First Tanzania Cartoon Studio Discussion forum !!!

mazd

Senior Member
Apr 3, 2011
187
32
--->Uliwahi kujaribu kutengeneza cartoon ya kiswahili kama kirukuu au Sara ?
---->Unajua software gani hutumika kufanya kazi hizo?
---->Unajua kazi hii inaweza kuchukua muda gani?
---->Unajua kazi hii ina flow vipi?
---->Unajua wanaofanya kazi hiyo wana kiwango gani cha elimu?
---->Unajua vyombo gani hutumika kufanikisha kazi hiyo.
---->Utajuaje kua wewe pia unaweza kufanya kazi hiyo ambayo ni kiu ya watanzania walio wengi?

Tembelea forum ya ilipo hapo chini ili utengeneze uwezekano wa kupata majibu ya masuali hayo kwa mtindo wa Kitanzania na wala sio Kizungu.---If you have work to share, contact us--we will post it on our Youtube channel.

Link: Hermitscorp Network • Login

Remember: Forum is open to read, and limited to registered users to post.
 
....

Remember: You need to be registered to view this Artist Forum from the list

mkuuu nakushauri kwanz hiyo registration itoe kwanza. u know most ppl wanaona sumbufu sana kuregister.

As a promotion kwa nini isiwe free for view then mbeleni ukaweka hiyo resgistration . Au kwa nn mpaka usajili ndo uone ?

BTN
Nilishangaa na kuvutiwa siku moja kuona cartoon za tinga tinga safi sana kwenye tovuti ya BBC lakini kabla ya hapo sikwuai kuiona kazi cartoon hizo kwenye TV za tanzania achilia mbali tovuti.
 
Nimekuwa na hiyo idea for years but no people to corperate with. Kama tunataka kufanya tufanye kweli.
 
@Mtazamaji
Poa Mkuu--hilo jambo nitalishughulikia punde tu--thanks for graet idea.

@Givenality
You are welcome to join effort--Ukiwa uko mbali na mimi, basi tutakula job online bila shida mkuu.PM me.

@Amoeba
Ushirikiano upi mkuu?---Katuni uliyoiona katika tovuti yetu ni sample tu na practice binafsi--so post hii ndio inadai huo ushikiano wenu--we ulidhani nishirikiane na nani?--me sijui kama fulani na fulani walioko mahala fulani wanaweza kujoin effort.
Welcome to show your creativity
 
Back
Top Bottom