From Diamond Jubilee: Rais Kikwete aongea na Wazee wa Darisalama!

Marais huwa wana address Wanachuo, au waandishi wa habari au wananchi kwa ujumla sasa huyu wetu huwa anaonge na hawa vihiyo wanaoitwa wazee wa Dar sijui ni kina nani?

Nili expect Rais angeongea na madaktari juzi lakini hakuna anasubiri kuongea na watu wanaofurahia mafao yao na kusubiri kufa wa kazi gani aongee na vijana nguvu kazi ya baadaye...
 
Maswali ya msingi yasiyo na najibu muafaka mpaka sasa....
Agenda eti zitakuja kama surprise, yaani anazo yeye mwenye mfukoni mwake lol

Tofautisha hotuba na majadiliano ..... agenda huwa zinatolewa kama yanayofanyika ni majadiliano bhana!
 
Wanabodi, niko ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee kuwa update huu mkutano wa Rais Jakaya Kikwete na wazee wa Darisalama.

Ukumbi umeshiba, viongozi wengi wameshawasili, JK anatarajiwa kuingia any moment from now!.

Karibuni.
Pasco, tangu kutangazwa kwa habari kuwa rais Kikwete atakutana na wazee wa dar es salaam, kumekuwa na mijadala ikihoji hawa wazee wa Dar es Salaam ni nani hasa? Unaweza kutupatia maelezo kuonyesha hao waliopo hapo kama Wazee wa Dar es Salaam ni nani hasa?
 
Kama nimemuona yule sheikh wa kule Temeke alikuwa anamuunga mkono Lyatonga Mrema; Sheikh Mtopea.
 
anazungumza na waislamuwa dar es salaam.
Naona ameshtuka kuwa watu waliponda sana kuhusu jezi za ccm ndo maana leo manguo ya kijani ni machache
 
sasa kipi ni kipi, kwani kampeni za CCM uzinduzi umeisha arusha??? au wanapiga dabo-dabo?
 
Wanabodi, niko ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee kuwa update huu mkutano wa Rais Jakaya Kikwete na wazee wa Darisalama.

Ukumbi umeshiba, viongozi wengi wameshawasili, JK anatarajiwa kuingia any moment from now!.

Karibuni.

Mkuu Pasco wanaruhusu kuuliza maswali? kama ndiyo mwulize ataongea lini na sisi vijana wa Dar aka wamachinga?

Kama hawaruhu maswali mwambie huo mkutano hujakamilika.... au hao wazee wenyewe hawana maswali?
 
The good thing ni kwamba kila mmoja wetu anataka kuja Rais ataongea nini lakini kila mtu anajifanya anaponda
NB Rais haendi kujadiliana na mtu au kuulizwa maswali anakwenda kuongea na Taifa through wazee wa DSM

Bado hatujafikia muafaka kuhusu tafsiri inayotumika kwenye hiyo bold...
Naona imeamulika itumike dhana ya kutukubalisha kupitia "uongo ukirudiwa sana...."

Kwa mujibu wa Pasco hao wazee wamevalia sare za chama chao wanachokifahamu tokea zamani... kwa nini wasitambulike kwa chama hicho?? Badala ya kuwatwisha mzigo wa uwakilishi wa wenzao wa dar amabao hawajawahi kukipenda hicho chama??
Najua ntaonekana naresha hoja ambayo labda mshaipigia sana kelele ila hichi ndicho kinachotokea kama mjadala haujafungwa.
 
Back
Top Bottom