Hivi ukiwa umesafiri kwenye shughuli zako na kuna mkusanyiko wa watu na ukaona ni chama fulani kinamwaga sera huruhusiwi kusikiliza kwasababu si mkazi wa eneo hilo?Ngoja nikupe mkasa miaka fulani nilikuwa napita maeneo ya magomeni sokoni polisi wa jiji walikuwa wanakamata wafanyabiashara wanaouza bidhaa nje ya soko walitukamata mimi na ndugu yangu na tulikuwa hatuhusiki na tulifikishwa polisi na mahakamani na kusomewa mashitaka ambayo hakuna hata moja lituhusu na dhamana ikataka kufungwa.Hivyo haimanishi kila anayekamatwa kwenye mkusanyiko wenye fujo na vyombo vya dola na kutuhumiwa ni kweli anahusika.Watanzania, serikali yetu na Chama cha Mapinduzi wamezidi kutudharau, kutuonea, kutunyanyasa na kufanya hila za kila namna.
Hii ni aibu kubwa, kati ya Vijana waliofikishwa mahakamani leo ambao polisi wamefanikiwa kuwafikisha mahakamani ni 12. Vijana watatu ni wa Ndago, Josia Israel (Katibu wa CHADEMA), na wenzake Abel Paulo wa Ndago, na Athumani Husein wa Ndago. (hao kwa mujibu wa maelezo ni Wafuasi wa CHADEMA), ni wakaazi wa ndago na wamedhaminiwa leo wapo nje kwa dhamana.
Kizungumkuti ni kuwa VIJANA wengine Saba, walioletwa kwa kusababisha fujo ni wakaazi wa Dar. Hawa ndio wanasadikiwa kuwa kundi la vijana waliopata mafunzo yakutesa watu pale Ulemo, Jimbo la Iramba Magharibi, siku chache kabla ya Uchaguzi wa Igunga, na waliendesha vitendo vya Kikatili katika Uchaguzi wa Arumeru. Hao wamekosa dhamana, vijana wa Singida wameogopa kuwadhamini kwanza kwa kuwa hawafahamiki, na ni wa Dar je wasiporudi siku ya kesi itakuwaje?.
Hata hivyo hawa vijana wamejitambulisha katika hati ya Mashtaka kuwa ni Abdala Mbwana Kingwande, (Mndengereko), ana Miaka 36, Mwislamu, Mfanyabiashara na Mkaazi wa Segerea Dar es Salaam.
Wa Pili Ni Nasri Salehe (Mnyamwezi), ana umri 28, Mwislamu, anakaa karikaoo, na ni mfanyabiashara. Wa tatu ni Laizimu Njama, ni MMakua, ana miaka 42, Mwislamu, anatokea Tandika/Temeke Dar es salaam. Wa Nne ni Mohamedi Abdalaa, Mluguru, ana miaka 34, Mwislamu, anakaa Kibamba Dar es Salaam, wa Tano ni Rudoviki Muganyizi, Mhaya, ana miaka 32, Mkristo, Ni Injinia. Wa Sita ni Justini Sangu, Mfipa, ana miaka 40, Mkristo anakaa Dar na ni mfanyabiashara. Wa Saba ni Salumu Ali Rashidi, ni Mmwela, ana miaka 26, Mwislamu, ni Mkaazi wa Tandika Jijijini Dar.
Maswali magumu ni haya: Tumetoka Mahakamani viongozi wa CCM wanahaha kuwadhamini hao vijana saba toka Dar. Je hao vijana, wafanyabiashara na injia wana Uhusiano gani na CCM? Je kama ni kweli ni wafanya biashara wa mazao kama walivyojitambulisha ilikuwaje waje kwenye Mkutano wa CHADEMA, ilhali Mkutano wa CHADEMA ulikuwa ni wa sera za chama na hakuna Dalali wamazao katika Mikutano ya Chadema?. Muda wote wamehudumiwa na viongozi wa CCM je CCM ilikuwa na maslahi gani na wafanyabiashara hao?
Ninaacha wazi wanafalsafa mjiulize maswali, na majibu muweke ninyi. Ila Mwigulu Nchemba, amehonga vijana shs 10,000/- wamefanya fujo na kusababisha kifo cha mwenzao.
Mh!naona umemkumbuka Chacha Wangwe!
Watanzania, serikali yetu na Chama cha Mapinduzi wamezidi kutudharau, kutuonea, kutunyanyasa na kufanya hila za kila namna.

Gibons MwaikamboMh!naona umemkumbuka Chacha Wangwe!
Naomba pia uwakumbuke hawa:
(1) Imran KombE
(2)Horace Kolimba
(3)Edward Moringe Sokoine
(4)Kasim Hanga(Alizikwa wapi?)
(5)Gilman Rutihinda
(6)Steven Kibona
(7)Daudi Balali