Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

Kama kawaida ya shehe Yahaya alitafasiri akamwambia kuwa namba hiyo inamaanisha "utakufa ukiwa na umri wa miaka 77 na taifa la Tanzania kwa kipindi hicho litakuwa na umri wa miaka 38,hii inamanisha ukichukua 77 umri wa mwalimu jumlisha 38 umri wa taifa utapata 115,na hii ndivyo ilivyokuwa,mwaka 1999 mwalimu alikufa akiwa na miaka 77 na taifa lilikuwa na miaka 38 ya uhuru (77+38=115)
Kwa hapa Nakubali kwa shingo upande.
pia utamaduni wa rais kuongea na wazee wa Dar es salaam unaendelea hadi sasa na wamekuwa na maamuzi ya kitaifa na husikilizwa sana wanachokisema,mbona haijawahi kutokea rais akaongea na wazee wa bukoba jambo la kitaifa?,zindiko la bagamoyo linafanya kazi ,Safu hii ilikuwa ya watu 5 ambao ni. 1.mzee ramadhan,alizaliwa mwaka 1920,2.Ally tarazo(1929),3.Komwe wa Komwe(1918),4.Sheihe Yahya Hussein(1925),na 5.Forojo Ganze (1902)
Hao wazee wenyewe wa Dar ni wakina IDD SIMBA?
 
Ndivyo ilivyo,jiulize juu ya Kenya waliokabidhi nchi kwa mungu wa wahindi ambaye ni amber,Kenya haitaendelea kuipita India sababu wanatumia mungu wao,hayo aliyafanya jomo kenyata,na akaweka kauli mbiu ya HARAMBEE,( neno HAR ni neno la Kihindi maana yake Tukuza,na AMBEE ni mungu wa wahindi,kwahiyo HAR+AMBEE=HARAMBEE yaani Tukuza Ambee),kenya imewekwa rehani india na ikiangalia nyaraka zote za serikali ya kenya zina neno HARAMBEE hadi nembo ya taifa Lao,sasa hivi HARAMBEE imeingia Tanzania kila Changizo la kuchangia chochote liwe au kidini au kiserikali wanasema tunafanya HARAMBEE ya kuchangia kitu fulani,kwahilo hatuwezi kuendelea na kuwapita kenya maana tunatukuza mungu wao waliyemtoa india hivyo hawezi kutupa zaidi tukawapita wakenya kimaendeleo,chunguza hilo
Hivi una imani gani mzee? Mbona unaonekana kupenda mambo ya kichawi?
 
Kaka una stori nzuri sana yenye faida kwa watanzania wengi umeianzisha mwenyewe lakini nasikitika kila ukiulizwa FOROJO GANZE ni vipi alihusika na mwenge maelezo yako huyatoi yote kwa maelekezo utafutwe ndipo useme kila kitu sasa kama uliona ni siri kwa nini uliandika humu jf na kutuweka roho juu wana jf?

Kuna mzungu mmoja kigoma alimuua muha mmoja baada ya huyo muha kumuonyesha kuwa anao uwezo wa kumpeleka ulaya bila kupanda ndege na jaribio lilifanyika na mzungu akafika kwao kwa usiku mmoja na akarudi kigoma lakini jambo la kusikitisha mzungu alipotaka kufundishwa elimu ile ya kwenda ulaya bila ndege na kurudi Tanzania kwa usiku mmoja muha alileta za kuleta alibembelezwa mpka kwa fedha lakini akatia ngumu mzungu akaona hapa dawa yake ni kumtwanga shaba tu na kweli yule jamaa akauwawa. Sasa wewe unatuanzishia jambo kubwa kama hili la mwenge halafu unaanza kurukaruka maana yake nini? Kumbuka madhara ya mwenge ni makubwa kwa nchi yetu na pia gharama zake ni kubwa lakini aslimia 99.9 ya watanzania wote hatujui maana yake sasa hebu weka mambo hadarani tujue siri ya urembo usiwe na hofu kwakuwa unatumia pen name fanya kweli.
Wacha uongo wewe. Story za utotoni we ndo unaona za kweli? Haya tusaidie majibu ya haya maswali:-

1. Huyo muha alikuwa anaitwa nani?
2. Alikuwa anaishi wapi?
3. Aliuwawa mwaka gani?
4. Mauaji ni jinai, huyo mzungu alifanyweje?

