Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,510
- 7,757
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!
Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.