Full tutorial: Tengeneza Paypal na link na kadi yako ya benki

Hivi kuna charges nyingine Paypal zaidi ya registration fees na unapofanya sell/buy transaction?
hapana sijawahi pata charges nyingine. na hio wanayokata dola 1 sio registration fee ni kwamba wanatest tu kama kadi ni yako baadae wanairudisha
 
mimi shida yangu ni kwamba je nawezaje kununua vitu ebay kutoka na refund zangu zilizopo paypal?na je nawezaje kutranfer hizo refund kwenda bank account yangu ya CRDB?
na pia naweza nunua kitu ebay kwa zile refund za paypal pasipo kuhusisha bank account yangu?
 
bank zetu haziruhusu malipo toka paypal huwa watu wengi wanalalamika humu jukwaani.

kuhusu kutumia refund kufanya manunuzi ebay sina uhakika kama inawezekana kwanini usijaribu kununulia? nunua hata kitu kidogo tu kutestia
 
asante chief, lakini tatizo lingine hapo nashindwa kununua kutokana na hizo refund
 
Mkuu ishu huwa inakua Benki kwenye kutra2ce ile Code sababu ideally kwenye statement zetu tunazopewa huwa haionekani mkuu.

Hiyo ni mpaka wadau ndo wanaweza ku spool out hiyo statement inayoonyesha secreat message yenye code
.

Wengi wamekwama hapo kwenye code mkuu.
 
Ukitaka kufungua paypal inabidi ufuate njia hizi

1. visit website ya paypal
Nenda PayPal : Effectuez et Acceptez des paiements ukifika utaregister acount na kila kitu i hope haitakushinda. Hakikisha unatumia email ya ukweli na kama unafanya real business ni bora ikawa email ya siri unayoijua wewe tu ili kuepuka wizi.

2. Nenda benki yako husika
Mfano mimi nilitumia crdb nilienda bank nkaomba waifungue card yangu ya master card ili itumie internet (visa pia inakubali) kuna fomu watakupa ujaze itataka card namba (sio acount) kujua kadi namba utaona chini huko. Ukimaliza kujaza wape fomu yao na waulize itakua tayari baada ya muda gani?. Mara nyingi baada ya masaa 24 inakua tayari.

3. rudi tena website ya paypal
Hapa ushakua member so wewe utalogin tu ukilogin utaona message ya kuverify card yako click hapo na ingiza details za card yako ambazo zitakua

-card no (sio account no)
VisaDebitImage_Features.jpg

Herufi B ni card no
Herufi D ni jina na expiry date
-Utaeka na expire date kama inavoonekana
-utaeka digit 3 za nyuma kama inavoonekana kwenye picha chini.
security_code_visa.png

Ukimaliza watakukata dola 1.94 na watataka uiverfy card kwa benk statement.

rudi benki baada ya siku 3
Mambo ya online yanachelewa baada ya sku tatu statement yako itakua tayari sorry sipo njiani ila nkipata muda ntawatumia picha namna ya kuisoma hio code ila hapa ntawaonyesha theorotically
Ipo namna hii

++++++++pp*xxxxCODE

Huo ndo mfano wake code ya kuverify inakaa kati ya neno pp* na neno CODE yani hizo xxxx zinakua 4

5. Rudi paypal
Hapa utaclick tena verify then utaingiza hizo 4 code then ur done paypal ipo integrated na card yako.

how it works?
Bahati nzuri nimenunua domain na hii njia. Na fata njia hizi na wewe kununua safe.

-kwanza ingia website ya kununua hicho kitu unachotaka then chagua malipo kwa paypal

-utaletwa page ya malipo ya paypal ingiza details zako za paypal (username na pass). Hakikisha adress juu ni paypal na ipo katika secure conection

- ukisha login utaona card yako pale select it kufanya hayo manunuzi na paypal wao watakata hela bila wale jamaa unaonunua kwao kujua details za acount yako

- utamaliza manunuzi na kusubiria siku 3 tena ili bank yako ihamishe hizo fedha.

Hii ndo njia salama ya kununua vitu online kama una tatizo usisite kupost chini.
View attachment 59916
2

Mbona miye nimeshindwa kulipwa kupitia paypal. Mlipaji yuko Australia. Eti paypal haiwezi kulipa bongo, kwa kuwa bongo haiko kwenye orodha ya nchi zinazolipwa kupitia paypal.
 
Jamani mm nimeenda Bank nikafanya Procedures zote sawa na nikapata meseji ya bank kabsa

Nikafungua nika update account yangu fresh nikapata SECURE CODE yangu safi

SASA NAPATA SHIDA MOJA KILA NIKI-LINK CARD NA PAYPAL INANIANDIKIA "decline by issuer"

Nafanyaje!!?
 
Ila awa jamaa wa PayPal hawasaidii wewe kupata payment kutoka nje ingie kweny card,... Ii imekaaje???
 
Jamani mm nimeenda Bank nikafanya Procedures zote sawa na nikapata meseji ya bank kabsa

Nikafungua nika update account yangu fresh nikapata SECURE CODE yangu safi

SASA NAPATA SHIDA MOJA KILA NIKI-LINK CARD NA PAYPAL INANIANDIKIA "decline by issuer"

Nafanyaje!!?

Itakua card yako haina pesa ya kutosha,..
 
Ukitaka kufungua paypal inabidi ufuate njia hizi

1. visit website ya paypal
Nenda PayPal : Effectuez et Acceptez des paiements ukifika utaregister acount na kila kitu i hope haitakushinda. Hakikisha unatumia email ya ukweli na kama unafanya real business ni bora ikawa email ya siri unayoijua wewe tu ili kuepuka wizi.

2. Nenda benki yako husika
Mfano mimi nilitumia crdb nilienda bank nkaomba waifungue card yangu ya master card ili itumie internet (visa pia inakubali) kuna fomu watakupa ujaze itataka card namba (sio acount) kujua kadi namba utaona chini huko. Ukimaliza kujaza wape fomu yao na waulize itakua tayari baada ya muda gani?. Mara nyingi baada ya masaa 24 inakua tayari.

3. rudi tena website ya paypal
Hapa ushakua member so wewe utalogin tu ukilogin utaona message ya kuverify card yako click hapo na ingiza details za card yako ambazo zitakua

-card no (sio account no)
VisaDebitImage_Features.jpg

Herufi B ni card no
Herufi D ni jina na expiry date
-Utaeka na expire date kama inavoonekana
-utaeka digit 3 za nyuma kama inavoonekana kwenye picha chini.
security_code_visa.png

Ukimaliza watakukata dola 1.94 na watataka uiverfy card kwa benk statement.

rudi benki baada ya siku 3
Mambo ya online yanachelewa baada ya sku tatu statement yako itakua tayari sorry sipo njiani ila nkipata muda ntawatumia picha namna ya kuisoma hio code ila hapa ntawaonyesha theorotically
Ipo namna hii

++++++++pp*xxxxCODE

Huo ndo mfano wake code ya kuverify inakaa kati ya neno pp* na neno CODE yani hizo xxxx zinakua 4

5. Rudi paypal
Hapa utaclick tena verify then utaingiza hizo 4 code then ur done paypal ipo integrated na card yako.

how it works?
Bahati nzuri nimenunua domain na hii njia. Na fata njia hizi na wewe kununua safe.

-kwanza ingia website ya kununua hicho kitu unachotaka then chagua malipo kwa paypal

-utaletwa page ya malipo ya paypal ingiza details zako za paypal (username na pass). Hakikisha adress juu ni paypal na ipo katika secure conection

- ukisha login utaona card yako pale select it kufanya hayo manunuzi na paypal wao watakata hela bila wale jamaa unaonunua kwao kujua details za acount yako

- utamaliza manunuzi na kusubiria siku 3 tena ili bank yako ihamishe hizo fedha.

Hii ndo njia salama ya kununua vitu online kama una tatizo usisite kupost chini.
View attachment 59916
Shukran kwa kushare mkuu, mimi ni miaka sasa nafanya online transactions. Payp ni most convenient means of online payment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom