Kwa wale wenye fununu za matokeo kidato cha nne watujuze
Du kumbe JF tuna hadi watoto wa kidato cha nne? Ehee subiri kuzungusha tu dogo,enzi zetu tulikua tunasoma tunatafuta A Flat zote na sio Div I ya point 7.
Fununu zitakusaidia nini/
Subiri matokeo yatoke uvune haki yako.
OTIS
Jitu lilikua halisomi,kutwa liko facbuk,leo matokeo yanakaribia kutoka ndo lnajifanya kupandwa na presha..subir upokee zero yako.over
Ndugu yang jarb kupunguza ukali wa kauli zako ww km msomi unaetegemewa na jamii jarb walau kdg ku2mia hekm na busara ktk maongez yako,kwnn ucmuombee dua huy mdogo wako ili afaulu vzr nae aweze kutmiza ndoto zake za kufka mbal km ambapo ww upo hv sasa?kwnn umtolee kauli za kumkatisha tamaa kiac hcho kaa ukijua kwamb kupt ziro co kuzur kbs na hakuna m2 anapenda imtokee au je ww mwenyw unapenda kupt disco?jarbun kuwapa moyo wadogo zetu na c kuwakatisha tamaa au hamtaki na wao waje washikilie matawi ambayo kwa sas nyie mmeyashikilia?Dogo ucwaze muombe Mungu akufanyie wepec ktk matokeo yako atakukujalia 2.Inshaallah!
Habari nilizopata kutoka jikoni ni kwamba mwaka huu vijana wamefanya vibaya sana labda baraza waamue kustandardise ndo wengi watapona otherwise hali si shwari na ndo maana serikali imeamua kurudisha mtihani wa form two na kuweka sheria kali ili kupunguza idadi ya wanaofeli form four.[/QUOaTE]
Heh!kazi ipo!
Kwa wale wenye fununu za matokeo kidato cha nne watujuze