Folder/ Files with blue words

Bontowar

JF-Expert Member
Feb 21, 2009
520
52
Habari wakuu

Kuna files na folders zinakuwa na maneni yana rangi ya blue lakini sijayaweka kuwa hivyo

inaweza kuwa ni nini? na jinsi ya kuyarekebisha?
 
Mh pole sana.

Tatizo lako ni dogo sana,

OK Tujiulize why?

jibu=> it is because file compression is enabled on that file or folder. This can cause some applications to not function properly when enabled.

causes=> ni virus tu ambao wana taka kuchukua data zako ili wazitume kwa mtu.

solution yake=

1. Right-click the file or folder and click PROPERTIES
2. Click ADVANCED
3. There is a check box for Compress contents to save disk space

Halafu update Ainti virus yako....and FULL SCAN UR PC.

I HOPES IT HELP....

Cheers bro!!
 
Hi
nimejaribu inakubali so niingie kila kwa kila file or kuna namna nyingine kwa folder yote
 
mh!!!!

ok SELECT MAFILE YOTE YENYE RANGI YA BLUUUE HALAFU FATISHA MAELEKEZO YALE

About Anti virus...dont complicate ur brain kuweka ma antivirus mengi....wala usibabaike na majina ....
naamini antivirus yoyote inaweza kumtoa jaribu kui update tu iwe latest...
au kama huna Avira free edition latest is the Best so far for me!! and it is freeeee

Be happy broo!!

http://download.cnet.com/Avira-AntiVir-Personal-Free-Antivirus/3000-2239_4-10322935.html
 
Back
Top Bottom