia shaka lakini tusimuhukumu bila ushahidi kuwa hadharani. Kila anaweza kutuhumiwa kwa chochote kile but kama hakuna concrete evidences zinakuwa baseless allegations za ccm kutaka kumchafua.
Kama katibu mkuu(Slaa) alivyosema,tusubiri uchunguzi ufanyike na kama ikibainika atashughurikiwa kulingana na kanuni za chama.
Napendekeza sisi wapenzi na wanachama wa CHADEMA tusianze kunyoosheana vidole kwa tuhuma tu kisa mbio za urais ambazo naamini chama kitamteua mgombea makini ambaye atatuletea ushindi come 2015. Malumbano ya sisi kwa sisi ni advantage kwa ccm kwani wanatumia kutuchonganisha kwa udini na ukabila. Ukichunguza kwa makini utagundua wanaccm wamelishikilia bango utafikiri kwao hakuna watuhumiwa,lengo lao ni kuona wanaichonganisha CHADEMA na ZITTO.
Nasisitiza tuache kumuhukumu zitto mpaka hapo uchunguzi utakpo dhibitisha hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mbona hapo 'Gender' imebalance....Zitto na Ole Sendeka vs Sara Msafiri na Anne Kilango! Hili si tatizo la jinsia fulani, waume kwa wake...waTanzania wengi wezi! We angalia mtu akichaguliwa/teuliwa kushika nafasi ya uongozi...magazeti yaandika ' Fulani Kaula'...Kaula nini rtumemkabidhi majukumu mazito? Lakini kwa sababu mentality yetu ni 'wizi mtupu' tunaona mtu sasa 'kaula' kwani kapata nafasi ya kuiba aka 'kula'!

Mkuu tusisahau kumkumbusha na yule mama alikuwa katibu Mkuu Afya na tenda zake za Mariedo!!- ufisadi huu sio suala la jinsia ni hulka tu ya mtu
 
Makala hii ina lengo la kupotosha ukweli; kuwepo wabunge wawili watatu wa upande wa upinzani wanao tuhumiwa kupokea hongo,kujatia doa lolote kambi ya upinzani kwakuwa hakuna mtu yeyote anayeamini kwamba kambi hiyo inaundwa na malaika. Jambo la msingi ni kwa kambi hiyo kuwachukulia hatua dhabiti wale wote wakakaodhibitika kupewa hongo. Aina budi ieleweke ugomvi wa wananchi na CCM hautokani na kuwepo wanaccm wanao shiriki vitendo vya kuhujumu uchumi bali unatokana na kushindwa kwa chama hicho na serikali yake, kuwachukulia hatua sitaiki watu hao.
 
zito kabwe, rushwa ni moja ya sababu ya uadilifu iliyokufanya utangaze bungeni kuwa unautaka urais. hivi tu mbunge unatisha kwa rushwa je ukiwa magogoni c utakuwa mobutu seseseko kuku ngbendu wa zabanga!

atamshukuwa na wema awa kama malkia
 
MVUMBUZI Mimi ndio imeniumiza sana sana sijui nani atakayeturudisha katika barabara kuu kwani tunazidi kupotea tu porini jamani hii nchi yenye kila kitu cha maana.
 
Last edited by a moderator:
IGOku Mfano mzuri kamati ya Mrema imepeleka majna ya wala rushwa hadi leo wanapeta
 
Last edited by a moderator:
Dah!anyways ngoja tusubirie kwanza kamati ya maadili ifanye kazi ila zitto pole sana this time hii vita itakupeleka chini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom