Natafuta fundi machine ya kufua

Sethshalom

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
581
1,000
Wakuu natafuta fundi wa kunisaidia kutengeneza machine yangu ya kufua ni manual. fundi aweze kufika maeneo ya Ukonga.

Ambaye anamfahamu fundi mzuri anitumie number zake inbox
 
Ungekuwa Kanda ya kaskazini ningekusaidia kuna fundi mmoja ni kiboko waindi walitaka wakamwajiri jamaa akazingua
 
Wakuu natafuta fundi wa kunisaidia kutengeneza machine yangu ya kufua ni manual. fundi aweze kufika maeneo ya Ukonga.

Ambaye anamfahamu fundi mzuri anitumie number zake inbox
0713619587
Mcheki huyo Mr MBUYA ndiye Fundi Mkongwe kwa Dsm kwa AC, WASHING MACHINE na FRIDGE Ofisi yake iko TABATA INAITWA HILL TECH.
Poa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom