FINCA wanaziogopa Upper second hasa za UDSM!?

Status
Not open for further replies.
wadau hizi tetesi niliwahi kuzisikia kwamba hawa watu huwa hawaajiri watu wa UDSM hasa wenye upper 2nd,...mwanzo nilikuwa sikuamini na nikaapply nafasi za loan officer ambazo deadline yake ilikuwa february mwishoni..cha ajabu sijaitwa mpaka leo, nimeuliza watu wengine kaama wanne ambao nao waliapply nafasi hizo hizo, nao hawajaitwa...nilipowadadisi zaidi nikagundua kwamba wana upper second!!! Na sasa wameshatangaza kazi mpya http://www.zoomtanzania.com/listingdetail?ListingID=18006

sikuishia hapo, nimemdadisi jamaa yangu ambaye ameajiriwa hapo na amepelekwa kahama juu ya ukweli wa jambo hili...kanijibu kwammba inawezekana maana watu wanakimbia kila siku.

ninachojiuliza
Je maslahi ya hawa jamaa yakoje? Kama siyo maslahi kinachowakimbiza watu ni nini?

Tindikalikali,upper second ya nini,kuna fani nyingi UDSM, AU hata kama ni ya sanaa ya michezo unataka ajira ya Loan Officer,peruzi kidogo HR policies utaona kwa nini unaweza achwa hata na 1st class.Nahisi ulioverqualify
 
kwamba ni vilaza kwa sababu your gf was working for them, au your gf was working for them ndio maana wao (finca) ni vilaza?

according to him, Managers wa finca ni vilaza ndio maana his gf is working for them kwamba his gf ni genius, hongera kwa gf wako kuwasaidia.
 
Inawezekana maana ata sisi hatuajiri wanafunzi wa UDSM,coz ni wazito balaa,,,watu wanapewa maswali multiple na match items,,,so upper second ya UDSM ni gentlement ya SUA/UCLAS/MZUMBE,,,pia moshi nimeskia kuna chuo kinakuja juu zamani kilikua kinaitwa ushirika mitihani YA WAHASIBU Vijana wamefanya vizuri. UDSM ndo chuo kikuu cha ukahaba na ubraza men(usharo) leo unataka niajiri shoga au kahaba si atawamaliza staffs kwa n goma?????? panuka mawazo

thatz well said!
 
ah a ah duh mdau umeny.a chuo yaani umechafua hewa
 
hii mitoto ya sikuhizi bana, yaani wewe umeona ukitaja udsm na upper second ndiyo watu wataogopa? sijui ni bangi ama petroli, jinga kabisa!
watu wanaajiriwa kwa vigezo, kama umekosa maana yake haujakidhi viwango
 
Inawezekana maana ata sisi hatuajiri wanafunzi wa UDSM,coz ni wazito balaa,,,watu wanapewa maswali multiple na match items,,,so upper second ya UDSM ni gentlement ya SUA/UCLAS/MZUMBE,,,pia moshi nimeskia kuna chuo kinakuja juu zamani kilikua kinaitwa ushirika mitihani YA WAHASIBU Vijana wamefanya vizuri. UDSM ndo chuo kikuu cha ukahaba na ubraza men(usharo) leo unataka niajiri shoga au kahaba si atawamaliza staffs kwa n goma?????? panuka mawazo

wewe nae unaajili watu!? What a shame!
 
hii mitoto ya sikuhizi bana, yaani wewe umeona ukitaja udsm na upper second ndiyo watu wataogopa? sijui ni bangi ama petroli, jinga kabisa!
watu wanaajiriwa kwa vigezo, kama umekosa maana yake haujakidhi viwango

Mkuu unaongelea kuogopa sababu umeshaogopa? ujinga upi unaouongelea au unakuja tu nawe upate cha kuongea? Umeona upper second na UDSM peke yake?
 
Sio kweli kuna mtu namfahamu aliwahi fanya FINCA na alikuwa na GPA 4.0 in short alikuwa na B.A(Hons)..kuitwa kazini
ni "combination of factors" inabidi tuelewe.
 
ila kweli kufanya kazi finca yataka moyo sana. utatakiwa ufanye marketing, utengeneze groups wepewe loan kisha ufanye monitoring uhakikishe loan na interest inarudi. kazi yake inakuwa evalueted na system ya computer so hamna kuremba. usione ofisi nzuri ndani ya mji ukafikiri ndo utafanya kazi muda wa kukukaa ofisini ni two days in aweek. japokuwa wanatoa mikopo kwa clients wao hakuna mikopo kwa stuff wao. ila wanalipa mishara kwa wakati na bonus scheme kwa wale wanofanya vizuri .kama huno moyo mgumu..
 
finca kuna nafasi kubwa ya kugrow kama utakuwa mvumilivu coz watu wanaacha kazi kila siku.. i ounce work there.
 
"Salima jamaa wa FINCA" ina maanisha nini kama siyo makosa yale yale!

Ohoo, unaona sasa! Kumbe kunazo Common Mistakes in Swahili pia. Ha ha ha. FINCA hakuna staffs anaitwa Salima? Umekuta chochote kwenye common mistakes in english? Kile kitabu sinacho hapa leo ningeeangalia.

Inawezekana maana ata sisi hatuajiri wanafunzi wa UDSM,coz ni wazito balaa,,,watu wanapewa maswali multiple na match items,,,so upper second ya UDSM ni gentlement ya SUA/UCLAS/MZUMBE,,,pia moshi nimeskia kuna chuo kinakuja juu zamani kilikua kinaitwa ushirika mitihani YA WAHASIBU Vijana wamefanya vizuri. UDSM ndo chuo kikuu cha ukahaba na ubraza men(usharo) leo unataka niajiri shoga au kahaba si atawamaliza staffs kwa ngoma?????? panuka mawazo
 
Nadhani inabidi watu tujitambue,siku hizi huajiriwi kwa sababu ya uper second yako tu au kwa sababu umesoma udsm,huu ni ujinga na naamini aliyepost bado ni mgeni katika soko la ajira.ila utambue kabisa kuwa wasomi ni wengi sana, tena kutoka vyuo mbalimbali hata vya nje ya nchi,tusijisahau na kudhani kwamba kusoma chuo fulani ni sababu,kuna watu wana elimu ya chini kama diploma lakini kazi wanayopiga we na degree yako huon ndani,kwa hiyo tujenge uwezo binafsi wa kutumia elimu zetu,uzalishaji ndio muhimu
 
Inategemea upper ya wapi ungwinini ama engineering??kama ungwinini sioni sababu ya kuziogopa watakuwa na matatizo hao
 
thatz well said!
mkuu nina ushahidi
asilimia 60 ya wafanyakazi wanaotoka udsm wanaendekeza ngono makazini
bosi wangu alishawahi kuwakataa sana nikamwambia sijui sasa hivi labda wamejirekebisha
wengi hasa wakikamata ubosi wanaendekeza ngono zembe na ukahaba kupata kazi haata ukikuta li sekretary limepitia kozi fupi udsm linasumbua watoto zetu kama bosi vile
 
1. ushahidi gani ulionao? waa video au audio?
2.bosi wako alishawahi wakataa kwasababu zipi? ilikuwa ni lazima wao ndiyo wafanye kazi? na wewe ulimwabia nini baada ya kuwakataa?
3. Wengi wangapi, na wapi wamekamatta uboss wakafanya hayo unayoyasema?
 
mimi sio mwana udsm ila hapa umechangia kwa hisia. kwan gpa kitu gani m2 mwenye gpa ya 4.5 na 2.3 wote wana uwezo wa kufanya kazi gpa madesa tu yale
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom