Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

Nchi Hii Si Ya Kidini Kusema Kila Mahali Kujengwa Tu Nyumba Za Ibada Hizo. Watafute Maeneo Ya Kujenga Wakajenge Huko Wamuabudu Mungu Wao. Sio Kila Mahali Palipo Na Shughuli Za Umma Pajengwe Tu Kana Kwamba Nchi Inaongozwa Kwa Misingi Ya Dini.
 
Amemu overrule Gaudencia Kabaka waliyemtuma kutoa msimamo wa serikali.

Yani wamemfanya Gaudencia alidanganya, wameua credibility ya viongozi wa taasisi husika, which hatutakiwi kuwa tunawasikiliza wasemaji wa mamlaka mbalimbali unless kimesemwa na Rais.

Hatuwezi kufika popote kama tunataka solution zitoke katika matamko ya Rais badala ya kuimarisha mifumo.
Mama Gaudencia alitoa fact,Rais ametoa sululisho..ila kama unavyojua watu wa Dini ipo siku wataanza tena tunachanganyika vipi? Sisi hatuwezi tumia Nyumba moja na hawa..Naamini atakayesanifu hayo majengo awe makini kutokuweka miundo ya aina fulani yenye kuleta walakini..
 
Kisheria huwa hakuna madhehehu bali kuna dini. Hivyo Lutheran ni dini, moravian ni dini, catholic ni dini, TAG ni dini, Anglican.. etc.

Hizi dini zote zikitaka ziwe na eneo la ibada humi chuoni si ni vurugu kubwa.
 
Msikiti unajengwa college ipi?Wazee wa SUALA tano watatoka college ya humanity kwenda kuswali ng’ong’ona?
 
Mimi bado sijaelewa, ina maana unapoomba ajira wanakuuliza we ni dini gani?
Lakin anyway yote yanawezekana ila kama ni kweli basi huo ni muflisi wa akili.
Leta takwimu za waislamu na wakristo wasomi kwanza katika nchi hii. Mna shida sana nyie watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, maoni yako ndiyo yalikuwa maoni yangu pia.
Alete takwimu za waislamu na wakristo wasomi KWANZA, Ili tuanzie hapo. NOTE; Mimi ni Mpagani.

INAONEKANA NYOTE MMEDANDIA GARI KWA MBELE NA HAMJA MUELEWA MLETA MADA,

ILI MUELEWA INABIDI MTAFUTE UZI ULIOLETWA KUWA WAISILAMU WAMEJAZANA UDOM NA HIVYO INABIDI WAAMISHWE NA KWELI WAKAAMISHWA. SASA HIZO TAKWIMU MNAZO TAKA NINYI ZINAUHUSIANO GANI NA UZI WA HUYU JAMAA,

YEYE KALETA TAKWIMU HIZO HAPO JUU AKIMAANISHA KUWA SIO KWELI KUWA UDOM WALIJAZANA MUSLIM MBONA RAHISI SANA KUMUELEWA NA KUJENGA HOJA YA KUMPIGA BILA KUMTUSI AU KUMKEJERI. .
 
*UKWELI KUHUSU SAFU YA UONGOZI UDOM NA DHANA YA UDINI*

Chuo Kikuu cha Dodoma kimekuwa na idadi ndogo sana ya wafanyakazi waislamu ukilinganisha na wakristo. Lakini Pia Chuo hicho kimekuwa hakiishi kuomba vibali vya ajira utumishi kwaajili ya kujaza uhaba wa nafasi mbalimbali za wanafanyakazi, Lakini ni jambo la kushangaza leo hii wanawatoa waislamu ingalikua ni wachache, Wakati mahitaji ya PhD nchini ktk vyuo vikuu ni asilimia 38% tuu, bado kuna uhaba wa asilimia 62% ya mahitaji hayo. Ni jambo la kushangaza kuondoa watu hawa ingalikua bado kuna mahitaji lakini kwa kua ni waislamu wameondolewa. Safu ya uongozi Chuoni hapo ni hii👇🏼👇🏼

1.Mkuu wa chuo (Chancellor): Rais Mstaafu Mheshimiwa Benjamin W. Mkapa (Mkristo)
2.Makamu Mkuu wa Chuo (VC) ambaye ndiye Mtendaji Mkuu ni Prof. Peter msoffe (Mkiristo) huyu ana kaimu baada ya Kifo cha aliyekuwa makamu mkuu wa Chuo ambaye pia alikuwa mkristo Prof. Egid Beatus Mubofu.
3.Wasaidizi wakuu 2 wa Makamu Mkuu wa Chuo ni
i.Prof. Peter Msoffe (Mkristo) [Taaluma, Utafiti na Ushauri] na
ii.Prof. Ahmed Ame (Muislam) [Mipango, Fedha na Utawala].
4.Msarifu wa Chuo ni Mohammed Mwandege (Muislam) -AMEHAMISHWA
5.Mkurugenzi wa Utawala wa Rasilimali Watu ni Mama Subira Sawasawa (Muislam)-AMEHAMISHWA.
6.Afisa manunuzi Mr. Simba Omary (Muislam) AMEHAMISHWA
7.Mkurugenzi wa Mipango Bi. Bitakala (Mkiristo)
8.Mkaguzi wa Ukaguzi wa ndani Bw. Nyabange (Mkiristo)
9.Meneja miliki Eng. James Noel (Mkiristo)
10.Mkurugenzi wa Shahada za juu ni Dr. Mariam Hamisi (Muislam)-AMEHAMISHWA
11.Mkurugenzi wa Uhakiki wa Ubora wa Taaluma ni Dr. Alex shayo (Mkristo)
12.Mkurugenzi wa Maktaba ni Dr. Grace Msoffe, ambaye ni Mke wa Kaimu MAkamu Mkuu wa Chuo Prof. Peter Msoffe (Mkristo)
13.Mkurugenzi wa Shahada za Awali ni Dr. L. Mtahabwa (mkiristo)
14.Mkurugenzi wa Utafiti na Uchapishaji ni Prof. Flora Fabian Mbatia (Mkristo)
15.Mkurugenzi wa ICT ni Dr. G. Moshi (mkristo)
16.Mkuu wa chuo cha elimu (college of Education) – Dr. Enedy Mlaki (Mkiristo) ambaye pia ni mkuu wa skuli akisaidiwa na mkuu mwingine wa skuli Dr. William Francis (Mkristo)
17.Mkuu wa chuo cha sayansi ya jamii (College of social sciences and humanities): Prof. A. Tenge (Mkristo) akisaidiana na wakuu wa skuli Dr. R. Kilonzo (Mkristo) na Prof F. Nyoni (Mkristo)
18.Mkuu wa chuo cha sayansi ya kompyuta ni Prof. Mvuma (Mkristo) akisaidiwa na Prof. L. Mselle (Mkristo) na Dr. Mrutu (Muislam)
19.Mkuu wa Chuo cha Elimu za Biashara na Sheria ni Dr. A. Tegambwage (Mkiristo), ambaye pia ni mkuu wa Skuli
20.Mkuu wa Chuo cha Sayansi za Asili na Hisabati ni Prof. S. Vuai (Muislam) aksiaidiwa na Dr. Rubanza (Mkiristo), Dr. Sunzu (Mkiristo) na Dr. Makangara (Mkristo)
21.Mkuu wa Chuo cha Sayansi za Tiba ni Prof. Ipyana (Mkiristo) akisaidiwa na Dr. Hamim R (Muislam) na Dr. S. Kibusi
22.Mkuu wa Chuo cha sayansi za Ardhi ni Dr. Kombe, G (Mkiristo) ambaye pia ni mkuu wa skuli akisaidiwa na Dr. Lema (Mkiristo)
23.Mwanasheria wa Chuo, Bi. Christina (Mkiristo)
Achana na mambo ya udini mkuu, waza maendeleo
 
Dini,dini,dini mpaka mnakera sasa. Kwani mna ajenda gani dhidi ya udini mnataka kufanya nini.
Hivi hao waliopo hapo hawakuhudumii ? Au akiwepo wa dini yako atakupatia nini ? Huu sasa unaanza kuwa ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waislamu awapaswi kupewa mamlaka makubwa ya kiuongozi au utendaji ktk serikali,sekta binafsi na jamii kwa ujumla.
ASEE NILIKUWA NATAFUTA COMMENT KAMA HII....
KUMBE UDINI UPO BHANA... YAAN HAO WAMEKUFANYA NN HATA UONE WASIPEWE?? LKN UKIRUDI NYUMA KIDOGO UTAONA HAO WATU NDIO ANGALAU WANA ROHO NZURI ZA KUSAIDIA WATU... REJEA HATA TAWALA ZETU.. NENDA ZANZIBAR KISHA RUDI HUKU KWETU.. MCHUKUE KIKWETE KISHA MUWEKE NA JPM...
TUWAACHE WAPUMUE BASI..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*UKWELI KUHUSU SAFU YA UONGOZI UDOM NA DHANA YA UDINI*

Chuo Kikuu cha Dodoma kimekuwa na idadi ndogo sana ya wafanyakazi waislamu ukilinganisha na wakristo. Lakini Pia Chuo hicho kimekuwa hakiishi kuomba vibali vya ajira utumishi kwaajili ya kujaza uhaba wa nafasi mbalimbali za wanafanyakazi, Lakini ni jambo la kushangaza leo hii wanawatoa waislamu ingalikua ni wachache, Wakati mahitaji ya PhD nchini ktk vyuo vikuu ni asilimia 38% tuu, bado kuna uhaba wa asilimia 62% ya mahitaji hayo. Ni jambo la kushangaza kuondoa watu hawa ingalikua bado kuna mahitaji lakini kwa kua ni waislamu wameondolewa. Safu ya uongozi Chuoni hapo ni hii

1.Mkuu wa chuo (Chancellor): Rais Mstaafu Mheshimiwa Benjamin W. Mkapa (Mkristo)
2.Makamu Mkuu wa Chuo (VC) ambaye ndiye Mtendaji Mkuu ni Prof. Peter msoffe (Mkiristo) huyu ana kaimu baada ya Kifo cha aliyekuwa makamu mkuu wa Chuo ambaye pia alikuwa mkristo Prof. Egid Beatus Mubofu.
3.Wasaidizi wakuu 2 wa Makamu Mkuu wa Chuo ni
i.Prof. Peter Msoffe (Mkristo) [Taaluma, Utafiti na Ushauri] na
ii.Prof. Ahmed Ame (Muislam) [Mipango, Fedha na Utawala].
4.Msarifu wa Chuo ni Mohammed Mwandege (Muislam) -AMEHAMISHWA
5.Mkurugenzi wa Utawala wa Rasilimali Watu ni Mama Subira Sawasawa (Muislam)-AMEHAMISHWA.
6.Afisa manunuzi Mr. Simba Omary (Muislam) AMEHAMISHWA
7.Mkurugenzi wa Mipango Bi. Bitakala (Mkiristo)
8.Mkaguzi wa Ukaguzi wa ndani Bw. Nyabange (Mkiristo)
9.Meneja miliki Eng. James Noel (Mkiristo)
10.Mkurugenzi wa Shahada za juu ni Dr. Mariam Hamisi (Muislam)-AMEHAMISHWA
11.Mkurugenzi wa Uhakiki wa Ubora wa Taaluma ni Dr. Alex shayo (Mkristo)
12.Mkurugenzi wa Maktaba ni Dr. Grace Msoffe, ambaye ni Mke wa Kaimu MAkamu Mkuu wa Chuo Prof. Peter Msoffe (Mkristo)
13.Mkurugenzi wa Shahada za Awali ni Dr. L. Mtahabwa (mkiristo)
14.Mkurugenzi wa Utafiti na Uchapishaji ni Prof. Flora Fabian Mbatia (Mkristo)
15.Mkurugenzi wa ICT ni Dr. G. Moshi (mkristo)
16.Mkuu wa chuo cha elimu (college of Education) – Dr. Enedy Mlaki (Mkiristo) ambaye pia ni mkuu wa skuli akisaidiwa na mkuu mwingine wa skuli Dr. William Francis (Mkristo)
17.Mkuu wa chuo cha sayansi ya jamii (College of social sciences and humanities): Prof. A. Tenge (Mkristo) akisaidiana na wakuu wa skuli Dr. R. Kilonzo (Mkristo) na Prof F. Nyoni (Mkristo)
18.Mkuu wa chuo cha sayansi ya kompyuta ni Prof. Mvuma (Mkristo) akisaidiwa na Prof. L. Mselle (Mkristo) na Dr. Mrutu (Muislam)
19.Mkuu wa Chuo cha Elimu za Biashara na Sheria ni Dr. A. Tegambwage (Mkiristo), ambaye pia ni mkuu wa Skuli
20.Mkuu wa Chuo cha Sayansi za Asili na Hisabati ni Prof. S. Vuai (Muislam) aksiaidiwa na Dr. Rubanza (Mkiristo), Dr. Sunzu (Mkiristo) na Dr. Makangara (Mkristo)
21.Mkuu wa Chuo cha Sayansi za Tiba ni Prof. Ipyana (Mkiristo) akisaidiwa na Dr. Hamim R (Muislam) na Dr. S. Kibusi
22.Mkuu wa Chuo cha sayansi za Ardhi ni Dr. Kombe, G (Mkiristo) ambaye pia ni mkuu wa skuli akisaidiwa na Dr. Lema (Mkiristo)
23.Mwanasheria wa Chuo, Bi. Christina (Mkiristo)
Mbona wapagani hawapo au budha kwanini ni Ukristo na Uislam tu huo niupendeleo wa wazi kwa dini mbili

UKIMALIZA HILI TULETEE NA KABILA GANI WAPO WENGI, UKIMALIZA KABILA TULETEE NA JINSIA GANI WAPO WENGI. NYAMBAF!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna haja ya kuanza kuweka usawa wa kidini katika teuzi au chaguzi za watu wa kutoa huduma fulani?
Kwamba hata kama mtu fulani hafai lakini kwa sababu watu wa dini yake ni wachache mahali hapo basi akae tu kwasababu za kidini?
Binafsi naona hakuna haja ya kulumbana kuhusu wingi wa watu wa dini fulani sehemu fulani, as long as wanatoa huduma bila kuzingatia dini ya mhudumiwa.Kama waislamu ni wengi na wanastahili kuwepo haina shida na kama wakristo ni wengi na wanastahili kuwepo nayo ni sawa. Tusianze kutengana kwa sababu za kidini, huo utakua ndio mwanzo wa mwisho wetu.
Kwani dr Dau alikuwa anatoa huduma kwa kigezo cha dini? Shida ni kwamba sisi wa Yesu tunamatatzo, tunaona kama vile ndo tuna haki zaidi katika Ofisi za umma nchi hii... Tubadilike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INAONEKANA NYOTE MMEDANDIA GARI KWA MBELE NA HAMJA MUELEWA MLETA MADA,

ILI MUELEWA INABIDI MTAFUTE UZI ULIOLETWA KUWA WAISILAMU WAMEJAZANA UDOM NA HIVYO INABIDI WAAMISHWE NA KWELI WAKAAMISHWA. SASA HIZO TAKWIMU MNAZO TAKA NINYI ZINAUHUSIANO GANI NA UZI WA HUYU JAMAA,

YEYE KALETA TAKWIMU HIZO HAPO JUU AKIMAANISHA KUWA SIO KWELI KUWA UDOM WALIJAZANA MUSLIM MBONA RAHISI SANA KUMUELEWA NA KUJENGA HOJA YA KUMPIGA BILA KUMTUSI AU KUMKEJERI. .
WEWE JAMAA NDO HUKUMBUKI MWANZO WA HII ISHU YA UDOM. MADA ILIKUWA NI KUBOMOLEWA KWA MSIKITI NA BAADAE WAFANYAKAZI WALIOKUWA WAISLAMU KUHAMISHWA HIVYO IKAONEKANA KUWA WAISLAMU WANAONEWA!! UPO HAPO!!!? ACHANA NA MAMBO YA UDINI BRO!! UKISHAKUWA MDINI UTAENDELEA TU KUWA MBAGUZI, HATA UKIKAA NA MUISLAMU MWENZAKO UTATAKA KUJUA KAMA NI WA DHEHEBU LAKO AMA LAH!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So what?,au tatzo n nn?
Acheni mambo ya udini,it wil help nothing!!

Sent from Gamboshi air line
Habari kiongozi.
Mimi nafikiri mleta mada kaleta uchokozi ili tuone ukweli halisi wakilichotokea UDOM.Tuliaminishwa waislamu ni wengi sana kwenye uongozi wa UDOM yapaswa wapunguzwe,lakini ukweli tumeona ni kinyume kabisa.Kama kweli tunapinga udini katika mifumo yetu ilitupasa tuwakemee vikali wale viongozi wa UDOM walioibua hoja ya uwingi wa waislamu,lkn cha kushangaza tulikaa kimya na watu wakahamishwa kwa sababu tu ya dini zao.Tuacheni unafiki hii ni nchi ya wote na hakuna atakayebaki salama yakitokea machafuko.
 
Back
Top Bottom