Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 264
Naamini kabisa starehe ni gharama lakini siku hizi wakina dada (wepenzi wetu) wamezidi kutunyonya yeye siyo mke wangu siyo mwanangu wala siyo mama yangu lakini invoice/bill yake kwa mwezi ni kubwa kuliko ya mtu mwinge je nitakapo muoa itakuwaje!
wakina dada muwe na huruma kidogo mimi saloon kwa mwezi natumia 4,500/= yeye zaidi ya 45,000/=
mama yangu mzazi namtumia 20,000/= kwa mwezi kijijini huyu demu anataka zaidi ya 200,000/= za matumizi yake binafsi
mimi navaa kiatu kimoja kwa mwaka yeye kila mwezi anataka kiatu kipya na pamba mpya
bado hujaweka mafuta, perfum, sabuni, outing (knye kunywa atagiza vya bei ya juu hata kama hajawah kuviona) , nk
pengine hata kipato changu anakijua lakini atakavyo kubana hadi sent ya mwisho.
JAMANI MTATUUWA KABLA YA WAKATI TUNACHOKA BASI TU HATUSEMI TUNAKUFA NA KITANZI SHINGONO MUWE NA UTU WA UBINADAMU