Fujo za Iramba: Waliofanya fujo wanatoka Dar (soma majina)

Katika akili ya kawaida huwezi kumhonga mfanyibiashara kwa 10000/=akfanye fujo kwenye mkutano kama ilivyotokea maana anahakika ya kutengeneza zaidi ya hizo pesa hata katika mazingira ya kawaida.
Hawa ni wahuni tena choka mbaya!!!!!!!!!!!!!
 
In Tanzania (with exceptions, please!)1+1=11
and to some, if 2+2=4 and 2x2=4, and 1x1=1; then 1+1=.....?
 
chemba ya choo mpuuzi sana.., political moron.., jinga kabisa.., afu sikujua jitu zima kama lile linakua kama toto dogo..,

afterall, time will tell.., ccm will certainly fall, just like any other dictatorial party....,
the higher they climbed, the further they will fall
Huyu Miguu Chemba sio tu kubwa jinga,mpuuzi na nk ila kapitiliza, ndio maana tulipokuwa nae chuoni pale mlimani alikesha nje ili ajionee kwa macho kuwa mpenzi wake hakulala chuoni, na alisubiri mpaka alfajiri mtoto akarudisha na pedeshee nae akabaki ana ng'aa kama bundi aliyefumaniwa. Huyo jamaa ujinga kaanza zamani ndo maana yuko alivyo..
 
1. Hao vijana waliingia lini Singida? na walipanga kuondoka lini?

Je wote Walisafiri pamoja? Walitumia basi gani toka Dar hadi kufika Singida? Na wanajuana? kama ndio kwa muda gani? Na wamejuana wapi wakiwa Singida au Dar, na nini kiliwaunganisha?

3. Walishafika Singida kabla? Kama jibu ndiyo, lini na kwa shughuli gani? Walikuwa wote? Injinia, Karani na wafanyabiashara walikuwa na kazi gani Ndago? Je kazi zao zina uhusiano gani?

4. Dar es Salaam wanafanya biashara pamoja, na eneo lao la biashara liko mahali gani?

5. Walisikia toka kwa nani kwamba CHADEMA walikuwa na mkutano? na waliambiwa no viongozi gani watahutubia? Kulikuwa kuna nini cha kununua katika Mkutano wa CHADEMA mpaka wafanyabiashara lukuki vile toka Dar wakafika Ndago?

6. Mbali na kuhudhuria mkutano wa CHADEMA, walifanya nini kingine siku/kabla ya mkutano huo?.

7. Wanamjua Mwigulu Nchemba? au walishasikia hilo jina? na wanafikiri ni nani?

8. Wametembelea sehemu gani nyingine ndani na nje ya Tanzania kwa miezi 12 iliyopita?

9. Mbali na mkoa wa Singida ni mkoa gani mwingine huwa wananunua mazao, na lini mara ya mwisho wamenunua huko? Na je wana risiti za mazao walizowahi kusafirisha? Je wanalipia ushuru wa mazao barabarani waliposafirisha mazao? Mara ya Mwisho walilipa katika kizuizi cha Wilaya ipi? Je wana risiti?

10.Wanaweza kusema huu ni msimu wa mazao gani Singida? Na mkoa gani unazalisha nafaka kwa wingi zaidi hapa Tanzania?

Mwisho wa Ubaya ni Aibu. Muda si mrefu CCM wataumbuka vibaya mno na kupoteza kabisa credibility ya chama chao na hii itakuwa soon before 2015. Mungu anazidi kufunua uozo wa CCM.
 
chemba ya choo mpuuzi sana.., political moron.., jinga kabisa.., afu sikujua jitu zima kama lile linakua kama toto dogo..,

afterall, time will tell.., ccm will certainly fall, just like any other dictatorial party....,
the higher they climbed, the further they will fall
Hata hivyo mbona ni toto dogo??
 
Maswali:

1. Hao vijana waliingia lini Singida? na walipanga kuondoka lini?

. Walisafiri pamoja? Na wanajuana? kama ndio kwa muda gani?

3. Walishafika Singida kabla? Kama jibu ndiyo, lini na kwa shughuli gani? Walikuwa wote?

4. Dar es Salaam wanafanya biashara pamoja, na eneo lao la biashara liko mahali gani?

5. Walisikia toka kwa nani kwamba CHADEMA walikuwa na mkutano? na waliambiwa no viongozi gani watahutubia?

6. Mbali na kuhudhuria mkutano wa CHADEMA, walifanya nini kingine siku/kabla ya mkutano huo?

7. Wanamjua Mwigulu Nchemba? au walishasikia hilo jina? na wanafikiri ni nani?

8. Wametembelea sehemu gani nyingine ndani na nje ya Tanzania kwa miezi 12 iliyopita?

9. Mbali na mkoa wa Singida ni mkoa gani mwingine huwa wananunua mazao, na lini mara ya mwisho wamenunua huko?

10.Wanaweza kusema huu ni msimu wa mazao gani Singida? Na mkoa gani unazalisha nafaka kwa wingi zaidi hapa Tanzania?

Fantastic Probing Questions; But who will ask them such Questions?? NOT OUR POLICE OFFICER's to CCM Members
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Jamani Tanzania tunakwenda wapi? Tujirudi tuwe watu wa maadili mema ili tusonge mbele kimaendeleo katika ujumla wake. Hakuna ngao bara zaidi ya nia njema katika yale yote tunayoyafanya siku zote. tuache mambo ya kupakana matope kuficha ukweli na mambo kama haya. Uongo na ghiliba siku zote hutfikisha katika aibu na kurudi nyuma kimaendeleo kwa kupoteza muda wa kufanya mambo ya kimaendeleo. Tuanzan kuwafundiisha watoto wetu tangu mashuleni faida za kuwa na mawazo chanya katika kila hali maishani.
 
Ccm ni janga la taifa; mauaji kila mahali kuanzia magogoni mpaka Ndago. Mpaka tuiondoe ccm madarakani lazima watanzania tutauawa sana.
NI VEMA WATANZANIA TUKAJIANDAA KISAIKOLOJIA NA KUWA TAYARI KUFA KWA AJILI YA NCHI YETU.
 
@ Kurunzi acha tu uyu jamaa,sasa wameshtakiwa kwa kosa gani hasa? kama ni mauaji inakuweje wanatafutiwa dhamana?kesi za mauaji zina dhamana?au mie sijui sheria
 
Watanzania, serikali yetu na Chama cha Mapinduzi wamezidi kutudharau, kutuonea, kutunyanyasa na kufanya hila za kila namna. Hii ni aibu kubwa, kati ya Vijana waliofikishwa mahakamani leo ambao polisi wamefanikiwa kuwafikisha mahakamani ni 12. Vijana watatu ni wa Ndago, Josia Israel (Katibu wa CHADEMA), na wenzake Abel Paulo wa Ndago, na Athumani Husein wa Ndago. (hao kwa mujibu wa maelezo ni Wafuasi wa CHADEMA), ni wakaazi wa ndago na wamedhaminiwa leo wapo nje kwa dhamana. Kizungumkuti ni kuwa VIJANA wengine Saba, walioletwa kwa kusababisha fujo ni wakaazi wa Dar. Hawa ndio wanasadikiwa kuwa kundi la vijana waliopata mafunzo yakutesa watu pale Ulemo, Jimbo la Iramba Magharibi, siku chache kabla ya Uchaguzi wa Igunga, na waliendesha vitendo vya Kikatili katika Uchaguzi wa Arumeru. Hao wamekosa dhamana, vijana wa Singida wameogopa kuwadhamini kwanza kwa kuwa hawafahamiki, na ni wa Dar je wasiporudi siku ya kesi itakuwaje?. Hata hivyo hawa vijana wamejitambulisha katika hati ya Mashtaka kuwa ni Abdala Mbwana Kingwande, (Mndengereko), ana Miaka 36, Mwislamu, Mfanyabiashara na Mkaazi wa Segerea Dar es Salaam. wa Pili Ni Nasri Salehe (Mnyamwezi), ana umri 28, Mwislamu, anakaa karikaoo, na ni mfanyabiashara. Wa tatu ni Laizimu Njama, ni MMakua, ana miaka 42, Mwislamu, anatokea Tandika/Temeke Dar es salaam. wa Nne ni Mohamedi Abdalaa, Mluguru, ana miaka 34, Mwislamu, anakaa Kibamba Dar es Salaam, wa Tano ni Rudoviki Muganyizi, Mhaya, ana miaka 32, Mkristo, Ni Injinia. Wa Sita ni Justini Sangu, Mfipa, ana miaka 40, Mkristo anakaa Dar na ni mfanya biashara. wa Saba ni Salumu Ali Rashidi, ni Mmwela, ana miaka 26, Mwislamu, ni Mkaazi wa Tandika Jijijini Dar. Maswali magumu ni haya: Tumetoka Mahakamani viongozi wa CCM wanahaha kuwadhamini hao vijana saba toka Dar. Je hao vijana, wafanyabiashara na injia wana Uhusiano gani na CCM? Je kama ni kweli ni wafanya biashara wa mazao kama walivyojitambulisha ilikuwaje waje kwenye Mkutano wa CHADEMA, ilhali Mkutano wa CHADEMA ulikuwa ni wa sera za chama na hakuna Dalali wamazao katika Mikutano ya Chadema?. Muda wote wamehudumiwa na viongozi wa CCM je CCM ilikuwa na maslahi gani na wafanyabiashara hao? ........... Ninaacha wazi wanafalsafa mjiulize maswali, na majibu muweke ninyi. Ila Mwigulu Nchemba, amehonga vijana shs 10,000/- wamefanya fujo na kusababisha kifo cha mwenzao.

