Nyie watu bhana mna shida,hali hiyo ikitokea kwa wakristo si tatizo na si udini ila ikitokea kwenye idara au shirika waislamu wakawa wengi ni udini rejeeni nssf wakati Dau.Kiufupi baadhi ya wakristo huwa hawaridhiki kuona muislamu yuko ktk nafasi fulani ya kiuongozi watafanya kila hila ilimradi wampake matope hiyo muislamu,ili aonekane hana uwezo hafai na kila aina ya matope watampaka.Mfano hebu dhania ktk hali ya sasa rais Wa nchi angekuwa mislamu,ungesikia kila jumapili wakati wa ibada zinatolewa lugha kali na kushutumu na hata wangesema rais nchi imemshinda.lakini Leo wote kimya kama vile watanzania kwa sasa tumakula kuku ni unafiki mtupu,ndio maana mabadiliko ya kweli ktk nchi hii in vigumu kufikiwa kutokana na unafiki walionao wakristo wengi ktk nchi hii. Wao huwa msmamo wao hutegemea ni dini gani yupo ofisini ,hata kama atawaumiza wananchi madhali ni dini yake hatofungua mdomo wake kukemea.rejeeni misimamo yao wakati wa mwinyi na kikwete na nyakati za Mlm nyerere,mkapa na sasa jpm.Pamoja uduni wote Wa maisha wakati JKN tunalazimishwa leo tumuone mtakatifu natusiseme mabaya yake ambayo ni mengi pengine kuliko mema yake.Acheni mambo Ya UDINI, tena ukizingatia dini zote zilikuja kwa Meli
Sote ni ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app