Figure yangu inanikatisha tamaa! Nifanyaje?

habarini wana jf, shepu yangu inanikatisha tamaa kwani kila mwanaume anayeniapproach ukichunguza sana unakuta hana upendo wadhati bali alitamani shepu yangu tu ,na ninagundua kuwa ananitamani pale ninapomkubali baada ya siku mbili anataka mzigo, sio siri ninatamani ningezaliwa shepless nahisi ningepata mwanaume atakayenipenda kweli kweli inaniumiza sana kwasababu wengi wao unakuta ni waume za watu na mimi ni mwiko kutembea na mme wa mtu,kwani ninataka kuwa na familia yangu ,nimechoka sina jinsi nifanyaje niweze kumpata mchumba wa kweli? ni maelezo ya rafiki yangu alinielez jana jioni huku analia,ushauri wakuu please!:A S 465:,

ungeweka picha basi tuone shape ilivyo!

Ina maana wazuri hawawapati wa kuwafaa? Ni unajidanganya tu, tatizo unawahi kuwakubalia wanaume. Next time mchunguze kwanza kwa muda mrefu. Sio shape ndio tatizo, tatizo ni hao wanaokutaka. We hujui kumjua anayekupenda na anayekutaka ni yupi.
 
habarini wana jf, shepu yangu inanikatisha tamaa kwani kila mwanaume anayeniapproach ukichunguza sana unakuta hana upendo wadhati bali alitamani shepu yangu tu ,na ninagundua kuwa ananitamani pale ninapomkubali baada ya siku mbili anataka mzigo, sio siri ninatamani ningezaliwa shepless nahisi ningepata mwanaume atakayenipenda kweli kweli inaniumiza sana kwasababu wengi wao unakuta ni waume za watu na mimi ni mwiko kutembea na mme wa mtu,kwani ninataka kuwa na familia yangu ,nimechoka sina jinsi nifanyaje niweze kumpata mchumba wa kweli? ni maelezo ya rafiki yangu alinielez jana jioni huku analia,ushauri wakuu please!:A S 465:,

onyesha tabia njema na msimamo. Usijilegeza watu watakugeuza choo au uwanja wa kujifunzia. Kama una shape hiyo nzuri, wasiwasi wa nini? Tulia na jiheshimu wenye dhamira safi watakuja wenyewe. Acha papara za kijinga.
 
hiiii ni promo sio?
shepu yako iko vipi labda?

mimi naandaa shindano la miss namba nane
unataka shiriki?

Bora Boss umeliona hili....hivi wenye figure huwa hawaolewi? Au yeye anakaa sehemu gani hizo ambazo ni waume za watu ndo wanavizia wenye shepu yake. Na hiyo shepu ni shepu gani isiyowahi kuonekana hapa ulimwenguni? Kweli kuna watu wanauwezo mkubwa wa kutumia vichwa vyao
 
sawa binti,tumeshajua kuwa una shape nzuri kama ulivyokusudia kutujulisha,kumbuka tu kuwa shape yoyote haizuii mtu kupata upendo wa kweli!tulia na usiwe easy going
 
Nishawai kutana na binti wa aina yako tatizo huwa ni overconfidence na kujisikia plus kuwazungusha vidume such that wakikupata wanakula mzigo wanasepa.
Ushauri jishushe na uwe mtu wa kujichanganya ila usiwe mwepesi wa kugawa pls.
Badili aina ya maisha ya sasa bse huyo niliyemshauri mwanzo alikuwa mlokole such that kujichanganya ilikuwa mwiko ingawa amtu akimtokea anambandua.
Ni hayo tuu
 
nakushauri ubadilishe maeneo unayoishi ikiwezekana badilisha wilaya au mkoa kabisa anza maisha upya na badili tabia kama ni mwiislamu sali msikitini kila ijumaa na kama ni mkiristo nenda kanisani thn utaona mwenyewe mafanikio
 
Huyu anataka kutusababishia ban tu hana lingine
\
Kwa jinsi ulivyo na sura ya upole hutakiwi kuwaka namna hiyo!

Mie nilikuwa nampooza tu dada yule maana ulimjibu dry mno! si unsjua watoto wakike! unaenda nao taratibu.... la sivyo utakuwa unawaliza tu...au unapenda kuona wanalialia?
 
mara nyingi ukiona mtu anajisifia humu ujue sio kweli..
angekuwa na shepu hiyo hata muda wa kuja ktusimulia asingeupata
 
anatakiwa kutulia na asiwe na papara
hata hivyo awe mvumilivu sana
nadhani hata kiburi cha uzima kinamtesa sana
 
mara nyingi ukiona mtu anajisifia humu ujue sio kweli..
angekuwa na shepu hiyo hata muda wa kuja ktusimulia asingeupata
labda kweli anayo.............................. lakini cha kujiuliza ni kwamba inawezekana something is wrong with her...................... ndo maana anajifanyia advert....
sijutii kwamba sikuzaliwa mkaka..................
 
habarini wana jf, shepu yangu inanikatisha tamaa kwani kila mwanaume anayeniapproach ukichunguza sana unakuta hana upendo wadhati bali alitamani shepu yangu tu ,na ninagundua kuwa ananitamani pale ninapomkubali baada ya siku mbili anataka mzigo, sio siri ninatamani ningezaliwa shepless nahisi ningepata mwanaume atakayenipenda kweli kweli inaniumiza sana kwasababu wengi wao unakuta ni waume za watu na mimi ni mwiko kutembea na mme wa mtu,kwani ninataka kuwa na familia yangu ,nimechoka sina jinsi nifanyaje niweze kumpata mchumba wa kweli? ni maelezo ya rafiki yangu alinielez jana jioni huku analia,ushauri wakuu please!:A S 465:,
Inawezekana wakishakula mzigo wanagundua kuwa huna lolote, hujui kuwapa mapenzi na saa nyingine wanakutana na bwawa ndio maana wanakukimbia .... tena siku hizi hakuna anayetaka kuweka mzigo ndani bila ya kuuonja ikiwezekana hata kuutia mimba kwanza. sijui itakuwaje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom