mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 638
Mwananthropologia, i think umeassume mimi ni mkristo labda? Me si mkristo, wala muislamu. Sina dini. And sijui kama mungu yupo au hayupo na sitaki kujishughulisha nae kwa sababu fulani.
LAKINI, yes it would be realy interesting nikijua 'my' background, kama sign yako inavyosema. I read about the history of religions, and funny enough, leo ndo nagundua kwamba whenever i read about ancient religions in africa, i just read about Egypt. Imani za waafrika wengine hazijatiiliwa maanani na wasomi.
Wewe ni anthropologist kitaaluma? Au ID tu? Lol. I'll appreciate to hear what u have to say on imani za mababu zetu. Nani bado wanazipractice? Ndo hawa tunawaita wachawi? How many gods are there? Was there a 'religion'? Waliamini nini hasa? Hellfire? Heaven? Incarnation? Spirit? Ni kama thread nyingine sasa.
Lakini aim yangu ya kuhusisha uislamu na kina forojo (kulingana na mlivyomsimulia), ni sababu alikufa utafkiri yuko possesed, and my imagination of imani za mababu zetu, hakukuwa na such incidents za spirits and all. What i said got no basis at all. Ignore it.
Kwahiyo, kama ni kuwa 'labeled' na majority leo, they would call u a pagan right?
Heeh, na 'mlingotin' ndo nasikia leo. Ni wapi?? Umeelemewa? Angalu nijibu hili, yaache mengine. Lol
ok kumbe ni agnostic! haina shida ila maswali yako ni mengi yanahitaji thread yake peke yake ila nitakujb kifupi kama kuna wataalamu wengine wanaweza kuongezea nilipopungukiwa ili tusitoke nje ya mada
yes am an anthropologist by profession a student of late profesa samuel mshana
kwanza lazima ujue kuhusu african people kwa rekodi zilizopo inaonesha kulikua kuna two migrations ya kwanza ilikua kutoka south kwenda north na sababu kubwa ni kutafta suitable environment for living ndio mana unaona mafuvu ya kale ,drawings za kale kwenye caves ,zinapatikana southern of africa kama south africa,tanzania etc kwaiyo walikua kwenye old stone age ,wakaja middle stone age angalia maeneo kama isimila iringa na reason for migration ni change of environment ,either thru floods,drought etc
ikabidi wamove north ambapo kulikua kuna suitable environment naomba ujue kwamba zamani sahara desert haikua desert kulikua kuna rich natural vegetation na wakaenda juu zaidi ambapo walienda kukutana eneo la misri ambapo wakatengeneza an empire of egypt
na migration ya pili ni kwenda south baaada ya misri ya kale kukumbwa na plague, society yote ikavunjika watu weusi wenye asili zaidi za kibantu wakaenda south west now west africa wengine wakaenda southeast now sudan,ethiopia,europes wakavuka bahari kwenda mediterenean,wenye asili kama ya kiarabu,wayahudi wakaenda north east now middle east kila mtu alienda pande tofauti unaweza kujiuliza why? according to ones specialization in relation to the environment. kwa wale wakulima nadhan unawajua wabantu SW,wale wafugaji km wanilotic SE etc na wengine waliokua watumwa waliona warudi kwao wavuke bahari. so egypt is also part of our history dont ignore it.
suala la Gods ni unategemea unaomba nini? bt katika dini ya kiafrika there is one God ambaye tunaamini alicreate dunia hao wengine tunaoomba ni small gods ambao ni kama malaika ambao wanaspecialize kwenye kazi fulani, ndio maana unaona kama kuna miungu wengi bt ukimpata mzee yeyote anyejua dini ya kiafrika na simulizi za kale atakuambia yupo creator moja bt kuna miungu wadogo(angels) au kwa kiswahili tunaita mizimu
religion was there refer to egypt bt ni kama ilikufa kwani baada ya jamii kugawanyika kila moja akawa anaomba kutokana na shida zake mkulima ataomba mvua,kwaiyo ataomba kwa mizimu inayoleta mvua,wafugaji nao hivyhivyo kwa shida zake za ,mwindaji nae anaomba kwa mizimu inayomsaidia coz tulikua tunaamini mungu mkuu humuitiiti ovyo ni mwiko lazima upitie malaika zake au mizimu na zamani mungu mkuu tulikua tunapitia kwa farao kama mwakilishi wake
tulikua tunaamini there is life after death bt there was no fire or hell ya kwenda kuchomwa bt kama huku ulikuamkulima utaendelea kua mkulima hata huko heaven
suala la Forojo Ganze kua possessed hamna anayejua kilichomkuta kule ina alijitolea kufa kwani hakuna anayeenda kule akiwa sio msfi kiroho kama nilivyosema juu ilikua mwiko kwenda kumuona mungu mkuu au kulitajataja jina lake ovyo sasa kama hakua amejiandaa au alionekana mapungufu hatujui maana hakuweza kuongea alipotoka
watu wanaita wapagani,wachawi bt they r 2 different things wachawi wanafanya black magick na ni watu wanaodhuru jamii na anayeweza kumanipulate mazingira kufanya miujiza,mpagani ni mtu asiye na dini na mwanga ni mtu wise mwenye uono na wanafanya white magick, (naomba utambue kuna tofauti kati ya magick na magic)ingawa maana ya mwanga ishapotoshwa kwani walipokuja majamaa kutoka ulaya na uarabuni waliwalabel katika kundi moja
mlingotini ni sehemu ipo bagamoyo viongozi wengi wa bongo wanaenda huko kufanikisha mambo yao