Gari la mkopo ni presha tupu

Nimemkwaruza jamaa kidogo tu ubavuni, we, we, we we, nilijuta. Akashuka mbio tukaanza kubishana, Traffic akawa anatuangalia kwanza tunavyobishana, kisha akasogea karibu akasema hebu pakini pembeni mna sababisha foleni, jamaa anakomaa hapana hadi upime.

Traffic akapima fasta tuka park pembeni, mimi nikawa muungwana nikamwambia jamaa, mkuu nikupe shingi ngapi ukarekebishe, akasema eti yeye sio fundi, hawezi kukadiria, nikamwambia tuongozane nikamrekebishie akaniuliza wapi?

Nikamwambia garage akaniambia eti yeye anagereji yake na hatakubali gari yake itengenezwe na mafundi asio wafahamu.

Yule traffic akaja tena akauliza mnataka nini, nikamwambia mimi sitaki kupotezeana muda ntamrekebishia gari yake, jamaa akaongea ongea na traffic badae akakubali Nikampeleka garage nnayo ifahamu mimi nikaongea na fundi nikamlipa, jamaa akaanza utata tena, eti nani atasimamia gari ikiwa inatengenezwa?, heee" nikamwambia mi nishalipa wewe baki hapa usimamie kwakuwa mimi sijui maswala ya ufundi kwa hiyo sina cha kumuelekeza fundi.

Fundi akaingilia akamwambia acha namba yako ya simu ikiwa tayari ntakupigia, akaacha namba kwa shingo upande, siku iliyo fuata akaenda kuchukua ugonjwa wake wa moyo. Nilishangaa mtu anaiona gari kama binadamu!!!!!!.

Hahahahaaa kama upo humu am sorry.

pole sana mtoa mada japokuwa nimechelewa lakini huyo mtu hajakosea,hata kama gari lake la mkopo lakini kumbuka ni hela yake ambayao anakatwa kidogo kidogo,2 ulitaka mlipane palepale amsema kwel yeye hajui makadilio ya palipo haribika,pia kumbuka wengi wanaomiliki magari wanakuwa na mafundi wao waliowazoea na kuwaamini, la msingi kuwa makini barabarani
 
Asante mkuu, minajua uchungu wa pesa ila hapanajaribu kutahadharisha pia watu wenye tabia ya kuliona gari kama mtoto, yani kitukidogotu mtuanatoka povu utafkiri kagongwa mtu, unaweza ukafa kwa presha. Hii habari ya kutaka gariikatengenezwe unakotaka haijakaa vizuri, kwamfano we unafundi wako madale,na mi naishi kibada sitakubali kwenda kuko. Tabia ya kupanic, kunajamaa mmoja alikuwa na alteza pale ferry kwenye foleni, UDA likawa lina rudi nyuma ilikugeuka lika mvunjia taa ya mbele, alafu dereva wa UDA akawa kama anaondoka tukampigia makelele akasimama mbele kidogo, jamaa akashuka kwa hasira akaenda kwa dereva wa uda kumkunja na ngumi za kutosha, akamleta pale post, kibao kikamgeukia palepale nayeye utozi ukamuisha, police wanamuuliza kwanini umempiga? akajibu kwasababu alikuwa anakimbia. Kwahiyo tukipata tatizo tusi panic unaweza kuongeza shida nyingine.
 
Kuna mzee mmoja alikua anatembea na mawe kwenye dashboard eti kisa jamaa wa bajaj aliwahi kumkwaruza kidogo kisha akakimbia, Mzee akaamua kumiliki mawe yake ili siku ikitokea tena amepata matatizo na dereva ambae atakimbia yeye kazi yake itakua ni kulenga shabaha tu.
 
Pole sana. Ni kweli kuna watu wanaabudu magari yao kuliko hata familia zao. Wakati gari ni kitu cha kawaida sana, kama ni sehemu ndogo unapotezea tu.
 
Hahahaahahah

Nahisi akigongwa na pikipiki atatembea na bastola

Sipati picha bajaji wanavyopenya na kukimbia mzee wa watu walimwacha katoa macho

Kuna mzee mmoja alikua anatembea na mawe kwenye dashboard eti kisa jamaa wa bajaj aliwahi kumkwaruza kidogo kisha akakimbia, Mzee akaamua kumiliki mawe yake ili siku ikitokea tena amepata matatizo na dereva ambae atakimbia yeye kazi yake itakua ni kulenga shabaha tu.
 
Kuna mzee mmoja alikua anatembea na mawe kwenye dashboard eti kisa jamaa wa bajaj aliwahi kumkwaruza kidogo kisha akakimbia, Mzee akaamua kumiliki mawe yake ili siku ikitokea tena amepata matatizo na dereva ambae atakimbia yeye kazi yake itakua ni kulenga shabaha tu.

