Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,289
- 781
kwani wazungu wao ndio nani hata uwatolee mfano wa stayli hiyo?
jee sisi lazima tuwe kama wazungu? au kwa vile unawaona weupe ndio unadhani mavi yao hayanuki?.........(joke):lol:
hizo forum unazosema sio za great thinkers. kuna forum za kuuliza maswali kama hayo. you have to think your self.
hapa tunataka maswali magumu tusaidiane. kitu ambacho mwenyewe anaweza kujisaidia kwa nini tumsaidie sisi.
sharobalo amemsaidia kwa kumwambie a-google.
naye kama hajui nini ku-google basi ndio tumsaidie zaidi
mbona sioni jibu baya. yote ni majibu na yote yanafaida
nionavyo mie, it is the lowest level a member of this forum can go but is acceptable
Nakubaliana na wewe ysfmz!