From Diamond Jubilee: Rais Kikwete aongea na Wazee wa Darisalama!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,428
113,433
Wanabodi, niko ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee kuwa update huu mkutano wa Rais Jakaya Kikwete na wazee wa Darisalama.

Ukumbi umeshiba, viongozi wengi wameshawasili, JK anatarajiwa kuingia any moment from now!.

Karibuni.

Update1.
Rais Jakaya Kikwete ameishaingia na sasa anahutubia na kulikuwa hakuna any bitting around the bush ameanza moja kwa moja kuhit the bull "Mgomo wa Madaktari"!
Update2.
Rais JK, amemaliza kuhutubia. Amewashitaki madaktari kwa Wazee wa Darisalama. Amekiri madai ya madaktari ni ya msingi lakini mazungumzo yanaendelea. Hakuzungumza kama atawatimua Waziri wa Afya na Naibu wake. Amekiri hali ya kutoaminiana ambayo ataishughulikia na kumalizia kuwa amewaomba madaktari kuwa huu ndio mgomo wa mwisho!.

My Take:
JK did what he is really good at, using his convincing hypnotic charm powers ( a good sense of humour), average Tanzanians wamerally behind their president wamerudisha imani kwa rais wao. Hii ni plus kwa JK! na hata ikitokea serikali ikishindwa kutekeleza madai yao, hawawezi tena kugoma!.

Baada ya hotuba nikajaribu kusaka sura yoyote ya watu prominent kwenye opposition sikubahatika kuona!.

Japo mgomo umemalizika rasmi, hatuwezi wote kunyamaza kimya as if nothing happened. Damu za watu zimemwagika!, Watu wamekufa!. There must be someone resiponsible ambaye should be held accoutable hata liable for such loss of life. Naandaa kipindi changu maalum cha redio na TV kuhusu mgomo huu. Prog. ikiwa tayari nitawaupdate muiangalie mnipe opinion yenu nirudi kwenye active media au ni proceed kwenye petition niwe advocate tukutane na wahusika wa aina hii mahakamani!.

Asanteni

Pasco.
 
Mkuu Pasco asante sana tafadhali endelea kutujuza kinachoendelea huko Diamond Jubilee.
 
nani aliwambi wazee wako dar peke yake?.kila siku anaongea na wazee wa dar kwani mbeya hakuna wazee....hahhaha
 
Pasco kuna dalili ya TV yoyote kuwa live? TBC wapo?? Nina hamu ya kujua TBC watachagua wapi? Arumeru kwenye pesa ama Diamond kwa mwenye mali![/QU

mkutano arumeru umedoda hivyo wameamriwa TBC 1 wasitishe matangazo ya moja kwa moja kuficha aibu
 
Pasco wewe umeingia kama mwandishi au mmoja wa mzee? Samahani, nataka nikupe swali la kumuuliza mkuu iwapo na wewe ni mzee
 
Sitting arrangment iko poa, waheshimiwa wabunge upande wao, viongozi wa serikali upande wao ila sijaona upande wa mhimili wa mahakama!.

Ukiangalia mawazi ya wengi wa hawa wazee wa Darisalama, wamevalia sare ya chama chao wanachokifahamu tangu zamani, nadhani organization ya mahudhurio ni kupitia wale mabalozi wetu wa nyumba kumi kumi!.
 
Mkutano wa Rais wa JMT na wazee wa Dar hatujui atazungumza nini lakini mwanzoni alikuwa azungumzie mgomo wa madaktari.
Hivi huwa anazungumzaga kitu?
Najaribu kukumbuka..........mmmmh.........yah!!, mbayuwayu, nini tena?
Absolutely Nothing!!!
 
Sitting arrangment iko poa, waheshimiwa wabunge upande wao, viongozi wa serikali upande wao ila sijaona upande wa mhimili wa mahakama!.

Ukiangalia mawazi ya wengi wa hawa wazee wa Darisalama, wamevalia sare ya chama chao wanachokifahamu tangu zamani, nadhani organization ya mahudhurio ni kupitia wale mabalozi wetu wa nyumba kumi kumi!.
kwahiyo anaongea na wazee au wabunge na viongozi wa serikali?
 
Back
Top Bottom