Hahahahah duuh sina mbavu mkuu, utafki kamanamuona.
 
Watu wengine si wastarabu imetokea bahati mbaya pesa unalipwa sasa ugonjwaa wa MoyounAtoka waPI?
 
Hili ndo tatizo la watz, unalipa hela kibao kwenye bima bado ukipata ajali tena unalipa hela kutengeneza gali! Siku nyingine ukipata ajali hata kama umegonga wewe pima ajali nenda kituoni andika maelezo kama gari yako haijaharibika sana endelea na ishuzako huyo akawadai bima yako au yake,mambo ya malipo wewe hayakuhusu
 
Mkuu usiombe yakukute, halafu benki zenyewe hazina hata chembe ya huruma.Hapo ni lazima uwe mkali na ukomae haswaa.
 
Nimemkwaruza jamaa kidogo tu ubavuni, we, we, we we, nilijuta. Akashuka mbio tukaanza kubishana, Traffic akawa anatuangalia kwanza tunavyobishana, kisha akasogea karibu akasema hebu pakini pembeni mna sababisha foleni, jamaa anakomaa hapana hadi upime.

Traffic akapima fasta tuka park pembeni, mimi nikawa muungwana nikamwambia jamaa, mkuu nikupe shingi ngapi ukarekebishe, akasema eti yeye sio fundi, hawezi kukadiria, nikamwambia tuongozane nikamrekebishie akaniuliza wapi?

Nikamwambia garage akaniambia eti yeye anagereji yake na hatakubali gari yake itengenezwe na mafundi asio wafahamu.

Yule traffic akaja tena akauliza mnataka nini, nikamwambia mimi sitaki kupotezeana muda ntamrekebishia gari yake, jamaa akaongea ongea na traffic badae akakubali Nikampeleka garage nnayo ifahamu mimi nikaongea na fundi nikamlipa, jamaa akaanza utata tena, eti nani atasimamia gari ikiwa inatengenezwa?, heee" nikamwambia mi nishalipa wewe baki hapa usimamie kwakuwa mimi sijui maswala ya ufundi kwa hiyo sina cha kumuelekeza fundi.

Fundi akaingilia akamwambia acha namba yako ya simu ikiwa tayari ntakupigia, akaacha namba kwa shingo upande, siku iliyo fuata akaenda kuchukua ugonjwa wake wa moyo. Nilishangaa mtu anaiona gari kama binadamu!!!!!!.

Hahahahaaa kama upo humu am sorry.

Yanakopeshwa wapi mkuu tujuzane ili tupate ya kuweka rodini tena mimi nahitaji basi kubwa nijaribu na biashara za masafa
 
Siku moja gari lako likigongwa ndiyo utaelewa kwanini huyo uliyemgonga alikuwa mkali hivyo

Sasa hatanikiwa mkali itanisaidia nini, minikipata ajali siwezi kuwa kama mwehu,yani kushuka na kuanza makelele na matusi, kwanza nitashukuru Mungu kama Niko salama, nitaangalia kama gari imepata damage kiasigani,nani ana makosa,then nitatumia busara kutatua tatizo kwanjia nzuri itakayoonekana inafaa.
 
Yanakopeshwa wapi mkuu tujuzane ili tupate ya kuweka rodini tena mimi nahitaji basi kubwa nijaribu na biashara za masafa

Mkuu bus huwezi kupewa kama huja fanya hiyo biashara, komaa kwanza mwenyewe ununue lakwako then ufanye hiyo biashara ya usafirishaji kwa kipindi kisicho pungua mwaka mmoja, nauwe unalipa kodi nasio ujanja ujanja tu.
 
Kweli JF inabeba taka taka za aina zote...sasa we mtoa mada kuna tatizo gani kuwa na gari la mkopo?Kama wote tusipokopa hizi benki zitajiendeshaje na kutoa ajira kwa hata baadhi ya ndugu zako kama si wewe mwenyewe?People need to start thinking progressively ila kwa aina hii ya ufikiri kama ya mtoa mada Tanzania still has a long way to go.Na by the way anayekopa ana uwezo wa kulipa na anajilipia mwenyewe.Hizi kauli huwa ni za madereva wa dala dala sikujua kama na wao active members wa JF kabla ya kuona hii post.
 
Mkuu bus huwezi kupewa kama huja fanya hiyo biashara, komaa kwanza mwenyewe ununue lakwako then ufanye hiyo biashara ya usafirishaji kwa kipindi kisicho pungua mwaka mmoja, nauwe unalipa kodi nasio ujanja ujanja tu.

mkuu ninayo tena mawili kwa ajili ya matumizi ya nyumbani langu na la mke wangu ila niliposikia kuwa hata kwa mkopo unaweza pata nikaona ni vyema kujaribu maisha kila upande
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom