Nashukuru sana nimesha register PayPal bahati nzuri Card yangu ya CRDB ni MasterCard na niliisha register kwa huduma za internet Banking,nimeshaanza na kununua Software online.
ningependa kufahamu je,ukishanunua kitu online,kwa mfano,laptop au headphones huku bongo,UTAVIPATAJE,posta,au,unaletewa ulipo,inakuwaje?
Ukitaka kufungua paypal inabidi ufuate njia hizi
1. visit website ya paypal
Nenda http://paypal.com ukifika utaregister acount na kila kitu i hope haitakushinda. Hakikisha unatumia email ya ukweli na kama unafanya real business ni bora ikawa email ya siri unayoijua wewe tu ili kuepuka wizi.
2. Nenda benki yako husika
Mfano mimi nilitumia crdb nilienda bank nkaomba waifungue card yangu ya master card ili itumie internet (visa pia inakubali) kuna fomu watakupa ujaze itataka card namba (sio acount) kujua kadi namba utaona chini huko. Ukimaliza kujaza wape fomu yao na waulize itakua tayari baada ya muda gani?. Mara nyingi baada ya masaa 24 inakua tayari.
3. rudi tena website ya paypal
Hapa ushakua member so wewe utalogin tu ukilogin utaona message ya kuverify card yako click hapo na ingiza details za card yako ambazo zitakua
-card no (sio account no)
Herufi B ni card no
Herufi D ni jina na expiry date
-Utaeka na expire date kama inavoonekana
-utaeka digit 3 za nyuma kama inavoonekana kwenye picha chini.
Ukimaliza watakukata dola 1.94 na watataka uiverfy card kwa benk statement.
rudi benki baada ya siku 3
Mambo ya online yanachelewa baada ya sku tatu statement yako itakua tayari sorry sipo njiani ila nkipata muda ntawatumia picha namna ya kuisoma hio code ila hapa ntawaonyesha theorotically
Ipo namna hii
++++++++pp*xxxxCODE
Huo ndo mfano wake code ya kuverify inakaa kati ya neno pp* na neno CODE yani hizo xxxx zinakua 4
5. Rudi paypal
Hapa utaclick tena verify then utaingiza hizo 4 code then ur done paypal ipo integrated na card yako.
how it works?
Bahati nzuri nimenunua domain na hii njia. Na fata njia hizi na wewe kununua safe.
-kwanza ingia website ya kununua hicho kitu unachotaka then chagua malipo kwa paypal
-utaletwa page ya malipo ya paypal ingiza details zako za paypal (username na pass). Hakikisha adress juu ni paypal na ipo katika secure conection
- ukisha login utaona card yako pale select it kufanya hayo manunuzi na paypal wao watakata hela bila wale jamaa unaonunua kwao kujua details za acount yako
- utamaliza manunuzi na kusubiria siku 3 tena ili bank yako ihamishe hizo fedha.
Hii ndo njia salama ya kununua vitu online kama una tatizo usisite kupost chini.
View attachment 59916
view kwa ukubwa sorry copy mbaya 0792 ndo code ipo kati ya neno code na pp
Mkuu chief-mkwawa, mie mbona nilikuwa nafanya manunuzi ya domain, wakaniambia ingiza credit card number, halafu kwenye maelezo yao wakasema credit kadi namba inaweza kuwa ni ya credit card, visa card, master card n.k., lakini kila nikiweka card number ya crdb visa card wananiambia invalid! Inakuwaje?
Ni kweli, lakini kuna wengi tu wanasema wana-ship worldwide wakati kwenye baadhi ya nchi hawafanyi!! Wale wanao-locate US ni kwavile ni free shipping there4, kama una-organise nao at ur expense some can ship the item provided uwezekano huo upo-----those people are doin business, so we kama ume-bid mzigo wa thousands of dollars na kuna possibility ya kufanya shipment; they can do it!

Mkuu mi nadhani cha msingi ni kulinda password yako tu, lakini ukisema mtu akijua email uliyofungulia anaweza kukuibia ni kweli lakini pia kuificha iyo email isijulikane ni vigumu kama utataka na wewe watu wakulipe kupitia paypal. Kwenye API ya paypal unachotakiwa kuweka ni email yako, na mtu akibofya kibutton cha pay now with paypall inafunguka profile ya paypall ikiwa na email yako kwa pembeni. So cha msingi ni kulinda password yakoMfano nimeijua email yako ni mimi@sisi.com moja kwa moja najua umefungulia sisi.com so nahack sisi.com napata pass zako then naenda paypal kuforgot password napata pass yako ya paypal then nakuibia account. Thats why nkasema kama business ni serious better hata email ueke ya siri