tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
- Thread starter
- #81
hata mimi sitaki waajiri wa aina yako, nyie ndiyo mnaokimbiwa na wafanyakazi kila siku....nawewe ulikuwa unaandika huku umekalia jambia, eeh? udsm kitu gani bana, watu tulipita hapo miaka ile, enzi za kina prof. mayunga nkunya, lakini hatuoni sababu ya KUPAYUKA hovyo, kwakuwa hicho ni chuo kama vingine. isitoshe umaarufu wake unazidi kushuka kwasababu ya kizazi chenu hiki cha nyoka, mnakazania madesa badala ya uelewa, ndiyo sababu kutwa mnalalamika tu humu, ajira, ajira , ajira... nani anataka kuajiri MBUMBUMBU?
hata mimi siwataki kabisaa watoto wa ud kwenye kampuni yangu!!