Fumanizi la hatari ni lipi kati ya haya?

Mkuu hapo sijakuelewa swali lako.

Mkuu Mwanajamiione aliuliza ivi
"Swali la uzushi- saa hawa wa hivi nao huwa wanatoaga ile milio ya mahaba wanapokuwa wanashughulikiwa au ni ugumegume tu?)"

na Chrispin Akajibu ivi
"Subiri mtaalam Fidel80 aingie humu labda utapata jibu sahihi zaidi"

Ndo maana nikauliza vp mboja hujajibu swali hili mkuu kutokana na maelezo ya Chrispin?
 
"Swali la uzushi- saa hawa wa hivi nao huwa wanatoaga ile milio ya mahaba wanapokuwa wanashughulikiwa au ni ugumegume tu?)"

Mkuu ile ni midadi tu hahahaha yaani utamu wengine wanaume nasikia iwa wanalia kabisa anapo fika kileleni anapiga na yowe kabisa uwiiiiiiiiiiii.
 
Mkuu ile ni midadi tu hahahaha yaani utamu wengine wanaume nasikia iwa wanalia kabisa anapo fika kileleni anapiga na yowe kabisa uwiiiiiiiiiiii.

ha ha ha lol! yupi anaelia kati ya anemegwa au anaemega akifika kileleni?
 
ha ha ha lol! yupi anaelia kati ya anemegwa au anaemega akifika kileleni?

Analia anae mega yaani mwanaume nakumbuka mjomba angu alikuwa analia kabisa akifika kunako alikuwa anatuhadithia mke wake....
 
Analia anae mega yaani mwanaume nakumbuka mjomba angu alikuwa analia kabisa akifika kunako alikuwa anatuhadithia mke wake....

Mjombako alikuwa noma. Anatoa chozi kabsa kunako tendo?
 
hakuna ukali hapo ma bro.........hapo pengine naomba uparekebishe.
Pole. Nili intend kuandika nyamayake. unajua nyamayao ni kwa ajili ya wengi ndo maana nami nikajipigia pande kiaina. hahahahaha!
 
hiyo mijadala yenu nyie ni kumegana tu...lol

hiyo blue hapo hilo limwanaume litalijutia maisha yangu yote kwa kuwa na janaume liclojua uanaume ni nini, ndoa ingekufa kibudu bila maelezo na acjetamka ana mke nyamayao....hapo kwa kumega mwanamke mr wangu Kaizer nikimkuta yeye ndio anatakiwa atimue mbio.....mana ohhh lalaaa

This is my gal...lol
 
Mjombako alikuwa noma. Anatoa chozi kabsa kunako tendo?

Hahahahaha mzee asikwambie mtu pahala hapo patamu mno....we unafikiri mm nilikuwa nang'atwa kwa nini si hicho hicho utamu....hapana chezea utamu bana.
 
Nikimfumania Mke wangu awe anafanywa na mwanaume au mwanamke mwenzake nam'butua tu. Ila hii ya mwanaume kufumwa akiliwa kiboga, hata kama ni mshkaji wangu nikisikia huwa anapumuliwa kisogoni lazima urafiki ufe aisee.. Kha!​
 
Back
Top Bottom