Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,902
- 944
KOMREDI. KAWAIDA KUZUNGUMZA KUSIKILIZA KERO ZA VIJANA KATIKA OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU UPANGA-DAR ES SALAAM TAREHE 25
đź—“ Novemba 24, 2023.
đź“ŤUpanga-Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Komredi. Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) Kuzungumza na Vijana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM Upanga-Dar es Salaam, siku ya Jumamosi tarehe 25 Novemba, 2023. Kuanzia saa 2:00 Asubuhi hadi 9:00 Alasiri.
Lengo la mazungumzo hayo ni kusikiliza Kero na Changamoto wanazokumbana nazo Vijana katika shughuli zao za kila siku na kuzitafutia ufumbuzi.
#SautiYaVijana
#KaziIendelee
#UVCCMKazini
#KulindaNakujengaUjamaa
#SisinaMamaMleziwaWana
Imetolewa na
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa