Gavana Balali Ajiuzulu!

SteveD, kitu kimoja ambacho kimetokea hivi karibuni ni communications zinapotea. A number of emails ambazo zinatoka "jikoni" au mimi nazipitisha "kwa wenye uwezo" hazifiki na imebidi nibadili email na hata zile za wenzangu. Kwenye simu hilo linajulikana kuwa wanamonitor na imefikia mahali sasa tunazungumza utadhani tunapigiana mafumbo!
 
mwanakijiji kama hamtaki viongozi wafe na siri wahimizeni waandike vitabu..basi.kuna kina kawawa,mtei,balali ,mwinyi ,mkapa,salim and the like ..ndio ,maana nakuunga mkono unaposema ..apone ATUTOBOLEE!!
 
kwa sababu... so far KLHN - ndiyo imeibreak hiyo news without any sense of ambiguity or qualifications... hutaki?

Ndiyo, sitaki hadi unionyeshe pale KLHN News walikuwa wa kwanza kui-break...
Kwenye tovuti kuna 'Eid Njema sijui Eid Muabarak'....hapa poster wa kwanza alikuwa Hasara au Halisi (sorry I tend to mix up the 2)...so where does KLHN fit into this?
 
Can somebody please tell me why this is KLHN Breaking News?

I think who breaks the story is besides the point, the news is out, we should be discussing about this resignation and its implication on the pending BOT report, the governorship succession race and the economy of our country.
 
I think who breaks the story is besides the point, the news is out, we should be discussing about this resignation and its implication on the pending BOT report, the governorship succession race and the economy of our country.

Fine, but the heading should be corrected to reflect the correct attribution....
 
Hivi kwa sheria za USA Mafisadi kama hawa, hawawezi kufunguliwa mashitaka? Maana sisi wote hata tukiwasumbua tu mahakamani kila siku itasaidia.

Chiluba alishitakiwa hapa UK na kuhukumiwa, na sisi tunaweza kuanza na Ballali na labda ndio anaweza kueleza nini kimetokea.

Pesa ziko wapi? Swali zuri ila nyingi zitapotea kwenye mabank ya Wazungu kama ambavyo Maboutu alivyoacha mabilions huku Zaire watu wanakufa.
 
Hii aliyosema Mlalahoi inafanana sana na habari ambazo mie pia nimebahatika kuzipata kutoka kwa wadau wa karibu. Lakini bado nadhani kuathirika "ngoma" si kinga ya kutomwajibisha mtu kwa ufisadi, maana waathirika wana haki na wajibu ule ule kwa taifa lao, sawa tu na waathirika wa maradhi mengine na watu wasio na ugonjwa. Ndio maana tunasema wasibaguliwe sehemu za kazi ili muradi wanamudu kazi zao. Na kama mtu anamudu kazi, hata ufisadi anaweza vilevile, na anastahili kuwajibishwa kwa hilo. Naomba kama yuko mtu mwenye ile ripoti ya ukaguzi wa hiyo BOT atusaidie, tuisome tujue kweli. Na kama huyo Gavana ni mtuhumiwa, ashitakiwe, kinachowezekana kuwa recovered kwenye assets zake kifanywe angao hasara ipungue, tusibakie tu kusema ana "ngoma" eti basi tumwache "ajifie"!

I am with you Kithuku all the way...
Kama na yale aliyosema mjumbe Phillemon Mikael yana ukweli, regardless; Jamaa inabidi a-take responsibility of his actions". I don't buy this thing ya kuwa watu aliwakopa ndio wanampikia majungu. Kama ndio hivi basi "competency" yake as a leader is questionable. Kama hiyo mikopo imetolewa kufuata sheria zote na taratibu zote muafaka, kwanini aogope kuwadai? Unlness ali-authorize hizo pesa zitoke, and that makes him guilty as charged (assuming the allegations are valid). Overall, ndio collective responsibility hiyo!

Sasa asirushie mpira wengine, kama hakuridhishwa na mambo yaliyokuwa yanaendelea, angejiuzulu muda mrefu, sio kusubiri mpaka kashfa zinamshukia. Sasa sisi tuamini kipi?
 
Ngoja niweke kitu kimoja vizuri kabisa.. Gavana ametoka hospitali na anaendelea vizuri. Hata hivyo kutoka kwake hospitali ni kinyume na "matarajio" ya "wale wenye nguvu zilizopo". Na hata sasa hivi habari pekee ya furaha kwao itakuwa ni Gavana katuaga.. ndio maana mimi siombe afe nataka aishi atusimulie.. haya mambo ya viongozi kufa na siri zetu hatuna tena.

Mkjj,
alikuwa hospitali gani??? MGH, NE "Tufts" Medical, Beith Israel Deaconess(west or east), Boston Medical, Youville, Cambridge Hospital, Newton-Wellesley, NE Baptist au wapi?? kama ni moja kati ya hizo we sema tu mie nim-track kinyumenyume niweze kujua anakaa wapi na kina nani!!!!. Niweze kuthibitisha hali yake kama ni mautiuti au "bosheni" tu, wanatuzuga.......na kama watu wanaweza kumpa sooo la kimtaa au kutumia ma-pro bono hapa mjini "wakamtingisha" kwa pilato kujibu tuhuma dhidi yake!!.
 
SteveD, kitu kimoja ambacho kimetokea hivi karibuni ni communications zinapotea. A number of emails ambazo zinatoka "jikoni" au mimi nazipitisha "kwa wenye uwezo" hazifiki na imebidi nibadili email na hata zile za wenzangu. Kwenye simu hilo linajulikana kuwa wanamonitor na imefikia mahali sasa tunazungumza utadhani tunapigiana mafumbo!

Poleni sana. Mimi kwa anayejua namba yangu kama yeye hajali asiogope mie sijali maana yote nitakayozungumza naye katika simu huwaa si katika simu tu nitayaweka hadharani kwa njia tofauti tofauti ambazo hao wanaofuatilia wanazijua na hakuna kati yao mwenye ubavu wa kuzuia na wakithubutu wanajua madhara yake. Hapa mambo ni mbele kwa mbele Watanzania wamebadilika kishenzi ndio maana waliwazomea mawaziri bila hata kuandaliwa na mtu, ndio maana mwanafunzi alimuuliza Waziri Mkuu swali "GUMU"
 
Ndiyo, sitaki hadi unionyeshe pale KLHN News walikuwa wa kwanza kui-break...
Kwenye tovuti kuna 'Eid Njema sijui Eid Muabarak'....hapa poster wa kwanza alikuwa Hasara au Halisi (sorry I tend to mix up the 2)...so where does KLHN fit into this?

naweza kukufanyia hiyo homework but then it won't be fair. Wewe angalia sehemu zote na uone ni nani aliyesema "Balali Ajiuzulu" kwanza. Halafu njoo nisahihishe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom