Figure yangu inanikatisha tamaa! Nifanyaje?

We kweli ujui eti unaponda figa yako! Wengine wanaitamani wawe nayo hyo
 
figuer yako haina uhusiano na watu kutaka mzigo na kulala mbele au kutaka mzigo baada ya muda mfupi wa kufahamiana

Hebu chunguza vizuri ili upate jibu sahihi la tatizo / hali uliyonayo
 
Asanteni kwa ushauri ,ninaamini akipitia comment zote hizo atajua cha kufanya!
 
Acha hizo mtoto toa mzigo huo, na angalia hata waume za watu huwa wanaoa sio hatari sana wengine wamepigwa na wake zao wanataka wake wengine
 
figuer yako haina uhusiano na watu kutaka mzigo na kulala mbele au kutaka mzigo baada ya muda mfupi wa kufahamiana

Hebu chunguza vizuri ili upate jibu sahihi la tatizo / hali uliyonayo

Huhuhuhuhuhu!
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom