Free and Independent Zanzibar

Napenda nikujuze kuwa Mseto ule ni wa Znz kwa Znz na wala hauwezi kabisa kuhusisha wa Tanganyika. Mseto ule umewekwa kwa ajili ya maslahi ya Znz na kwa waZanzibar. na wala si kwa WaTanganyika.

Lakini hapa kinachoongelewa ni Muungano na uhuru wa Znz kujikomboa dhidi ya Tanzania.


kama ndoa

ikishindana mpeane Talaka
 
mkuu, nafikiri ukweli upo dhahiri kwamba hatujawahi kuichagua CCM. CCM daima huwa inajichagua na kujiweka madarakani yenyewe. Na wala sisi hatuogopi washawasha. Sisi si waoga kama wabara, sisi kufa kwetu ni tunu mbele za mungu hasa tunapokufa kwa ajili ya ukombozi wa wengi.

ahahaaa! mbona weye hujafa? nitajie shujaa mmja tu mzenj kama alivyokuwa, Mirambo, Kinjeketile, Sina.....
Maneno sawa lakini vitendo baki!
 
Tupa kule hiyo zanzibar yao, kwani sisi tunafaidika nini,hao wanaongea ila hawajui kwamba hata mchicha wanaokula kule unatoka huku.kila kitu, nyama ya ng'ombe, na vingine vingi tu.hata sisi hatuwataki cause walioanzisha muungano waliua tanganyika yetu nzuri.
 
Tupa kule hiyo zanzibar yao, kwani sisi tunafaidika nini,hao wanaongea ila hawajui kwamba hata mchicha wanaokula kule unatoka huku.kila kitu, nyama ya ng'ombe, na vingine vingi tu.hata sisi hatuwataki cause walioanzisha muungano waliua tanganyika yetu nzuri.
kwani wAZanzibari wakija Tanganyika kuchukua Vitunguu na Harage na vitu vyengine munawapa bure for free? Duh :smash:

Great thinker anasema Wazanzibari ni wafanyabiashara wazuri wanaoiendesha Tanganyika kibiashara Wananunua mazao ya Tanganyika na kulipa Tax ushuru wanapopeleka biashara zao Zanzibar.
Baba wa Taifa ndio alijaribu kuua Tanganyika kwa Tamaa zake za kuichukua Zanzibar...lakini Zanzibar bado imebaki vile vile inapeta na inazidi kwenda speed zaidi za kulirudisha Taifa huru la Jamhuri ya watu wa Zanzibar.

kama si Nyerere kuleta propaganda zake zile za Muungano fake
A%20S-danger.gif
basi Zanzibar ingelikuwa Nchi nzuri sana na uchumi mzuri kabisa kuliko visiwa vya majirani zetu akina Seychelles, Mauritius, Reunion, Madagasca, na Comoro
A%20S%20465.gif

visiwa hivyo vyote ni full independent countries na wameiwacha Zanzibar mbali sana KIUCHUMI.
Why not Zanzibar?
YES WE CAN!!

Free and Independent Zanzibar Again

images
 
you are talking impossibles, nani yuko tayari kuona muungani unakufa mikononi mwake aandike historia hiyo
Jambo la kufanya hapa ni kuangalia mambo gani ni kero yarekebishwe basi
 
Katika wakati huu wa utandawazi na kusikokuwa na tishio la mapinduzi ya kisultani au kijeshi, naiona fursa ya kuendelea kwa kasi kwa Zanzibar isiyokuwa na shinikizo kutoka Tanganyika. Pamoja na kuwa Mtanganyika, lakini ukweli usiopingika kuwa kwa namna moja au nyingine, Tanganyika imekuwa ikiifunika Zanzibar ndani ya bawa lake haswa tunapovuka mipaka ya nchi.

Ni wao kuhamua wanataka nini kwani manufaa ya Tanganyika kutoka Zanzibar ni sawa na hakuna, lkn breki za Watanganyika kwa Wazenji nadhani ni kubwa mno. Ila kuna virushwa vidogovidogo wanavyolambishwa Wanzenji na kulainika. Nafasi za Ubunge, na chache kwenye wizara za Muungano. Wakisahau hizi wanaweza kusimama wenyewe tu.
 
Kwani uhuru wa nchi unapatikana mara ngapi? Semeni mnataka kujitenga. Mwambieni shein na maalim seif.
 
Jana tumeshuhudia kuzaliwa kwa taifa jipya la Sudan kusini, baada ya harakati za muda mrefu za mapambano ya kutafuta kuwa huru dhidi ya Sudani ya kaskazini. Hili ni somo mhimu sana kwetu wazanzibari ambaye kwa muda mrefu tumeishi kwa kuamliwa mambo na watanganyika.

Umasikini wa Zanzibar kwa kiasi kikubwa umesababishwa na wabara ambao wamekuwa na mipango mibovu na wala rushwa halafu wanahamishia mipango yao ya hovyohovyo kule kwetu zanzibar na kutusababishia umasikini mkubwa na hali ngumu ya maisha.

Wazanzibar tuko wachache, kipato chetu kinatosha kutulisha sisi wote na kutuhakikishia maisha yenye neema, lakini kutokana na Muungano, kipato chetu tunashare na wabara, halafu gawiwo tunalopata linakuwa dogo na kutufanya tuonekane na sisi ni maskini kama walivyo wa bara.

Sasa tunataka uhuru wetu, tunataka tujitawale, hatutaki kupangiwa mambo na wabara. Seriously we are going for it.

Kweli wewe msemahovyo. Wanzanzibari wavivu kama wewe wanataka kuhalalisha matokeo ya uvivu wao, yaani umasikini wao eti kwamba wabara ndio chanzo. Hivi unajua wapemba wangapi wapo kariakoo wanafanya biashara? Ninyi mtasababisha wenzenu waumie bure kwa unafiki wa madaraka. Hakuna anayeweza kuvunja muungano bila kwanza yeye kuvunjika.
 
wabara bwana tokea kujua kupika maandazi na chapati imekuwa balaa... mushkuru sana zanzibar nyie mngeendelea kuna dona kama farasi shwain
 
kuchinjana kawaida tu kwa watoto wa kiume.. udogo wa nchi usikushughulishe wingi nyie ukubwa wenu na wingi wenu wa nzi hauna faida kipinduopindu tumbo mbiruko...ufisadi kwenda mbele ujambazi mm ndio umezaliwa tanganyika
 
kwani huoni zenj inavyopelekesha kama gari bovu!
-
Lazima ipelekeshe. Mwenye woga wa kuvunja Muungano Ni Tanganyika na siyo Zanzibar.Kwanza Tanganyika itabidi itoe fidia kwa Zenj(Sijui kama wanayo hiyo). Pili Tanganyika itabidi ijiunde ipya (Hiyo ni kazi ambapo Zenj hawana tatizo na hilo- wana mundo wao - bendera., Rais, Baraza la wawakilishi- mpaka timu yake ya mpira)- kazi kwa bara wanacho kilicho chao ambacho ni si cha Kimuungano. Digest this first-- coming later!!!!
 
wabara bwana tokea kujua kupika maandazi na chapati imekuwa balaa... mushkuru sana zanzibar nyie mngeendelea kuna dona kama farasi shwain
Na taarabu jee! si wanacheza siku hizi, niliona kule Mwanza (kwenye manumbu- vile viazi kama kichwa cha mtu) Utamaduni wa Kizenj- Alhamdu lillah mpaka Sengerema siku hizi. Bado tu Muungano haujakusadaidieni nyie? N'gan'ganieni!!!!!
Zenj ni muokozi wenu.
 
-
Lazima ipelekeshe. Mwenye woga wa kuvunja Muungano Ni Tanganyika na siyo Zanzibar.Kwanza Tanganyika itabidi itoe fidia kwa Zenj(Sijui kama wanayo hiyo). Pili Tanganyika itabidi ijiunde ipya (Hiyo ni kazi ambapo Zenj hawana tatizo na hilo- wana mundo wao - bendera., Rais, Baraza la wawakilishi- mpaka timu yake ya mpira)- kazi kwa bara wanacho kilicho chao ambacho ni si cha Kimuungano. Digest this first-- coming later!!!!

Kulu haki wainkana mura! mf; leo muungano ukifa JK atakuwa raisi wa nchi gani? Kwani hawaoni kina Jk@wanaonufaika na muungano?
 
Back
Top Bottom