mie hizo imani nyingine nilikuwa nazickia wala zichukulii kihivyo, lakini hii ya mtoto Gaijin wacha tu. ilibidi tu nikeshe.
Na ikitokea umepata mtoto sasa hivi, utakesha tena....kuna mtu anapenda jogoo wa mwanae wa kiume asiwike??
mie hizo imani nyingine nilikuwa nazickia wala zichukulii kihivyo, lakini hii ya mtoto Gaijin wacha tu. ilibidi tu nikeshe.
:llama::llama::llama::llama::llama::llama::llama:Kumbe nyie watu mnajuana?:llama::llama:
Kumbe nyie watu mnajuana?:llama::llama:
sana tu, kuna ubaya?
:hand::hand::hand::hand::hand::hand:Unasahau uwezo wa SG??:focus:....
Asprin unakumbuka mikanda ya suruali (ilikua inatumia sumaku kufunga) iliingia bongo, watu wakazusha kwamba inaharibu nguvu za bayolojia??? Nadhani wale waagizaji walipata hasara ya kufa mtu, ilitoweka ghafla...
Swali moja, majibu tofauti....
Na ikitokea umepata mtoto sasa hivi, utakesha tena....kuna mtu anapenda jogoo wa mwanae wa kiume asiwike??
Kimsingi nimekubaliana na swali lako....nimejibua ndiyo...kwan katibu si ana uwezo wa kufahamiana na wanachama wake??
Pia Nyamayao kakubali tunafahamiana....
So swali moja majibu mawili yanayofanana...
Sawa kabisa kamanda...Tatizo ni hilo swala la kujibu swali na kuchanganya na mikanda ya kupunguza nguvu za baioloji...Hilo nalo nyamayao analijua? hapo naulizia kama mweka hazina siyo kama kaka, usihofu:llama:
:llama::llama:Hii kuchanganya ni direct effect ya jumatatu.... umesema umeuliza kama kaka eh? Haya shemeji...ray2:
Hivi rule no 3 ina limitations?Hii kuchanganya ni direct effect ya jumatatu.... umesema umeuliza kama kaka eh? Haya shemeji...ray2:
c ndio hapo sasa, yaani kwasasa cjui nitafanyaje, ngoja nikiipata nitakujulisha.
DC hebu dadavua kidogo hapa.Ila kuna nyivninge chafu sana nimekukmbuka.
Niliwahi kuambia (tena na mwanamke) kwamba katika hilo kabila lao, mwananmke akijifungua inabidi afanyiwe suna haraka ili kusaidia damu kukauka. Vinginevyo damu zitachukua muda mrefu.
Labda kama nilikosea lugha (si unajua sisi wengine tumekuja pwani ukubwani).
Hao jamaa wanaamini kuwa mzazi akishiriki tendo la ndoa mara tu baada ya kujifungua inasaidia kukausha damu!