From Diamond Jubilee: Rais Kikwete aongea na Wazee wa Darisalama!

Hivi hawa wazee ni lazima wawe wa chama cha CCM tu ndio huwa anaongeaga nao?
a1.jpg
 
Halafu kwanini JK hatoagi nafasi ya kuulizwa maswali na hao wazee?
 
The good thing ni kwamba kila mmoja wetu anataka kuja Rais ataongea nini lakini kila mtu anajifanya anaponda
NB Rais haendi kujadiliana na mtu au kuulizwa maswali anakwenda kuongea na Taifa through wazee wa DSM
 
Well,

Its like when you have a problem with your wife... and call your 10,8,6 and 4 year kids and talk about your family problems!!! the kids need to see a happy family not a truck full of trashy excuses

JK awaache wazee wapumzike, wamehangaika sana kutafuta uhuru, kutuzaa, kutulea, kutusomesha sasa ni wakati wa yeye kwenda kuwambia vijana wenu wako juu, shida zimepungu nk

I REALLY FIND THIS APPROACH RATHER UNFAIR AND SILLY EXCUSE TO SHUT THE DOOR FOR REAL SOLUTIONS TO CHALLENGES
 
Serikali nzima iko hapa wakiongozwa na mawaziri, miongoni mwao ni wale mawaziri na naibu wake ambao ndio muhimu kuliko mawaziri wengine wote. Hawa ni wale wanaoshikilia ile wizara nyeti kwa afya na uhai wa Watanzania!. Kama kuna watu mnadhania kuwa JK atawatemesha mzigo mtakuwa mmepotea sana!.
 
Sitting arrangment iko poa, waheshimiwa wabunge upande wao, viongozi wa serikali upande wao ila sijaona upande wa mhimili wa mahakama!.

Ukiangalia mawazi ya wengi wa hawa wazee wa Darisalama, wamevalia sare ya chama chao wanachokifahamu tangu zamani, nadhani organization ya mahudhurio ni kupitia wale mabalozi wetu wa nyumba kumi kumi!.

Kwenye bold red, hata wewe mwenyewe unajikanyaga kanyaga...
Katika Tanzania ya sasa hamna kitu kama "wazee wa Dar" kwa tafsiri inayojengwa kipropaganda na vyombo vya habari njaa.....
Huo upande najua Pasco unakaa kwa roho ngumu sana..
Eti nadhani blah blah.... Asee
 
TBC kimyaaaaaa wao wako baharini na viumbe vya Munyaazi Mungu. Angalao hata watoto wetu watajifunza aina ya viumbe waishio baharini!
OB Vans 2 za TBC-1 na TBC-Taifa zimetia nanga hapo nje, nadhani wanasubiri tuu rais aingie waanze kurusha live!.
 
Serikali nzima iko hapa wakiongozwa na mawaziri, miongoni mwao ni wale mawaziri na naibu wake ambao ndio muhimu kuliko mawaziri wengine wote. Hawa ni wale wanaoshikilia ile wizara nyeti kwa afya na uhai wa Watanzania!. Kama kuna watu mnadhania kuwa JK atawatemesha mzigo mtakuwa mmepotea sana!.

.....taratibu pasco.
 
TBC taifa wanaripoti live, wazee waliofika ni wengi na wamevalia rangi za chama chao.
 
Pamoja na heshima yangu kwa wazee, I never understand why our president like talking to them more often than he does with other civil groups!! Or speak to wazee from other towns and cities. What is it with Dar wazee? More mature and articulate than those from other towns and cities? Easy of access (without needing to travel long distances).

There can be only one reason - to gain sympathy from people who are not part of solutions and therefore not part of problems!!

Oooh, my foot.
 
Back
Top Bottom