Figure yangu inanikatisha tamaa! Nifanyaje?

nani nakwambia wana fuata Figa yako au hua wanakwambia hivo
wakisha maliza shida zao?
 
Wanaume ndivyo tulivyo kutongaza msichana ni wajibu.Sasa ukishatongozwa na wewe ukakubali kinachofuata kwa mwanaume rijali ni kuomba mzigo.
Nionavyo tatizo lako ni kuwa unawaringia vijana wenzako kwa sababu ya shepu yako ,na hao vijana wamekushit.
Nakushauri uwe karibu nao,utampata mmoja wenye dhati na atakuanzishia mji wako, kama unavyotaka.Maombi ni muhimu.
 
hiiii ni promo sio?
shepu yako iko vipi labda?

mimi naandaa shindano la miss namba nane
unataka shiriki?
 
Very fantastic!!
Mwanaume kuomba mzigo jambo la kawaida.
Acha kujifanya mshamba, sasa unategemea nini unapokuwa kwenye mahusiano na mwanaume?
 
Hivi hii c/f bado ipo? Kakutuma umletee post hapa jf? Mwambie ajiunge na atume post, atawapata tu.

Hata hivyo intelijensia inasema wewe Loreen ndo muhusika mwenyewe.
 
uwa umebanjuliwa hadi hujui why huolewi unaishia kumegwa megwa tu! jichunguze maana wanaume wanapenda quality/genotype na sio quantity/phenotype. Ktk hili wanawake huwa mnakosea sana, shape pekee haina maana kwa men, na ndiyo maana machangu wengi ni bomba mbayaaaa, lakini kamwe hawaolewi, ushajiuliza why?

Tafakari utajua sababu kwa nini hauolewi
 
habarini wana jf, shepu yangu inanikatisha tamaa kwani kila mwanaume anayeniapproach ukichunguza sana unakuta hana upendo wadhati bali alitamani shepu yangu tu ,na ninagundua kuwa ananitamani pale ninapomkubali baada ya siku mbili anataka mzigo, sio siri ninatamani ningezaliwa shepless nahisi ningepata mwanaume atakayenipenda kweli kweli inaniumiza sana kwasababu wengi wao unakuta ni waume za watu na mimi ni mwiko kutembea na mme wa mtu,kwani ninataka kuwa na familia yangu ,nimechoka sina jinsi nifanyaje niweze kumpata mchumba wa kweli? ni maelezo ya rafiki yangu alinielez jana jioni huku analia,ushauri wakuu please!:A S 465:,
Nipo hapa mchumba mwema ila mwambie hamna ndoa kabla ya kuonja mzigo,naonja kwanza alafu tupange mikakati mingine!!
 
Mwambie ajikubali vile alivyo. Na autukuze uumbaji wa Mungu vile alivyomuumba. Then atulie
 
chema chajiuza .....

nadhani anatakiwa awe makini na asiwe na papara kwani mwisho wa yote atachezewa na kila ajaye mbele yake.. kuwa na subiri ndoa hailazimishiwi huja yenyewe, ila pia lazima nawe ujiulize utayari wako katika hilo suala na si kukimbilia tu
 
Sasa Kisigino naona unataka kusiginwa unamjibu nani sasa hapo mimi au mleta post

Nitonye baba usiwe hivyo...! Unajua ulikuwa umemjibu dry sana huyo dada sasa ni kampa pole....kwa majibu yako!
Mie ni Kisigino au niite Kiss! Hayo mengine hutakiwe kuyasema kijana mwenye sura nzuri hivyo ...umeumbwa vizuri ..uwe na majibu mazuri kwa wenzio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom