Kutetemeka sijui,Wadau naomba kujua nini tatizo la gari kutetemeka unapokanyaga accelarator. Gari ni toyota Ractis 2006
Pia kuna muda gari inakosa nguvu ukikanyaga accelarator.
Jamaa kibokoKutetemeka sijui,
Ila kuna mtu alikuja na Ractis yake ofisini kwetu, tukakuta MAF mbovu na spark plug amefunga za Toyota Crown,
Gari inabugia mafuta na haina nguvu.
Sure. Niliwahi kununua gari exhaust pipe imetoboka. Gari inavuma kama trektaAnaglia pia exhaust pipe ikiwa imelegea husababisha mtetemeko.
Nilisha wahi kusahau kufyatua hand break gari langu likawa na shida kama hiyoWadau naomba kujua nini tatizo la gari kutetemeka unapokanyaga accelarator. Gari ni toyota Ractis 2006
Pia kuna muda gari inakosa nguvu ukikanyaga accelarator.
Tukishajiunga wewe unapata faida gani??SAMAHANINI WADAU NIKO NJE YA MADA KIDOGO, NIWAPE HUDUMA HII, WADAU UKIWA NA TIGO UNAWEZA USIZIME DATA KWA HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO
15G=15000/=, 35GB=30000/=, 48GB=40000/= 72GB=60000/= NA 120GB=100000/=
Bando hizi utakua unazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,
nakupa maelekezo buree unalipia moja kwa moja tigo kama unavyojiunga vifurush vingine. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia na ukalinganisha maelekezo yangu na ya customer care.
( Airtel pia naunga Huduma ya SME itakayokupa GB kibao kwa gharama kidogo)
Soma maelekezo hapo chini au nicheki 0717700921
JINSI YA KUJIUNGA
Piga *150*01#
Kisha chagua no4
Kisha chagua no 2 (kupata majina)
Kisha chagua no 6 (tigo business)
Kisha chagua no 2 (security deposit)
Kisha chagua no1
Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat( angalia chat kwenye dp yangu )
Kisha weka no ya siri kudhibitisha!
Ukikamilisha nifahamishe !
itakuwa wema tuTukishajiunga wewe unapata faida gani??
commissionTukishajiunga wewe unapata faida gani??
Hapana nalipwa commission kama mtu anaesajili lain anavyolipwaitakuwa wema tu
Tapeli huyo. Ukishajiunga hutamsikia tenaTukishajiunga wewe unapata faida gani??
Kuna sababu kadhaa.Wadau naomba kujua nini tatizo la gari kutetemeka unapokanyaga accelarator. Gari ni toyota Ractis 2006
Pia kuna muda gari inakosa nguvu ukikanyaga accelarator.
Mkuu kua na busara fuatilia uwe unakuja na evidence kwenye kila unalosema, mimi naamini hapa jf asilimia kubwa ni watu wanaojielewa!!Tapeli huyo. Ukishajiunga hutamsikia tena
Yes hizo ni Engine mounting possiblykagua gearbox na engine mounting