Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,179
- 20,956
Mkuu roho ya mtu kama mbaya ni mbaya tu haijalishi dini gani..ASEE NILIKUWA NATAFUTA COMMENT KAMA HII....
KUMBE UDINI UPO BHANA... YAAN HAO WAMEKUFANYA NN HATA UONE WASIPEWE?? LKN UKIRUDI NYUMA KIDOGO UTAONA HAO WATU NDIO ANGALAU WANA ROHO NZURI ZA KUSAIDIA WATU... REJEA HATA TAWALA ZETU.. NENDA ZANZIBAR KISHA RUDI HUKU KWETU.. MCHUKUE KIKWETE KISHA MUWEKE NA JPM...
TUWAACHE WAPUMUE BASI..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama ni nzuri ni nzuri tu hata kama awe hana dini kama mimi hapa.
Kama huamini jiulize Alshababy, Alqaida, boko kharam, na wale wengine huko syria ni dini gani ingawa dini yao haiungi mkono mambo hayo.
Hapo hapo kwenye kile kitabu chao kuna aya kadhaa zinatumika kuwadhuru binadamu wenzao.
Ajabu ni kwamba wote tunaviungo vinavyofanana mwilini.. Na tunakufa kwa mitindo ile ile.
Hivi Mungu ana DINI?