Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
SteveD, kitu kimoja ambacho kimetokea hivi karibuni ni communications zinapotea. A number of emails ambazo zinatoka "jikoni" au mimi nazipitisha "kwa wenye uwezo" hazifiki na imebidi nibadili email na hata zile za wenzangu. Kwenye simu hilo linajulikana kuwa wanamonitor na imefikia mahali sasa tunazungumza utadhani tunapigiana mafumbo!