For Teamo and Co: Baadhi ya imani potofu kuhusu uzazi na watoto

mie hizo imani nyingine nilikuwa nazickia wala zichukulii kihivyo, lakini hii ya mtoto Gaijin wacha tu. ilibidi tu nikeshe.

Na ikitokea umepata mtoto sasa hivi, utakesha tena....kuna mtu anapenda jogoo wa mwanae wa kiume asiwike??
 
kuna vitu vyengine kabla ya kufanya lazima ujiulize

kuangukiwa kitovu na uzazi wa siku za baadae umehusiana nini?

bora hata ungeambiwa kuangukiwa na kitu chochote ingekuwa na walau mantiki kidogo.
 
Kumbe nyie watu mnajuana?:llama::llama:

Swali moja, majibu tofauti....

sana tu, kuna ubaya?

Unasahau uwezo wa SG??:focus:....
Asprin unakumbuka mikanda ya suruali (ilikua inatumia sumaku kufunga) iliingia bongo, watu wakazusha kwamba inaharibu nguvu za bayolojia??? Nadhani wale waagizaji walipata hasara ya kufa mtu, ilitoweka ghafla...
:hand::hand::hand::hand::hand::hand:
 
Swali moja, majibu tofauti....

Kimsingi nimekubaliana na swali lako....nimejibua ndiyo...kwan katibu si ana uwezo wa kufahamiana na wanachama wake??
Pia Nyamayao kakubali tunafahamiana....
So swali moja majibu mawili yanayofanana...
 
Kimsingi nimekubaliana na swali lako....nimejibua ndiyo...kwan katibu si ana uwezo wa kufahamiana na wanachama wake??
Pia Nyamayao kakubali tunafahamiana....
So swali moja majibu mawili yanayofanana...

Sawa kabisa kamanda...Tatizo ni hilo swala la kujibu swali na kuchanganya na mikanda ya kupunguza nguvu za baioloji...Hilo nalo nyamayao analijua? hapo naulizia kama mweka hazina siyo kama kaka, usihofu:llama:
 
Hii kuchanganya ni direct effect ya jumatatu.... umesema umeuliza kama kaka eh? Haya shemeji...:pray2:
 
c ndio hapo sasa, yaani kwasasa cjui nitafanyaje, ngoja nikiipata nitakujulisha.

Nyamayao,

Mimi binafsi siamini. Ila hakuna mzazi angependa kuona mtoto wake huko mbele ya safari anakuwa tope tope eti kwa sababu alishindwa kumwangalia kitovu. Hata mimi na my wife tulijikuta tunahaha kuhakikisha hakidondokei pasipotakiwa.

Nadhani kitaalamu walikuwa wajanja sana. Kwa mtoto mchanga, kitovu ni route muhimu ya infections. Kwa hiyo mama akikiangalia muda wote ataweza kuhakikisha hakileti madhara.

Naona list imeongezeka. Nitaziongeza nyingine baadaye.
 
Ila kuna nyivninge chafu sana nimekukmbuka.

Niliwahi kuambia (tena na mwanamke) kwamba katika hilo kabila lao, mwananmke akijifungua inabidi afanyiwe suna haraka ili kusaidia damu kukauka. Vinginevyo damu zitachukua muda mrefu.
 
kuna baadhi ya maeneo huko swanga miaka za nyuma ukijikwaa tu make sure unalirudisha jiwe pale pale lilipotoka,la sivo hufiki unapoenda.
 
Yaani dunia hii kuna vitu vya ajabu sana.

Kuna anti yangu alishindwa kupata mtoto wa 2. Huyo wa kwanza alizaa kabla ya kuolewa. Baada ya kuolewa ikashindikana kupata mtoto. Inasemekana dada yake alimwibia chupi, kwa hiyo aliitumia kumfunga uzazi. Huo ugomvi hadi leo haujawahi kupata suluhu.
 
Ila kuna nyivninge chafu sana nimekukmbuka.

Niliwahi kuambia (tena na mwanamke) kwamba katika hilo kabila lao, mwananmke akijifungua inabidi afanyiwe suna haraka ili kusaidia damu kukauka. Vinginevyo damu zitachukua muda mrefu.
DC hebu dadavua kidogo hapa.
 
DC hebu dadavua kidogo hapa.

Labda kama nilikosea lugha (si unajua sisi wengine tumekuja pwani ukubwani).

Hao jamaa wanaamini kuwa mzazi akishiriki tendo la ndoa mara tu baada ya kujifungua inasaidia kukausha damu!
 
Labda kama nilikosea lugha (si unajua sisi wengine tumekuja pwani ukubwani).

Hao jamaa wanaamini kuwa mzazi akishiriki tendo la ndoa mara tu baada ya kujifungua inasaidia kukausha damu!

DC bwana!

kufanyiwa sunna ni kutahiriwa ........sawa mkuu? usirudie tena tafadhali :tonguez:
 
Pamoja na kutokuwahi kuzisikia hizi semi, kwa haraka nawexza sema zinalenga kutoa mafunzo dhidi ya uvivu ( usisibiri chumvi iishe kabisa ndipo utoke usiku ukatafute,) nyingine zinalenga kuzuia nyendo na tabia chafu kama za kutembea ovyo nje ya ndoa ( kubemenda mtoto na kutembea na ndugu wa damu)

Ila kwa vizazi vipya visiosikia kitu wala kuogopa chochote, imani hizi ni sawa na kumtishia mtu mzima nyau. Ama kweli zamani ilikuwa pouwa sana!
 
Roya roy bana, una maswali kama nini, nikiona na hili Unywaji (hasa wa bia) hauhitaji meno, hata kibogoyo anakunywa!!:pray2:, unanichosha kabisa!!
progress.gif
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom