Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
You are very right ila kwa taarifa anazozihitaji huyo bwana inabidi awe na uhakika nazo 100%, kimsingi inabidi apate hizo taarifa direct from the source yaani SUA administration na sio aokoteze hizo taarifa mtaani kama anavyotaka yeye kurahisisha mambo hata yasiyofaa kurahisishwa.
ameshasema kwenye website ya sua hakuna taarifa. Sasa afanyaje?
Hata humu anaweza pata taarifa za uhakika.