Freeman Mbowe kugombea tena uenyekiti wa CHADEMA

Mwenyekiti Ccm-Mkapa Chadema Mbowe
Mwenyekiti Ccm Kikwete -Chadema -Mbowe..
Mwenyekiti Ccm-Magufuli-Chadema Mbowe..
Mwenyekiti Ccm-Samia -Chadema -Mbowe...

Labda ni Mwenyekiti Hadi kifo

Hao wote wameondoka kwa matakwa ya katiba.

Rudi kipindi cha Nyerere alikaa kwa muda gani kama mwenyekiti.
 
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Uamuzi uko mikononi mwa wenye chama,kwani wewe unaumizwa na Nini?.kama na wewe ni mhusika nenda kapige Kura ya hapana au ukagombee mshindane maana hiyo ni haki ya kila mwanachama.
 
Mwenyekiti Ccm-Mkapa Chadema Mbowe
Mwenyekiti Ccm Kikwete -Chadema -Mbowe..
Mwenyekiti Ccm-Magufuli-Chadema Mbowe..
Mwenyekiti Ccm-Samia -Chadema -Mbowe...

Labda ni Mwenyekiti Hadi kifo
Angalia Kwa makini, CCM wanabadilishana Uenyekiti wanapokabidhiana DOLA, CDM ikipata DOLA mkt atabadilika.
 
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Bado Chadema inakuhitaji mwamba Mbowe.
 
Kwan anagombea huko ccm? Ahofie kukosa kura yako? Kama anagombea chadema Sisi chadema tutamchagua
 
Kitendo cha ofisi kukaa usawa wa makaburi ni zindiko tosha kwa chama dhidi ya wafuasi wake.
 
Nikikuambia wewe ni mpumbavu unatukana ila kaa ukijua wewe ni mpumbavu haswa?
Mbowe ametangaza wapi kugombea? Lini?
Bonface Jackobo ana msimamo wake kama mwanachama na siyo lazima uwe wa chama
Lini CDM walishawahi kuwa na wabunge 200?
Kama na wewe ni mlinda legacy basi kazi ipo
Dogo umepanik
 
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Achana na mambo ya chadema
 
Mwenyekiti Ccm-Mkapa Chadema Mbowe
Mwenyekiti Ccm Kikwete -Chadema -Mbowe..
Mwenyekiti Ccm-Magufuli-Chadema Mbowe..
Mwenyekiti Ccm-Samia -Chadema -Mbowe...

Labda ni Mwenyekiti Hadi kifo
Nadhani ni muda Mbowe kustaafu.
 
Anajua Mbowe ni akili kubwa mno, ataendelea kupangua mbinu zao mbaya za kuua upinzani. Pole yake huyu ndugu, awe na uhakika, wala sio tetesi, Mbowe atagombea na ataendelea kuwa Mwenyekiti.
Mbowe akigombea Tena nitamuona fala na nitampinga mpaka atakapostaafu.
 
Back
Top Bottom