hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
Godii,
Umenikuna sana kwa maelezo yako.
Hilo la kuepusha ndugu wa karibu kuona ni kweli kisayansi kwa sababu kuna kitu kinaitwa inbreeding. Yaani watu ndugu au wanyama kuzaa pamoja. Inasababisha kuendeleza magojwa ya kurithisha lakini pia inapunguza kitu kinaitwa "genetic variability" ambayo huaongeza fitness ya viumbe hai. Hata wanyama wa porini wana strategies za kuzuia inbreeding.
YES HILO LA KUOANA NDUGU NILA UKWELI, WAARABU HUKU LINAWATESA SANA WATOTO WAO WENGI WANAUGUA UGONJWA UNAOITWA KITAALAAM autism