Figure yangu inanikatisha tamaa! Nifanyaje?

Loreen

Senior Member
Dec 24, 2011
110
32
habarini wana jf, shepu yangu inanikatisha tamaa kwani kila mwanaume anayeniapproach ukichunguza sana unakuta hana upendo wadhati bali alitamani shepu yangu tu ,na ninagundua kuwa ananitamani pale ninapomkubali baada ya siku mbili anataka mzigo, sio siri ninatamani ningezaliwa shepless nahisi ningepata mwanaume atakayenipenda kweli kweli inaniumiza sana kwasababu wengi wao unakuta ni waume za watu na mimi ni mwiko kutembea na mme wa mtu,kwani ninataka kuwa na familia yangu ,nimechoka sina jinsi nifanyaje niweze kumpata mchumba wa kweli? ni maelezo ya rafiki yangu alinielez jana jioni huku analia,ushauri wakuu please!:A S 465:,
 
Kwa hiyo wakiomba mzigo unawaachia ama vipi?

Pole sana Loreen naelewa unajisikia vibaya, hata kama ni wewe usijali hatujuani humu.
Usikurupuke na wanaume ni vigumu lkn inawezekana...jitahidi kuuchuna kwa muda fanya shughuli zako tu .....kama unaona umri wa kuolewa unapita hii sasa ndio gia ya wanaume watakutafuna kweli!
Jifanye huna papara huku ukiomba mungu na kuhudhuria nyumba za ibadan, pia kama ulikuwa mtu wa kinywaji acha walau kwa muda...(kama kweli unataka kuwa na familia yako)
 
Sasa Kisigino naona unataka kusiginwa unamjibu nani sasa hapo mimi au mleta post
 
habarini wana jf, shepu yangu inanikatisha tamaa kwani kila mwanaume anayeniapproach ukichunguza sana unakuta hana upendo wadhati bali alitamani shepu yangu tu ,na ninagundua kuwa ananitamani pale ninapomkubali baada ya siku mbili anataka mzigo, sio siri ninatamani ningezaliwa shepless nahisi ningepata mwanaume atakayenipenda kweli kweli inaniumiza sana kwasababu wengi wao unakuta ni waume za watu na mimi ni mwiko kutembea na mme wa mtu,kwani ninataka kuwa na familia yangu ,nimechoka sina jinsi nifanyaje niweze kumpata mchumba wa kweli? ni maelezo ya rafiki yangu alinielez jana jioni huku analia,ushauri wakuu please!:A S 465:,

come on! gal yaani huoni hiyo ni bahati kuwa na shepu bomba au unatamani kua nungayembe nini zaa halafu tuone basi..
 
habarini wana jf, shepu yangu inanikatisha tamaa kwani kila mwanaume anayeniapproach ukichunguza sana unakuta hana upendo wadhati bali alitamani shepu yangu tu ,na ninagundua kuwa ananitamani pale ninapomkubali baada ya siku mbili anataka mzigo, sio siri ninatamani ningezaliwa shepless nahisi ningepata mwanaume atakayenipenda kweli kweli inaniumiza sana kwasababu wengi wao unakuta ni waume za watu na mimi ni mwiko kutembea na mme wa mtu,kwani ninataka kuwa na familia yangu ,nimechoka sina jinsi nifanyaje niweze kumpata mchumba wa kweli? ni maelezo ya rafiki yangu alinielez jana jioni huku analia,ushauri wakuu please!:A S 465:,
Unaweza kutuelezea umbo lako likoje? maana tupo humu tunaotafuta na unaweza kwua na lile umbo tunalolitafuta lakini hatujabahatika kuliona
 
Mwambie aache papara na atulie, tena anatakiwa kuwa makini sana na wamtongozao!!! Akiwa rahisi kutoa tundi ndo ataumia zaidi......afanye kazi kwa bidii wanaume wa ukweli watajitokeza tu! Pia ningependa kumshauri awe anaanzia urafiki kwanza walau kwa miezi michache.....hii itamsaidia kumtambua mtu kabla hajajihusisha nae kimapenzi!! All the best!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom