Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
๐ฆ๐ถ๐ผ ๐น๐ฎ๐๐ถ๐บ๐ฎ ๐ธ๐๐๐๐บ๐ถ๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฒ๐ป๐ฎ ๐๐๐ป๐ฎ ๐ป๐ท๐ถ๐ฎ ๐ต๐ถ๐ถ
Moja kati ya kitu cha kuvutia kwenye window 11 ni update mpya ya kuweza kutumia program za kwenye simu kwenye kompyuta yako kupitia mfumo wa window subsystem for Android (WSA).
Mwanzoni ilikua ngumu mtumiaji wa app za kwenye simu kama vile TikTok, Facebook, kuweza kutuma kitu kupitia kompyuta lazima Hatumie browser kufanya hivyo vyote ila sasa mambo yamebadilika.
Microsoft wametengeneza update kwenye WSA kwa kuweza kuruhusu program za Android (kwenye simu) kuweza kufanya kazi kwenye window 11 kwa kuweza kutafuta ma file yaliyopo ndani ya kompyuta.
Mfano sasa utakua na uwezo wa ku upload video Zako kwenye app ya TikTok, Facebook sasa utakua na uwezo wa kutuma direct picha, video kupitia kompyuta yako kwa kuwa na app ya TikTok, Facebook bila kutumia browser.
๐๐๐บ๐ฏ๐๐ธ๐ฎ:
Kuna limit ya kuweza kuyafikia ma file yaliyopo kwenye kompyuta yako kwa sasa utaweza kufikia ma file yaliyopo kwenye local disk C
C:\Users\Username pekee
File zilizopo kwenye profile folder , extenal drive bado utaweza kuzifikia ila siku za mbeleni itawezekana. Kwa sasa hii feature inapatikana kwa watu wenye version ya Os build 2305 or later.View attachment 2650165View attachment 2650164