WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
ni mzuri sana kila kitu anafanya sawa na ni mkarimu wa hali ya juu kwangu hata kwa ndugu na jamaa wengine, knye mechi nimepita sehemu nyingi sana ila mechi yake ni yakiwango cha juu sana ila tatizo ndio hapo knye cash na matumizi tu pananikera
Sasa unalalamika nini??
Chagua kunyoa au kusuka....huwezi ukapata kila kitu wewe tu tena kiwe asilimia 100! Mkarimu, mcheshi, mzuri, na sifa zote ulizotangulia kumpa hapo juu!