FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

FB_IMG_1681784983383.jpg
 
Hamjui kama anataka ufalme na yeye,?,kiukweli saidoo kama jana asingekuwa na kazi kubwa ya kukaba na kupokonya mipira angetakiwa atoke tu,ila jana alikuwa na kazi kubwa sana yule mzee yule
Apunguzee uchoyo na ubinafsii,. Aipamnanie team kwanza.
 
Maumiv
Nilichokuwa nakitaka ndio hiki kimetokea leo.

Ishu haikuwa sio tu kumfunga Yanga

Bali ni kumfunga Yanga akiwa full compact plus na vile virutubisho vyake vya jezi nyeusi kuihusisha na bahati.

Mwaka jana niliposikia taarifa kuwa Mayele anataka kuuzwa mpaka Senzo kutishia kuondoka endapo atauzwa, nilikuwa mtu niliye tofautiana mtizamo na baadhi ya mashabiki wenzangu wa Simba.

Mimi sikutaka hilo litokee, hiyo yote ilikuwa kwa ajili ya siku kama ya leo.

Tungewafunga wakiwa wamepungukiwa na wale wachezaji wao nyota ningefurahi kama ushindi kumfunga mtani ila vibe lingekuwa too low.

Kwasababu kile kipindi tuwafunge bao 4-1 ni ukweli usiopingika kuwa hawakuwa na kikosi bora. That's why unaona hata wao utetezi wao ulikuwa "tulikuwa tuna kikosi kibovu"

Leo kila waliyetaka kumuona uwanjani, alikuwepo.

Kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji wote leo walikuwepo, hakukuwa na majeruhi, hakukuwa na wachezaji waliokosa mechi sababu ya kadi za njano.

Leo labda watafute lawama kwa kumkosa Feisali. (Kitu ambacho nitawaona vigeugeu kwasababu wao ndio waliosema no Feisali no problem)

Mwisho nasema mjifunze kuiheshimu Simba, muache ushamba wa kuamini rangi ya jezi kuwa ndio yenye bahati.

Mechi yenu inayofata aanzeni upya hesabu zenu, kuanzia ule ukiritimba wa kufurahia kila mechi kufunga goli hadi unbeaten
Maumivu yangu yalikua ni kuona hawa diarra juma, bangala ,moloko n.k tangu watue utopoloni awakuwai jua machungu ya kufungwa derby zaidi ya wao kufurahi finally imetimia na kibaya full mkoko wakapangwa na jezi nyeusi juu waaapi
 
Back
Top Bottom