Nasubir majibu
 
Kuna uzi upo jukwaa.la biashara unafafanua sana kuhusu mwenge unavyorelate na ushirikina. kwa bahati mbaya natumia.mchina.ningeweza kusearch na kuwaletea hapa.
Miaka mitatu baadae bado unatumia mchina isiyoboreshwa? Tupe link hiyo
 
samahani sana wana jf kwa kukaa kwangu kimya juu ya hii story kama mnavyojua wengi tumetokea mashambani hivyo nilikuwa kijijini kwetu kwa muda mrefu kidogo,kwa wale wanaohoji kuwa huyo Forojo Ganze anarelate vp na mwenge wa uhuru,tafadhali asome vzuri maeno aliyoyataja forojo ganze na ktk maneno hayo mwalimu alibuni mwenge wa uhuru bila kiujua ulikuwa na maana gani.Unaweza kujiuliza ilikuwaje mwalimu aanzishe mwenge bila kujua maana ake,jibu ni rahisi kwamba bwana Ganze alikuwa ni mchawi wa kutumainiwa ktk taifa hili na viongozi wake ktk harakati za kudai uhuru,pili litamka maneno hayo akiwa hoi kutokea bagamoyo ambako alikwenda kumuuliza shetani tufanye nn ili nchi ya tanzania iendelee na alikwenda huko akiwa ametumwa na na mwalimu pamoja na viongozi wengine,lakini alichokutana nacho ndani ya shimo hilo hadi leo hatujui maana alirushwa nje na akachukuliwa na shehe Yahaya Hussein akiwa hoi hajiwezi na alikuwa akiongea lugha isiyofahamika,kwahiyo watanzia sisi tumewekwa rehani kwa shetani,ili muweze kujua zaidi mambo haya nitaingiza thread inayohusu zindiko la nchi tulilofanyiwa kule lindi na ndiyo utaona wenzake na forojo ganze walishiriki kikamilifu na utaona baadhi ya watu mashuhuri pengine unaowafahamu,na ndiyo maana lindi haiendelei na haitaendelea kamwe,Mambo haya ni mwendelezo wa uchawi unaokimbatiwa na baadhi ya viongozi wetu ktk kutuweka kwa shetani
Mtu siku kumi hali hafu useme alikuwa kwa shetani? Njaa imemuua. Maana kama sio njaa shetani angemlinda aifanye kazi yake vema
 
Mkuu nashukuru kwani umeandika vitu ambavyo ni nadra kuvisikia. Zaidi ya yote umeandika in such a way kuwa unaleta habari kwa anayetaka kuelewa jambo. Hukuja na lawama na maneno mabaya bali umeelewesha jambo. Aksante nimekuelewa
 
Mkuu niliipata story kama hii kwa bwana mdogo mmoja ambaye ana mapepo, anasema huwa yanamwonesha mambo mengi kuhusu mazindiko aliyoyafanya Nyerere kule bagamoyo na makosa yaliyofanyika. Inaendana na hii kwa kiasi kikubwa na hii ingawa yule dogo huwa anaongea hivyo vitu akiwa possesed, na ni binti wa miaka 14, mwanzo nilikuwa siamini but now I'm connecting the dots.
Huyo binti yuko wapi kwa sasa? Umemuuliza kwa nini Magufuri haufuti mwenge?
 
Halafu kuna mp**zi mmoja humu huwa anadai ati waislam ndo walopigania uhuru wa nchi hii, kumbe ana haki ya kudai, maana wakati wakristo wako kanisani kuikabidhi Tanzania kwa Bwana, Waislam wako Bagamoyo shimoni (iangalie hiyo crew, imejazwa na mabazazi wa nchi (mashekhe) wakiongozwa na huyo jini mtu Yahya.
Halafu eti Nimempa rais Kikwete ULINZI usioonekana, na hakuna wa kumgusa na rais anachekelea tu!
Ndio maana hatuna maendeleo nchi hii.
Uislam ni Janga la Dunia
CC: Mohamed Said BONGOLALA MziziMkavu
Ha ha ha ngoja nione nini walikujibu
 
Baphomet
 

Attachments

  • 1461091515177.jpg
    1461091515177.jpg
    21.8 KB · Views: 249
Back
Top Bottom