Mkuu unanikumbusha kipindi cha Tambwe Hizza.
 
Yaleyale kama ya Dr. Ulimboka, Kova akasema amepata mtuhumiwa kumbe janja ya nyani. Mungu atuepushe mbali na huyu Mwigullu mapema, kama ana mipango ya kimafia namna hii kwa umri wake akiwa Mzee atakuwa zaidi ya Idd Amini.

Tumwombe kamanda Lema amuombee
 
kama ni kweli jeshi la polisi lifanye kazi bila upendeleo hao vijana wahojiwe ili ukweli upatikane.
jeshi gani la polisi?hili la tanzania chini ya Mwema na JK?aaaaaa sahau kabisa afu bungeni leo mtu kakazana eti muongozo nimetishiwa kuuwawa!!!ivi bungeni siku izi limekua bunge la mashtaka au polisi?sasa kilichowapeleka kule ni kesi na kusomeana sms?uwakilishi wetu uko wapi? yani kuna watu mat...ko sana bungeni
 
Maswali:

1. Hao vijana waliingia lini Singida? na walipanga kuondoka lini?

. Walisafiri pamoja? Na wanajuana? kama ndio kwa muda gani?

3. Walishafika Singida kabla? Kama jibu ndiyo, lini na kwa shughuli gani? Walikuwa wote?

4. Dar es Salaam wanafanya biashara pamoja, na eneo lao la biashara liko mahali gani?

5. Walisikia toka kwa nani kwamba CHADEMA walikuwa na mkutano? na waliambiwa no viongozi gani watahutubia?

6. Mbali na kuhudhuria mkutano wa CHADEMA, walifanya nini kingine siku/kabla ya mkutano huo?

7. Wanamjua Mwigulu Nchemba? au walishasikia hilo jina? na wanafikiri ni nani?

8. Wametembelea sehemu gani nyingine ndani na nje ya Tanzania kwa miezi 12 iliyopita?

9. Mbali na mkoa wa Singida ni mkoa gani mwingine huwa wananunua mazao, na lini mara ya mwisho wamenunua huko?

10.Wanaweza kusema huu ni msimu wa mazao gani Singida? Na mkoa gani unazalisha nafaka kwa wingi zaidi hapa Tanzania?

Inabidi jeshi la poli-CCM watuambie wananchi kama wamewauliza haya maswali la sivyo na wao ni wahusika wa mpango huu wa uovu kama ule wa ulimboka DK.
 
Hili suala limeishakuwa kama kupigwa kwa Dr. Ulimboka, manake watu wanajiuliza maswali pasipo kujua majibu yake!
 
Kuna mengi yanatatiza hapa, lakini soon ukweli utafahamika. Tanzania ya sasa si ya mwaka 47!Kinachonisikitishahapa vijana kutokuwa na kazi na kurubuniwa kwa elfu 10 tu.Mungu Ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom