FINCA wanaziogopa Upper second hasa za UDSM!?

Status
Not open for further replies.
nawewe ulikuwa unaandika huku umekalia jambia, eeh? udsm kitu gani bana, watu tulipita hapo miaka ile, enzi za kina prof. mayunga nkunya, lakini hatuoni sababu ya KUPAYUKA hovyo, kwakuwa hicho ni chuo kama vingine. isitoshe umaarufu wake unazidi kushuka kwasababu ya kizazi chenu hiki cha nyoka, mnakazania madesa badala ya uelewa, ndiyo sababu kutwa mnalalamika tu humu, ajira, ajira , ajira... nani anataka kuajiri MBUMBUMBU?
hata mimi siwataki kabisaa watoto wa ud kwenye kampuni yangu!!
hata mimi sitaki waajiri wa aina yako, nyie ndiyo mnaokimbiwa na wafanyakazi kila siku....
 
Hakuna suala la inferiority complex mkuu,mimi nilipata admission UD ila sikuja kujiunga huko nikaenda chuo kingine ambacho niliamini kwamba ndo muelekeo wa career niliyoitaka na sasa ninayo naishi a descent life,kubali mkuu "unaposema upper 2nd za UD zinaogopwa means what"? hata waliocomment wengi wameweka comment kila mtu akiangalia na kukuelewesha kuwa chuo si base ya arguement at all,pole
 
nawewe ulikuwa unaandika huku umekalia jambia, eeh? udsm kitu gani bana, watu tulipita hapo miaka ile, enzi za kina prof. mayunga nkunya, lakini hatuoni sababu ya KUPAYUKA hovyo, kwakuwa hicho ni chuo kama vingine. isitoshe umaarufu wake unazidi kushuka kwasababu ya kizazi chenu hiki cha nyoka, mnakazania madesa badala ya uelewa, ndiyo sababu kutwa mnalalamika tu humu, ajira, ajira , ajira... nani anataka kuajiri MBUMBUMBU?
hata mimi siwataki kabisaa watoto wa ud kwenye kampuni yangu!!
Ukisoma sentesi ya mwisho ya huyu jamaa, utagundua aina ya waajiri tulionao...huyu anatumia chuo kama nyundo jya kuwakataa watu, nani ajuaye kama nao wengine hawafanyi hivi? Sisemi niajiriwe kwasababu ya GPA au chuo nilichosoma, ila nashangaa hivi vigezo viwili vinapotumika kama kigezo cha kuwaweka pembeni wengine>>sina uhakika na ndiyo maana nikaeileta hapa.

Hakuna suala la inferiority complex mkuu,mimi nilipata admission UD ila sikuja kujiunga huko nikaenda chuo kingine ambacho niliamini kwamba ndo muelekeo wa career niliyoitaka na sasa ninayo naishi a descent life,kubali mkuu "unaposema upper 2nd za UD zinaogopwa means what"? hata waliocomment wengi wameweka comment kila mtu akiangalia na kukuelewesha kuwa chuo si base ya arguement at all,pole
 
Ukisoma sentesi ya mwisho ya huyu jamaa, utagundua aina ya waajiri tulionao...huyu anatumia chuo kama nyundo jya kuwakataa watu, nani ajuaye kama nao wengine hawafanyi hivi? Sisemi niajiriwe kwasababu ya GPA au chuo nilichosoma, ila nashangaa hivi vigezo viwili vinapotumika kama kigezo cha kuwaweka pembeni wengine>>sina uhakika na ndiyo maana nikaeileta hapa.
dogo, mimi ni mtu makini sana, kiukweli nasikitishwa sana pale mtu anapo onesha majigambo badala ya kudhihirisha taaluma yake kwa vitendo, watu wa namna hiyo ndiyo adui zangu namba moja. nasikitika nimeshindwa kukuelewesha!
 
siyo umeshindwa kunielewesha, huwezi kuelewesha...hayo matusi ndiyo umakini unaousema? jitahidi kujiheshimu
 
Inawezekana maana ata sisi hatuajiri wanafunzi wa UDSM,coz ni wazito balaa,,,watu wanapewa maswali multiple na match items,,,so upper second ya UDSM ni gentlement ya SUA/UCLAS/MZUMBE,,,pia moshi nimeskia kuna chuo kinakuja juu zamani kilikua kinaitwa ushirika mitihani YA WAHASIBU Vijana wamefanya vizuri. UDSM ndo chuo kikuu cha ukahaba na ubraza men(usharo) leo unataka niajiri shoga au kahaba si atawamaliza staffs kwa n goma?????? panuka mawazo

Mkuu mtu anayefanya maswali ya multiple choice hasa ya uhakika ni kichwa. Hii ni system inatumika vyuo vyingi vya marekani na Israel. Nimewahi kusoma Israel ndio ilikuwa system nikaomba bora ningefanya mitihani yetu ile unameza na kutapika. Kwahiyo hiko sio kigezo.

Uzito wa mtu sio kwa ajili ya chuo, ni yeye mwenyewe tu.
 
siyo umeshindwa kunielewesha, huwezi kuelewesha...hayo matusi ndiyo umakini unaousema? jitahidi kujiheshimu
nitawezaje kukuelewesha bana, wakati wewe umezoea kudesa? hauotoweza kunielewa kamwe kijana, endelea kulalama tu na kukataliwa kwako kwenye ajira
 
Sawa unayejiita mtu makini, nimeona umakini wako

hii mitoto ya sikuhizi bana, yaani wewe umeona ukitaja udsm na upper second ndiyo watu wataogopa? sijui ni bangi ama petroli, jinga kabisa!
watu wanaajiriwa kwa vigezo, kama umekosa maana yake haujakidhi viwango
 
Mambo vipi mkuu? unasema jamaa wanahofia upper seconds za UDSM, whatz so special na hizo upper seconds za UDSM?.
Sina uhakika kama hawa jamaa wa FINCA hawana wafanyakazi ambao ni products za UDSM.
Mimi ushauri wangu ambao ni rahisi zaidi ni kujiangalia sisi wenyewe what we have in our heads pia uwezo wetu wa kujieleza na sio GPA, kuna uwezekano mkubwa kabisa mwenye GPA ndogo akawa anajua kujieleza na ku-present vitu kuliko mwenye GPA kubwa ambapo haitowachukua muda watu ku-conclude kuwa hizo GPA kubwa zinatokana na kudesa na sio kuelewa vitu.

Usivunjike moyo kaka, komaa na jipange kivingine kwani naamini kazi kama ipo ipo tu na si lazima iwe hapo FINCA. Angalia ni wapi umekosea ili urekebishe pindi utakapoitwa kwenye usaili kwengine. Pole mkuu!!
 
Inawezekana maana ata sisi hatuajiri wanafunzi wa UDSM,coz ni wazito balaa,,,watu wanapewa maswali multiple na match items,,,so upper second ya UDSM ni gentlement ya SUA/UCLAS/MZUMBE,,,pia moshi nimeskia kuna chuo kinakuja juu zamani kilikua kinaitwa ushirika mitihani YA WAHASIBU Vijana wamefanya vizuri. UDSM ndo chuo kikuu cha ukahaba na ubraza men(usharo) leo unataka niajiri shoga au kahaba si atawamaliza staffs kwa n goma?????? panuka mawazo

Ww inaekea form six ulipata foo ndo maana ud walikutema kilaza
 
Khaaaaaaa! Kumaanina! Kuna sehemu ngumu kupata admission kama UD by then? Ni sasa hivi wameleta usenge wa TCU.
 
wadau hizi tetesi niliwahi kuzisikia kwamba hawa watu huwa hawaajiri watu wa UDSM hasa wenye upper 2nd,...mwanzo nilikuwa sikuamini na nikaapply nafasi za loan officer ambazo deadline yake ilikuwa february mwishoni..cha ajabu sijaitwa mpaka leo, nimeuliza watu wengine kaama wanne ambao nao waliapply nafasi hizo hizo, nao hawajaitwa...nilipowadadisi zaidi nikagundua kwamba wana upper second!!! Na sasa wameshatangaza kazi mpya Listing Not Found

Je maslahi ya hawa jamaa yakoje? Kama siyo maslahi kinachowakimbiza watu ni nini?
Umenichekesha sana mpaka mbavu zinaniuma.....nani kakuambia siku hizi watu wanaangalia tena GPA ndio upewe kazi?ngoja nikupanguse ujinga kijana,taasisi za kifedha,haswa microfinance institutions,huwa wanaajiri sana kwa kigezo cha uzoefu wa kazi na uwezo wako utaowashawishi kwamba unaweza kuwa sehemu ya faida kwao,taasisi za namna hii zimekuwa nyingi na ushindani umekuwa mkubwa kwenye kunyangananya wateja,kwa mfano,kijana kenda kufanya interview EFC,hapo bado anafanya kazi ACCESS kama loan officer,anatafuta maslahi zaidi,sasa pale EFC anajitetea kwamba tayari ana Portfolio kubwa na wateja wake wakimaliza mikopo yao ACCESS atawashawishi waamie EFC,hiyo ndo habari kila boss anataka kusikia,ndio maana unaona wanaoajiriwa wengi kama loan officers tayari walikuwa kwenye taasisi nyingine za namna hiyo,sisemi kwamba freshers hawaajiriwi au hawaajiriki!nasema GPA sio kigezo cha kupata kazi au eti sababu ni ya UDSM!
 
na ndugu yangu sio taasisi zote za kifedha wanaangalia uzoefu bila gpa.mfano CRDB wanataka watu wenye upper second(though wapo wenye lower gpa).NBC pia
 
FINCA inasimama badala ya nini?[/Q ntaielezea finca kwa kutaja mission yake. mission of finca is to provide financial services to Tanzanian;s lowest income entrepreneurs so they can create jobs,build assets and improve their standard of living..kuhusu tuhuma za huyu jamaa ni uongo...huja fikia vigezo wanavyo vitaka.ungeitwa
 
Dogo huku mtaani sio matokeo hayo yashaishia huko huko chuo. CV yako na barua yako ya kuomba kazi ni kigezo tosha cha kuitwa interview.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom