Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

ASEE NILIKUWA NATAFUTA COMMENT KAMA HII....
KUMBE UDINI UPO BHANA... YAAN HAO WAMEKUFANYA NN HATA UONE WASIPEWE?? LKN UKIRUDI NYUMA KIDOGO UTAONA HAO WATU NDIO ANGALAU WANA ROHO NZURI ZA KUSAIDIA WATU... REJEA HATA TAWALA ZETU.. NENDA ZANZIBAR KISHA RUDI HUKU KWETU.. MCHUKUE KIKWETE KISHA MUWEKE NA JPM...
TUWAACHE WAPUMUE BASI..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu roho ya mtu kama mbaya ni mbaya tu haijalishi dini gani..

Na kama ni nzuri ni nzuri tu hata kama awe hana dini kama mimi hapa.

Kama huamini jiulize Alshababy, Alqaida, boko kharam, na wale wengine huko syria ni dini gani ingawa dini yao haiungi mkono mambo hayo.

Hapo hapo kwenye kile kitabu chao kuna aya kadhaa zinatumika kuwadhuru binadamu wenzao.

Ajabu ni kwamba wote tunaviungo vinavyofanana mwilini.. Na tunakufa kwa mitindo ile ile.

Hivi Mungu ana DINI?
 
Sijawahi kuona kanisa hapa UDOM, why msikiti?...
Halafu haya mambo ya udini na elimu dunia inabidi yawe na maeneo yake husika.. Kama unataka kusali au kuswali nenda huko ambapo hiyo huduma inapatikana... Hii ni taasisi ya una na sio taasisi inayoshughulikia masuala ya kidini.. Mbona kuna maeneo mengine kama vijiji jirana na chuo kuna nyumba nyingi za ibaada.. Kwani lazima hiyo huduma ipatikane kwenye eneo la chuo?

UDOM inatoa wataalamu wa taaluma ambazo sio za kidini, na inashughulikia taaluma tu pamoja na mambo mengine yanayowahusu wanafunzi kama mikopo ya wanafunzi, maladhi na maradhi ya mwanafunzi, discipline, na vingine ambavyo havihusiani na mambo ya kiroho... Kama unataka mambo ya kiroho zipo taasisi ambazo zinatoa huduma hizo na zingine ni lazima usome hiyo dini husika hata kama sio muamini wa hiyo imani.

Yapo maeneo kama ya hospitali za serikali hasa kubwa za mikoa na wilaya ambazo zimetenga na zimejenga kabisa maeneo ya huduma za kiroho ambazo zipo pale kwa ajili ya kuwaombea wapendwa wetu... Sasa tusilazimishe kila sehemu iwe hivyo..

Yapo mengi ambayo serikali yetu inafanya na ni mazuri kwa msitakabali ya taifa letu.. Tusipende kubebesha mizigo serikali na mwisho wa siku tunaanza kuilaumu serikali.

Jambo kama hili mlitakiwa kwenda msikiti mkubwa wa Dodoma, mkaongea na viongozi, mkatafuta maeneo ambayo yapo nje na eneo la chuo ambayo yana movement kubwa ya watu, mkachangishana mkajenga..

Halafu kingine kutengewa eneo ni jambo ambalo sio la lazima, walikua na mamlaka ya kukataa ombi, vile vile wana mamlaka ya kulikubali ombi. Tujaribu kufanya mambo ambayo hayaumizi upande wowote. Kuwa kiongozi huwa kazi kubwa sana kumridhisha kila mtu. Kwa ambao wamewahi kuwa viongozi watakubaliana na mimi...

Ushauri wangu..
Kama unataka huduma za kiroho, nenda katafute sehem ambako hiyo huduma inapatikana na sio kulazimisha maeneo ambayo lengo lake sio kutoa huduma hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni mambo Ya UDINI, tena ukizingatia dini zote zilikuja kwa Meli

Sote ni ndugu

Ama kweli nyani haone kundule, kwa takwimu walipokuwepo hao waliohamishwa UDOM ilionekana kuna udini (chuo cha waislam merely allegations). Leo wamehamishwa zimeletwa takwimu inadaiwa inaonekana ni udini kuleta hoja za kuwepo wakiristo wengi. Hivi UDINI hasa ni nini? kuwepo kwa waislam katika taasisi ya umma au madani ya taasisi kuongozwa na muisisla au muislam kuleta takwimu kama hizi. Au ndiyo mtasema tena ni Coincidence. Tulisema msikiti wa nini UDOM rais akasema kuna haja ya kuwa na msikiti na kanisa. Tulishindwa kuhoji uwepo wa kanisa na msikiti UDMS. You are guided by your stereo typical mindset. Such unchecked discrimination can turn to something worse in years to come. Mkijitoa akili, kumbukumbu zingalipo.
 
