MIUNDOMBINU JF-Expert Member Apr 14, 2010 465 96 Jan 30, 2012 #1 Kwa mwenye utaalamu wa kurekebisha machine ya kuhesabu pesa naomba tuwasiliane kwa 0762490080 nina machine inanisumbua. Asante.
Kwa mwenye utaalamu wa kurekebisha machine ya kuhesabu pesa naomba tuwasiliane kwa 0762490080 nina machine inanisumbua. Asante.
Bumpkin Billionare JF-Expert Member Jan 5, 2012 1,332 621 Jan 30, 2012 #2 Hiyo machine ipo wapi? Kama ni mwanza au dar mafundi wapo
Dr Matola PhD JF-Expert Member Oct 18, 2010 56,608 93,379 Jan 30, 2012 #3 Duh hii dunia kweli ina mambo, yaani sisi wengine hata za kuhesabu mkononi hatuna wewe una mashine kabisa ya kuhesabia pesa? hongera sana bana.
Duh hii dunia kweli ina mambo, yaani sisi wengine hata za kuhesabu mkononi hatuna wewe una mashine kabisa ya kuhesabia pesa? hongera sana bana.