Mkuu roho ya mtu kama mbaya ni mbaya tu haijalishi dini gani..

Na kama ni nzuri ni nzuri tu hata kama awe hana dini kama mimi hapa.

Kama huamini jiulize Alshababy, Alqaida, boko kharam, na wale wengine huko syria ni dini gani ingawa dini yao haiungi mkono mambo hayo.

Hapo hapo kwenye kile kitabu chao kuna aya kadhaa zinatumika kuwadhuru binadamu wenzao.

Ajabu ni kwamba wote tunaviungo vinavyofanana mwilini.. Na tunakufa kwa mitindo ile ile.

Hivi Mungu ana DINI?
Mkuu al shababy wanafikaje hapa kwetu... kwa vyovyote vile waislamu wana roho nzuri kuliko tunavyodhania... tembea ujionee.. hata hao al shababy ukifika huko kwako uwatakukarimu sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu al shababy wanafikaje hapa kwetu... kwa vyovyote vile waislamu wana roho nzuri kuliko tunavyodhania... tembea ujionee.. hata hao al shababy ukifika huko kwako uwatakukarimu sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli.. Roho ya mtu haihusiani na dini Mkuu!

Kumbuka Mungu hana dini na yeye ndo anawapa hao binadamu hizo roho.
 
Ama kweli nyani haone kundule, kwa takwimu walipokuwepo hao waliohamishwa UDOM ilionekana kuna udini (chuo cha waislam merely allegations). Leo wamehamishwa zimeletwa takwimu inadaiwa inaonekana ni udini kuleta hoja za kuwepo wakiristo wengi. Hivi UDINI hasa ni nini? kuwepo kwa waislam katika taasisi ya umma au madani ya taasisi kuongozwa na muisisla au muislam kuleta takwimu kama hizi. Au ndiyo mtasema tena ni Coincidence. Tulisema msikiti wa nini UDOM rais akasema kuna haja ya kuwa na msikiti na kanisa. Tulishindwa kuhoji uwepo wa kanisa na msikiti UDMS. You are guided by your stereo typical mindset. Such unchecked discrimination can turn to something worse in years to come. Mkijitoa akili, kumbukumbu zingalipo.
Naona umeongea na Kikristo mkuu!! Ebu mtuletee na takwimu hao wakristu ni wangapi wakatoliki, wasabato, waluteli, wapentekoste, wa Gwajima, wa Mwingira nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe mtu akiwa na jina la kikoloni maana yake ni muumini wa dhehebu hilo, huku usukumani kuna akina Masoud, Mustapha nk wengi ambao hawana dini! Huku kwetu jina halina uzito sana, mjomba anaitwa Shitungulu, baba yake alikuwa anaitwa Baiskeli, mimi jina la nyumbani kabla sijaanza kuwa muumini wa dini flani(hata hivyo niliasi) nilikuwa naitwa Shabaan, hata sijui mama alilipata wapi?
 
Hili ni la Dodoma. Angalia pia UDSM, Mzumbe, SUA na kwengineko. Suala hili linaelekea kuota mizizi.
 
INAONEKANA NYOTE MMEDANDIA GARI KWA MBELE NA HAMJA MUELEWA MLETA MADA,

ILI MUELEWA INABIDI MTAFUTE UZI ULIOLETWA KUWA WAISILAMU WAMEJAZANA UDOM NA HIVYO INABIDI WAAMISHWE NA KWELI WAKAAMISHWA. SASA HIZO TAKWIMU MNAZO TAKA NINYI ZINAUHUSIANO GANI NA UZI WA HUYU JAMAA,

YEYE KALETA TAKWIMU HIZO HAPO JUU AKIMAANISHA KUWA SIO KWELI KUWA UDOM WALIJAZANA MUSLIM MBONA RAHISI SANA KUMUELEWA NA KUJENGA HOJA YA KUMPIGA BILA KUMTUSI AU KUMKEJERI. .
Hata wakitolewa wakristo wote wakapelekwa chuo cha kiislam pale Morogoro wanafunzi hatawasoma?
 
Na bado tunawaleta na masister wa St. Francis - mbeya chuo kiwe na ushindani wa kimataifa
 
Naona umeongea na Kikristo mkuu!! Ebu mtuletee na takwimu hao wakristu ni wangapi wakatoliki, wasabato, waluteli, wapentekoste, wa Gwajima, wa Mwingira nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlidhani kwa madhehebu haya mna haki ya kudai kila mmoja eneo la kujenga kanisa katika kila chuo kikuu cha Dodoma. Eti eka kumi hazitoshi ! Kwa hili, Mh. Magufuli rais amenena iliyo sawa na UDSM is the best model.
 
Back
Top Bottom